Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Pasco hauna ubavu wa kuyaongelea Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutumia reference kutoka kwenye wikipedia, kuna maswali watu wakikuuliza utakosa majibu, na mwishowe utawambia wafungue thread, ngoja nikuulize viswali kidoga tu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar.

Umepata kumsikia huyu Comrade Amour Doughaish huyu yupo hai anaishi Upanga na Msasani alisoma Cuba pia alipigana vita Vietnam 1960 huyu ndiyo aliyoingia ndani ya ndege na sub-machine gun kumu arrest haramia John Okello tena kwa kumzaba makofi kama mtoto akiwa na LT.Hashir aliyekuwa airwing Ukonga Dar.

Tuanzie hapa Pasco, humu kuna watu walikuwepo wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar na wameshuhudia unyama wakiyofanyiwa watu.

Subiri aende wikipedia kwanza,,,!!
 
Huyu ndiye binti yetu aliyevunjiwa adabu pamoja nasi wote na Pasco humu kwenye uzi huu:

tv-photo-093.jpg

Salma Said
 
Mkuu Kawarizimu, kwanza asante kwa kujibu hoja objectively. Literacy work yoyote ama inakuwa complemented na literacy work nyingine, ama inakuwa defeated na literacy work nyingine, ndio maana siku za nyuma kwenye ule uzi kazi ya Maalim Mohamed Said kuhusu maisha ya Wazee wake wa Gerezani, ukishambuliwa left, right and center na watu wakaja na facts za ukweli kabisa kuudefeat urongo wake, walimlazimisha Maalim Mohamed Said ndie atoe toleo jengine lenye ukweli, mimi ni miongoni niliosimama na Maalim kuwa yeye ukweli wake ndio huo, hawa wenye ukweli zaidi na watoe kitabu ili machapisho ya Maalim yawe defeated!.

Kwenye historia ya Zanzibar, nimekuonyesha andiko kuwa wanaodaiwa kuwa wenyeji, Wahadimu na Watumbatu, kule sio kwao!, nikakueleza walipotoka!, tena ni hapa kwetu bara!. Nikakueleza ukiondoa hao Wahadimu na Watumbatu, Zanzibar haina wenyewe ndio maana Sultani katoka zake Oman na kuahamia Zanzibar bila negotions na mtu yoyote kwa sababu kavikuta visiwa havina wenyewe!. Ulichotakiwa kufanya sio tuu kuita watu waongo!. Kama ni waongo, unautaja uongo wao kisha unauweka ukweli wako!. Umeambiwa Watumbatu na Wahadimu asili yao ni bara, kama ni uongo unaiweka ile asili yao ya ukweli unaijua wewe!.

Nimekuambia Sultan Seyyid Said, aliviokota visiwa vya Zanzibar kama sadakalawe, hakukuta mtu pale wala kufanya majadiliano na yeyote kabla ya kuhamia. Sasa wewe kama unazo details alimkuta nani, alifanya majadilano yapi alivitwaa visiwa vya Zanzibar toka kwa nani, tuwekee ukweli huo to defeat uongo uliotangulia!.

Maadamu unayo historia hadi ya malikia wao Mwana wa Mwana, tuwekee nasi tuijue ili tupate kujua huyu Mwarabu alihamiaje hamiaje nchi ya watu hivi hivi tuu, just like that il khali nchi ilikuwa na wenyewe?!.
Ukiweza pia kutueleza hiyo asili halisi ya hao wenyewe tutashukuru, vinginevyo tuanze process ya kuwafukuza wavamizi wa nchi yetu, waliovamia bila ruhusa yetu, wakauweka ufalme wao tulioupindua kwa yale Mapinduzi Matukufu, kisha tuunganishe kabisa nchi yetu iwe "Nchi moja!, Taifa moja! Tujue moja!.
Pasco.

Wewe Pasco mimi sikupi elimu yoyote kwani kwako haina faida yoyote kaa na chuki zako zisokuhusu. Kama ni mtafiti na muandishi utatafuta na kusaka information kwa nguvu zako au kama utawaibia hao waajiri wako ni shauri yao kukupa hela. Nenda huko UN kaitafute hiyo Barua ya kufuta kiti ukiikosa ukaizae.

