Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Ukipelekwa mahakamani uambiwe uthibitishe hili unaweza..au unabwabwaja.Nyerere
@Yericko Nyerere ana majibuTukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist
Kepteni wa JWTZ anaitwa HumudiTukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist
Alipotezwa na wana mapinduzi wenzake wa Cuba@comilo cienfuegos umepotelea wapi?
Tangu 1959
WatajeHili jambo lilifikishwa mahakamani na watu wakahukumiwa! Tumia simu janja uliyoitumia kupost hii mada then usome history ya hii kesi. #Tuache maneno mengi.πππ
Hili jambo lilifikishwa mahakamani na watu wakahukumiwa! Tumia simu janja uliyoitumia kupost hii mada then usome history ya hii kesi. #Tuache maneno mengi.πππ
Na vipi kuhusu Lincoln?Lee Harvey Oswald mpaka leo ndio mtu pekee aliyehukumiwa kwa kosa la kumuua Rais John D. Kennedy wa Marekani, lakini wataalam wa mambo wanakwambia JFK aliuwawa na CIA na wahafidhina ndani ya serikali yake!
Akili zako ni kama wabunge wa viti maalumWewe unawaza nini juu ya hilo?
Umeajuaje kua hakufa kawaida bali aliuwawa, mahali ambapo uliona kifo chake kimeandikwa ni vema ukapitia tena kuona sababu za kifo chake halafu dokeza walau kidogo uone jinsi watu watatililika hapa.
Uendelee kurisitiKwan mtu kufa ni mpaka auliwe mkuu?