Wewe sidhani kama hata hiyo damu ya Usukumani unayo kwani Wasukuma ninaowajuwa mimi ni.watu wema sana wenye adabu sana sababu wamenilea na wengine nimewazika kwa heshima zote.

Wewe Zanzibar na Uislam unaokuchukiza utakuumiza matumboni mwako.

Mzee Moyo jana kawamalizia maneno kasema akimjibu Shamsi Vuai Nahodha kuwa hawaku pindua ili wawaite watu wawasaidie kutawala meaning nyinyi mnaojibandika uzanzibari usio wenu.

Wewe umetukana na kukashifu wanawake wa Zanzibar na ufidhuli mkubwa sisi tutachokifanya ni kukutoa uwanjani kwa wanawake wa Zanzibar wakuhukumu wenyewe in public kama ulivyofanya wewe. Wakikufingulia libel or sexual harrasment case mashahidi tupo.

Na since yule uliemtaja yuko hai na mwenye akili timamu tutampa ushahidi wote uiliomo humu.

Koma ukome Zanzibar is Zanzibar will never be Colony la Tanganyika anymore.

Ule usemi WHEN ONE PIPES IN ZANZIBAR THEY DANCE IN THE LAKES bado uko hai mtabaki kucheza kiduku huko maziwani kwenu.
 
Mkuu mwanzoni Pasco alilisema kishabiki nikaisi kukashifiwa viongozi sijasema wametukanywa..ila kwa maelezo yako na ILMU uliyotoa nimefarijika sana na natamani uendeleze pale ulikoishia kwa akina mama wengine wawili uliowataja ila ukampa Pasco amalizie

Watatu si wawili. Labda atawajua hao maana kati yao wamo wadogo sana ki umri ukiwalinganisha na Karume na ndiyo maana nikamwachia Pasco kama atawajuwa.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Pasco mimi sikupi elimu yoyote kwani kwako haina faida yoyote kaa na chuki zako zisokuhusu. Kama ni mtafiti na muandishi utatafuta na kusaka information kwa nguvu zako au kama utawaibia hao waajiri wako ni shauri yao kukupa hela. Nenda huko UN kaitafute hiyo Barua ya kufuta kiti ukiikosa ukaizae.

Wewe sidhani kama hata hiyo damu ya Usukumani unayo kwani Wasukuma ninaowajuwa mimi ni.watu wema sana wenye adabu sana sababu wamenilea na wengine nimewazika kwa heshima zote.

Wewe Zanzibar na Uislam unaokuchukiza utakuumiza matumboni mwako.

Mzee Moyo jana kawamalizia maneno kasema akimjibu Shamsi Vuai Nahodha kuwa hawaku pindua ili wawaite watu wawasaidie kutawala meaning nyinyi mnaojibandika uzanzibari usio wenu.

Wewe umetukana na kukashifu wanawake wa Zanzibar na ufidhuli mkubwa sisi tutachokifanya ni kukutoa uwanjani kwa wanawake wa Zanzibar wakuhukumu wenyewe in public kama ulivyofanya wewe. Wakikufingulia libel or sexual harrasment case mashahidi tupo.

Na since yule uliemtaja yuko hai na mwenye akili timamu tutampa ushahidi wote uiliomo humu.

Koma ukome Zanzibar is Zanzibar will never be Colony la Tanganyika anymore.

Ule usemi WHEN ONE PIPES IN ZANZIBAR THEY DANCE IN THE LAKES bado uko hai mtabaki kucheza kiduku huko maziwani kwenu.

Unanikubusha post yangu hii kwa Pasco:
Wewe kama u Msukuma kweli nna uhakika hukosi Mjomba au Shemeji wa Kiarabu, Wamanga wamezagaa usukumani toka enzi na enzi au mwenzetu hujabahatika? au u Usukuma wako wa kudandia? maana takwimu za DNA za Mkemia Mkuu zinatisha:

Takwim:Asilimia 48.3 Ya watoto waliozaliwa sio watoto wa baba halisi.wengi wamebambikiwa - Salma Msangi
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Zanzibar inajiandaa kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 1964 yalioufuta ule uhuru bandia wa mwaka 1963 chini ya serikali ya vibaraka ya Sultani Jamseed. Hizi ni series za mada zangu zenye maswali yasiyo na majibu.

Hii ni Hotuba ya Waziri Mkuu Kibaraka Shamte kwenye Umoja wa Mataifa akiitambulisha rasmi Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hivyo kuuingiza rasmi Zanzibar ndani ya UN kama taifa huru.
Accession of the Sultanate of Zanzibar to the United Nations in 1963
and
The speech given by Prime Minister of the Sultanate of Zanzibar in the United Nations in 1963

Footage hii ni hisani ya mwana jf aitwae Badir​

Nchi kuingizwa ndani ya UN na kupata kiti cha UN is a process inafuata taratibu fulani.

Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda Tanzania, kuna utaratibu pia uliopaswa kufanywa na SMZ na Jamhuri ya Tanganyika kwenda UN ili kuviunganisha viti vya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika ili kuvifuta rasmi na badala yake kuwekwa kiti kipya cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nani anajua ni nini kilichofanyika hapa hadi kukifuta kiti cha Zanzibar kule UN?!.

Utaratibu ni kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, kumuandikia rasmi Katibu Mkuu wa UN Note Verbale, kumtaarifu kuhusu muungano na kueleza lile taifa huru lililojiunga hivi karibuni, ceased to exist anymore hivyo kiti chake kifutwe! na kupewa taifa jipya laTaifa la Zanzibar halipo tena!. Hili halikufanyika!.

Na Tanganyika pia ilipaswa kumuandikia Katibu Mkuu wa UN, Note Verbale kumtaarifu kuwa lile taifa la Tanganyika has seased to exist kufuatia muungano na Zanzibar hivyo kiti chake kifutwe na kukabidhiwa Taifa jipya la JMT. Hili pia halikufanyika!.

Kwa barua hizo mbili, viti vya Tanganyika na Zanzibar ndipo vingefutwa rasmi, na kisha kupelekwa Note Verbale ya 3 toka serikali ya JMT ikilitambulisha Taifa jipya la Tanzania na kupewa kiti cha taifa jipya!.

Kilichotokea ni kule UN ilipelekwa Note Verbale moja tuu toka serikali ya JMT kumtaarifu Katibu Mkuu kuwa Tanganyika na Zanzibar zimeungana kuunda JMT, hivyo kiti cha iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na kile cha iliyokuwa Tanzanyika, sasa vitakaliwa na nchi moja ya Tanzania wakati utaratibu wa submition ya union documentations zikiwemo zile Articles of Union ungefuatia, kitu ambacho hakikutekelezwa mpaka leo!.

Jee kiti halali cha nchi moja huru ndani ya UN kinawezwa kufutwa kirahisi rahisi hivyo with just a Note Verbale kutoka taifa jingine?!.

Mfano ikitokea Tanzania tukaungana na Kenya, hivi kweli mwenye jukumu la kutoa taarifa kwa Katibu Mkuu wa UN ni Kenya tuu kumtaarifu kuwa tumeungana na Tanzania hivyo kuanzia sasa kiti cha Tanzania kifutwe?.

Nikiwa mwandishi nilibahatika kuutembelea ubalozi wetu wa UN pale NY, nikapokelewa na shemeji yetu (Mke wa mwana jf mwenzetu ndie alikuwa receptionist wakati huo), nikapeleka maswali yangu haya kwa balozi we enzi hiyo, sikupata majibu.

Pia nilitembelea jengo la UN ili angalau kuziona zile docu za muungano, kilichopo kule ni ile Note Verbale tuu, nothing more, nothing less!.

Wenye majibu naombeni msaada wenu!.

Pasco.

Abuu_shani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kahawarizimu, kauli huumba!, inategemea nguvu iliyomo ndani ya kauli yako yaani "the power within" inatoka kwa nani kati ya Mungu kweli na shetani, kwa sababu shetani naye anazo nguvu za giza!.

kitendo cha kunifananisha mimi binadamu mwenye imani ya Mungu wa kweli, ambaye yumo ndani yangu, kuniita ni shetani kunahatari kweli kweli kwa aliyendani yangu kukukabili vilivyo hivyo nakushauri share uzi huu na nduguzo na jamaa zako na wale ambao hawana access na jf, waambia tuu kwa kauli yako kuwa kuna mwanajf fulani anaitwa Pasco, nimemfananisha na shetani, ili kesho na keshokutwa, yakikukuta ya kukuta, angalau wataelewa sababu.

Kwa wengine msio amini, mimi Pasco wa JF naamini kwenye "nothing but the truth!", binaadamu kumfananisha binaadamu mwingine na shetani, kwa vitendo ambavyo sio vya kishetani, anajitengenezea "bad karma" ikitokea kumrudi, msipate tabu kumtafuta mchawi, itakuwa ni shetani mwenyewe halisi kanfuata kumpatia haki yake!.

Mambo mengine jamani tuachane maskhara!.
Pasco.

Huna ujanja wa kututishia kwa chochote wala lolote vijana wa Madrasa hata chembe, mkoswa na haya weye

Wewe endelea kukemea sie kazi yetu ni KUPIGA tu,

Huna jipya hata la kujielimisha peje yako na ndo maana hata wenzio ambao kidogo walikuwa wanajaribu kukuunga mkono wamekutosa baada ya kuona UPUUZI umekuwa jadi yako,

Na si muda hata hao walokutuma nao watakukimbia ukose uhakika wa kuumudu mji wa Waungwana na urejee makondeni kwenu,

Tumezaliwa mjini na ni katika vizazi vya waungwana, wewe ni mtu wa kugeza/ kukopi na kupesti ndosababu huna misimamo bali kama na Shaitwaan ila hata huyo Shaitwaani mwenyewe hujuta,

Kama hoja zimekuisha, kwanini kutokukaa kimya au ndo umewekewa mtu wa kukufuatilia na wale mabosi wako ili isijekuwa unachukuwa pesa zao bure?!

Kazi unayo utazicheua tu,

Vijana wa Madrasa wanashuka na Facts za kuanzia karne hizo si wewe wa kuokotaokota na kuungaunga kama viraka vya nguo, na wenye kufuatilia wote wanalikubali hilo lakini wanakerwa na upotokwaji wako,
Maana wawanyima mwendelezo uloshibana wa kuwafungua bongo zao.
 
Mkuu Kahawarizimu, kauli huumba!, inategemea nguvu iliyomo ndani ya kauli yako yaani "the power within" inatoka kwa nani kati ya Mungu kweli na shetani, kwa sababu shetani naye anazo nguvu za giza!.

kitendo cha kunifananisha mimi binadamu mwenye imani ya Mungu wa kweli, ambaye yumo ndani yangu, kuniita ni shetani kunahatari kweli kweli kwa aliyendani yangu kukukabili vilivyo hivyo nakushauri share uzi huu na nduguzo na jamaa zako na wale ambao hawana access na jf, waambia tuu kwa kauli yako kuwa kuna mwanajf fulani anaitwa Pasco, nimemfananisha na shetani, ili kesho na keshokutwa, yakikukuta ya kukuta, angalau wataelewa sababu.

Kwa wengine msio amini, mimi Pasco wa JF naamini kwenye "nothing but the truth!", binaadamu kumfananisha binaadamu mwingine na shetani, kwa vitendo ambavyo sio vya kishetani, anajitengenezea "bad karma" ikitokea kumrudi, msipate tabu kumtafuta mchawi, itakuwa ni shetani mwenyewe halisi kanfuata kumpatia haki yake!.

Mambo mengine jamani tuachane maskhara!.
Pasco.

Pasco

Nakupa ushauri tena angalia unavyoandika jina la Khawarzm, kumbuka hata sisi ni wahuni tukiamua kuleta uhuni huu uzi utafungwa lakini sisi hatutakwenda huko unapotaka, wewe tuite upendavyo hakuna tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Pasco, sasa msome binti yetu uliyemvunjia adabu anasema nini kuhusu muungano ambao wewe unauita "mtukufu":

‘Hakuna ajenda ya siri'
Mwanzoni kuukosoa muungano ikichukuliwa kama ni kosa la jinai. Lakini baada ya kuletwa tena mfumo wa vyama vingi, ukosoaji umekuwa wa kiwango cha juu. Hata hivyo, mara nyingi wazanzibaris ambao wanahoji muungano hutuhumiwa kuwa na ajenda ya siri; kuazimia kuurejesha utawala wa kisultan au kuunda serekali ya kidini. Wazanzibari wengi wanachukulia shutuma hizi kua zinaonyesha upeo mdogo kuitambua historia ya Zanzibar na pia ni shutuma za kipuuzi. Badala yake wanatia maanani zaidi suali la demokrasi na uchumi kuwa ni kitu muhumu zaidi kwao kinachoweza kurekebisha uhusiano wao na upande wa Tanzania bara. - Salma Said

Soma zaidi ukajifunze adabu kwa huyo uliemkosea adabu humu: Muono wa muungano kutoka Zanzibar: Je, muda wa marekebisho umefika? | Zanzibar Yetu
 
La ushemeji, si nimesema ninge!, au hasira na kumbadili dini mtu?!. Mbona wabara wengi wamesilimishwa kwa ajili hiyo!. Bara Zanzibar dugu moja!. Hata mitaa yako hapo Gerezani, tumepita sana tuu, wakati huo nikiwa RTD, walikuwa wanakuja wenyewe!. Ujana nao una ushetani wake, basi tuu saa hizi ungekuta labda niliishasilimishwa zamani nikiitwa Mkwe!. Basi tuu!.
Pasco.

Pasco, wewe kiboko unaweza kututajia idadi ya wanaweke uliofanya nao zinaa hapo gerezani kwa Mohamed Said walikuwa wangapi, pamoja na kule Zanzibar wakati upo RTD kama unavyosema, walikuwa wanakufuata wenyewe wakikuona tu?
 
Last edited by a moderator:
Watatu si wawili. Labda atawajua hao maana kati yao wamo wadogo sana ki umri ukiwalinganisha na Karume na ndiyo maana nikamwachia Pasco kama atawajuwa.

Naona hawajui ndo kapeleka uzi wako jamvini kwa uzi mpya anaomba msaada kama Mzee Karume alikuwa na wake 7 na watoto kadhaaa....nenda umjibu kule
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiye binti yetu aliyevunjiwa adabu pamoja nasi wote na Pasco humu kwenye uzi huu:

tv-photo-093.jpg

Salma Said
Du, yamekuwa haya?!. Unaleta picha ya mtu kumdhalilisha kwa sababu nilisema namjua?!.
Kiukweli Zomba utalaaniwa na kulaanika kwa usumbufu wowote utakaomsababishia huyu dada wa watu!. Karma itakushughulikia!.

Wanabodi kwa wale ambao hakuufuatilia huu uzi tangu mwanzo, hebu someni jinsi nilivyomtaja dada wa watu
Huyu binti ni mwanahabari mwenzangu, sina mahusiano yoyote yasiyofaa na mwanahabari huyu!. Tangu nimemfahamu ni mwanamke mwenye staha, anayejiheshimu, mwenye weledi wa hali ya juu sana kitaaluma kwenye tasnia ya habari.

Nawaomba tuzipuuze hoja zote zinazomhusu dada huyu!. Nilicho sema ni hiki
. Nikakisome wapi tena wakati kimeletwa humu jf, kitabu kizima kipo!. Ninayo nakala nimepewa na rafiki yangu binti wa Kizanzibari, yule mwanahabari Salma Said. Nimekisoma na kukisoma na kukisoma na humu jf pia ni mimi ndio nimekiweka na tumekiponda humu kama tulivyoyapobda maandishi ya Maalim Mohamed Saidi na kisa cha wazee wake wa Gerezani!.

Hoja yangu kwenye uzi huu, ni baadhi ya hoja zenye maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Kuna vitu nimewauliza, majibu mnayo leteni!, majibu hamna, tulieni kimya kama mlivyotulia, tuacheni tuendelee na maandalizi ya kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tukimaliza tusherehekee Muungano Adhimu.
Pasco.
Salma, wewe ni member humu jf, nakuomba ujitokeze kukanusha dhana ya wapotoshaji hawa, kutaka kukuvunjia heshima na kukuchonganisha nami/sisi wabara. Nakuja huko Ijumaa hii tarehe 3, nitakaa huko siku 10, hadi tarehe 13 Januari baada ya sherehe ya Mapinduzi.

Wengine wote naomba mnisamehe sana, huu uzi unakwenda kusiko, tumetoka kwenye heri tunaelekea kwenye shari kwa kuwaingiza watu wasiokuwemo sasa watu wanaleta picha za watu wasiohusika humu kuwadhalilisha.

Naona hawajui ndo kapeleka uzi wako jamvini kwa uzi mpya anaomba msaada kama Mzee Karume alikuwa na wake 7 na watoto kadhaaa....nenda umjibu kule

Kwa hiyo huu kaumaliza ama umemuelewa vipi na wewe unapata faida gani kwa hao wakeze au ndo nawe ukaowe kwa wangwana?

Nilikuambia tangu mwanzo leo tutakuwa nawe gamba tuone yaloko ndani yako,

Zijana hawa wana mikoba mingi haina mifano, hapo hata thaluthi ya mikoba yao haijakurubiwa.
 
Du, yamekuwa haya?!. Unaleta picha ya mtu kumdhalilisha kwa sababu nilisema namjua?!.
Kiukweli Zomba utalaaniwa na kulaanika kwa usumbufu wowote utakaomsababishia huyu dada wa watu!. Karma itakushughulikia!.

Wanabodi kwa wale ambao hakuufuatilia huu uzi tangu mwanzo, hebu someni jinsi nilivyomtaja dada wa watu
Huyu binti ni mwanahabari mwenzangu, sina mahusiano yoyote yasiyofaa na mwanahabari huyu!. Tangu nimemfahamu ni mwanamke mwenye staha, anayejiheshimu, mwenye weledi wa hali ya juu sana kitaaluma kwenye tasnia ya habari.

Nawaomba tuzipuuze hoja zote zinazomhusu dada huyu!. Nilicho sema ni hiki

Salma, wewe ni member humu jf, nakuomba ujitokeze kukanusha dhana ya wapotoshaji hawa, kutaka kukuvunjia heshima na kukuchonganisha nami/sisi wabara. Nakuja huko Ijumaa hii tarehe 3, nitakaa huko siku 10, hadi tarehe 13 Januari baada ya sherehe ya Mapinduzi.

Wengine wote naomba mnisamehe sana, huu uzi unakwenda kusiko, tumetoka kwenye heri tunaelekea kwenye shari kwa kuwaingiza watu wasiokuwemo sasa watu wanaleta picha za watu wasiohusika humu kuwadhalilisha.

Tulikuonya mapema usilete uhuni humu kuna wahuni zaidi yako ukaendelea na kauli zako za kifedhuri kuwa mimi matusi ndio kauli yangu siwezi kubadilika watoto wa gerezani sasa ndio tunakufundisha uhuni kwa taarifa yako huyo dada ni ndugu yetu, na hawezi kuja humu JF kukanusha upuuzi wako wewe si unasema wanawake walikuwa wanakufuata wenyewe ulivyokuwa RTD sasa unalia lia nini.
 
Wanabodi,

Zanzibar inajiandaa kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 1964 yalioufuta ule uhuru bandia wa mwaka 1963 chini ya serikali ya vibaraka ya Sultani Jamseed. Hizi ni series za mada zangu zenye maswali yasiyo na majibu.

Jee kiti halali cha nchi moja huru ndani ya UN kinawezwa kufutwa kirahisi rahisi hivyo with just a Note Verbale kutoka taifa jingine?!.

Mfano ikitokea Tanzania tukaungana na Kenya, hivi kweli mwenye jukumu la kutoa taarifa kwa Katibu Mkuu wa UN ni Kenya tuu kumtaarifu kuwa tumeungana na Tanzania hivyo kuanzia sasa kiti cha Tanzania kifutwe?.

Nikiwa mwandishi nilibahatika kuutembelea ubalozi wetu wa UN pale NY, nikapokelewa na shemeji yetu (Mke wa mwana jf mwenzetu ndie alikuwa receptionist wakati huo), nikapeleka maswali yangu haya kwa balozi we enzi hiyo, sikupata majibu.

Pia nilitembelea jengo la UN ili angalau kuziona zile docu za muungano, kilichopo kule ni ile Note Verbale tuu, nothing more, nothing less!.

Wenye majibu naombeni msaada wenu!.

Pasco.

Wanabodi mnaoendelea kuchangia uzi huu, subject matter ya uzi huu ni hii!. Wale tuu wenye kujua lolote kuhusu hili, ndio tunaomba mawazo yenu, inaelekea sii wengi ni wajuzi wa hii hoja ya msingi hapa, hivyo naomba sasa tukubaliene tuufunge mjadala huu, tuelekee kwenye sehemu ya pili!.

Asanteni sana kwa kuchangia!.

Pasco

Mode, Salaam, nadhani hoja za msingi kwenye uzi huu zimekwisha, hivyo naomba sasa uzi huu ufungwe rasmi kufuatia watu kuanza kuchafua majina ya watu halisi na kuleta picha za watu halisi huku zikiandamana na maneno ya uzushi kwa lengo la kuhamasisha chuki!.
Pasco.
 
Mkuu Kawarizimu, kwanza asante kwa kujibu hoja objectively. Literacy work yoyote ama inakuwa complemented na literacy work nyingine, ama inakuwa defeated na literacy work nyingine, ndio maana siku za nyuma kwenye ule uzi kazi ya Maalim Mohamed Said kuhusu maisha ya Wazee wake wa Gerezani, ukishambuliwa left, right and center na watu wakaja na facts za ukweli kabisa kuudefeat urongo wake, walimlazimisha Maalim Mohamed Said ndie atoe toleo jengine lenye ukweli, mimi ni miongoni niliosimama na Maalim kuwa yeye ukweli wake ndio huo, hawa wenye ukweli zaidi na watoe kitabu ili machapisho ya Maalim yawe defeated!.

Kwenye historia ya Zanzibar, nimekuonyesha andiko kuwa wanaodaiwa kuwa wenyeji, Wahadimu na Watumbatu, kule sio kwao!, nikakueleza walipotoka!, tena ni hapa kwetu bara!. Nikakueleza ukiondoa hao Wahadimu na Watumbatu, Zanzibar haina wenyewe ndio maana Sultani katoka zake Oman na kuahamia Zanzibar bila negotions na mtu yoyote kwa sababu kavikuta visiwa havina wenyewe!. Ulichotakiwa kufanya sio tuu kuita watu waongo!. Kama ni waongo, unautaja uongo wao kisha unauweka ukweli wako!. Umeambiwa Watumbatu na Wahadimu asili yao ni bara, kama ni uongo unaiweka ile asili yao ya ukweli unaijua wewe!.

Nimekuambia Sultan Seyyid Said, aliviokota visiwa vya Zanzibar kama sadakalawe, hakukuta mtu pale wala kufanya majadiliano na yeyote kabla ya kuhamia. Sasa wewe kama unazo details alimkuta nani, alifanya majadilano yapi alivitwaa visiwa vya Zanzibar toka kwa nani, tuwekee ukweli huo to defeat uongo uliotangulia!.

Maadamu unayo historia hadi ya malikia wao Mwana wa Mwana, tuwekee nasi tuijue ili tupate kujua huyu Mwarabu alihamiaje hamiaje nchi ya watu hivi hivi tuu, just like that il khali nchi ilikuwa na wenyewe?!.
Ukiweza pia kutueleza hiyo asili halisi ya hao wenyewe tutashukuru, vinginevyo tuanze process ya kuwafukuza wavamizi wa nchi yetu, waliovamia bila ruhusa yetu, wakauweka ufalme wao tulioupindua kwa yale Mapinduzi Matukufu, kisha tuunganishe kabisa nchi yetu iwe "Nchi moja!, Taifa moja! Tujue moja!.
Pasco.

Wewe. PASCO unanitishia mimi maisha yangu kwa kuitaja character yako ya ufidhuli uliomfanyia binti yetu basi mimi sikutishii maisha yako.

Ila nilikuonya you are a public figure you were supposed to maintain your journalistic ethics badala yake umefanya upaparazi na udaku wa tabloids na kumdhalilisha mtoto wetu sasa jutia uliyoyafanya wala usimuombe yule binti kutaka kumdanganya tumeshazi copy hizi nyuzi by screen shots ushahidi kamili tunao so no.where to hide endelea na.lugha yako unayoijua.
 
Zanzibar nimekuwa nakuja tangu mtoto nikisoma primary tukiwa na marafiki wa kizenji shuleni kwetu tukisoma nao bara, wakati wa likizo tukija kwao Zenzi wana hoteli kubwa enzi hizo!.

Nipongia uandishi tukaja ziara rasmi Zenzi tukapokelewa kwa kelele za kuitwa machogo!, tango hapo nimefanya zaidi ya sarri 100 Zanzibar!, nimeishalala Mwembe Madema!, nimeishaondolewa Zenj under escort na kupigwa marufuku nisikanyage tena!. Baadaye ban ikaondolewa!. Enzi za ujana pia nilishiriki sana na ndugu zetu sisi si ni dugu moja!.
Wiki ijayo nakuja kukaa siku 10 Zanzibar kushherekea Mapinduzi Matukufu na mimi ni wale Chapa Ng'ombe wa Kanda ya Ziwa, ugonjwa wetu unajulikana!. Wengi wa wabara sasa wakija Zenji ni kuja kuponda maraha, huu uzi unakoelekea siko, nikona vipi, nitaumalizia baada ya kutoka huko, sije endelea sana nikajikuta vile vichupa vya tindikali ndivyo vinanisubiri!. Hapo Zenj mpaka nina nyumba ya kufikia, anytime, nikiamua kulala hoteli ni kwa raha zangu tuu!. Zanzibar kwangu, Waarabu wangu, Wahadimu wangu, Watumbatu pia wangu!, na nyinyi bara yenu!.
Tunajenga nyumba moja Tanzania, kwa nini mnataka tugombee fito?. Kiukweli tukiona vipi, tunaamua tuu Nchi Moja, Serikali Moja!.
Pasco.

Pasco, tupe hiyo orodha ya wanawake wa Kizanzibar uliofanya nao zinaa hapo Zanzibar mpaka ukapigwa marufuku usikanyage Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Du, yamekuwa haya?!. Unaleta picha ya mtu kumdhalilisha kwa sababu nilisema namjua?!.
Kiukweli Zomba utalaaniwa na kulaanika kwa usumbufu wowote utakaomsababishia huyu dada wa watu!. Karma itakushughulikia!.

Wanabodi kwa wale ambao hakuufuatilia huu uzi tangu mwanzo, hebu someni jinsi nilivyomtaja dada wa watu
Huyu binti ni mwanahabari mwenzangu, sina mahusiano yoyote yasiyofaa na mwanahabari huyu!. Tangu nimemfahamu ni mwanamke mwenye staha, anayejiheshimu, mwenye weledi wa hali ya juu sana kitaaluma kwenye tasnia ya habari.

Nawaomba tuzipuuze hoja zote zinazomhusu dada huyu!. Nilicho sema ni hiki

Salma, wewe ni member humu jf, nakuomba ujitokeze kukanusha dhana ya wapotoshaji hawa, kutaka kukuvunjia heshima na kukuchonganisha nami/sisi wabara. Nakuja huko Ijumaa hii tarehe 3, nitakaa huko siku 10, hadi tarehe 13 Januari baada ya sherehe ya Mapinduzi.

Wengine wote naomba mnisamehe sana, huu uzi unakwenda kusiko, tumetoka kwenye heri tunaelekea kwenye shari kwa kuwaingiza watu wasiokuwemo sasa watu wanaleta picha za watu wasiohusika humu kuwadhalilisha.

Wewe si upo kazini?
Sie tupo kuyafunua yalofinikwa navkupotishwa,

Sasa wataka tukukumbushe wapi umeyaandika hayo mauharo yako?

Udhalilishaji umefanywa na wewe, na baada ya hapo tunakutaka ututajie na wale mabinti zetu wa gerezani ili usalimike na vitanzi,

Haki na Sheria wa kuijua ukawa wewe mkoswa na nidhamu?

Hapa si pahala pa porojo, The home of Great thinker, are among of them?
 
Wanabodi mnaoendelea kuchangia uzi huu, subject matter ya uzi huu ni hii!. Wale tuu wenye kujua lolote kuhusu hili, ndio tunaomba mawazo yenu, inaelekea sii wengi ni wajuzi wa hii hoja ya msingi hapa, hivyo naomba sasa tukubaliene tuufunge mjadala huu, tuelekee kwenye sehemu ya pili!.

Asanteni sana kwa kuchangia!.

Pasco

Mode, Salaam, nadhani hoja za msingi kwenye uzi huu zimekwisha, hivyo naomba sasa uzi huu ufungwe rasmi kufuatia watu kuanza kuchafua majina ya watu halisi na kuleta picha za watu halisi huku zikiandamana na maneno ya uzushi kwa lengo la kuhamasisha chuki!.
Pasco.
Pasco, uzi hauwezi kufungwa ufungwe kwa sababu zipi? Wewe ndio umetaja majina ya watu humu halafu unalalamika, JF inaendeshwa kwa taratibu zake hawafuati mawazo ya mtu, uzi bado mbichi.

Aku..
 
Back
Top Bottom