Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

hakuna muungano ---- kama tanganyka na zenji-ipo siku utavunjika
 

Mods,
Kwa hisani yenu nakuombeni uzi huu usifungwe maana huyu Pasco kaingiza mambo mangine ambayo ninyi ni mashaahid juu ya yaloletwa/andikwa naye na alokuwa akiyaendeleza,

Sasa vipi akufundisheni kazi ilhali ninyi mlifungua Gorum hii bila ya hata kujua kuwa pana kiumbe chaitwa Pasco mkakitaka ushauri juu ya uwepo wa forum kama hii?

Pasco

Hivi kwanini wapenda cheza na akili za watu kiasi hicho?
Kwani wewe kuomba radhi kwa makosa yako uliisha haramishiwa au ni katika mwendelezo wa dharau zako?

Sasa twendelee na mnaakasha hadi ukome kwa maropoko yako mbele ya waungwana.

Ulizo langu bado lingali pale pale, je, bado una ubavu wa kuzijibu huja za mabwana au uwezo umekutoweka?
 

Hivi wewe ni nani alikujaza ujinga mpaka ukadhani kuwa Olduvai Gorge ndio Ngorongoro Crater. Utachekwa.

Unasema nimekaririshwa wakati kwenye hiyo post uliyo i quote nimekuwekea link ya website ya kina Leakey wenyewe? www.leakey.com

Olduvai Gorge nisiijuwe mimi? na Ngorongoro Crater nisiijuwe mimi?Olduvai Gorge for your information ipo around 70 KM kutoka Singida mjini kuelekea Katesh. Ipo nyuma ya kijiji maarufu cha Masista wa Puma kiitwacho Gehandu, ilipo branch yao hapo Gehandu.Hebu soma kidogo upate faida siyo unatujia na habari za kijinga jinga kila wakati:

Leakey family discovers human ancestors

1959

The Olduvai Gorge in northern Tanzania has a geology that fossil-hunters love. A river cuts through several layers of strata with four distinct beds. Bed I, the oldest, is about 2 million years old.


From the late 1930s, Louis and Mary Leakey found stone tools in Olduvai and elsewhere, found several extinct vertebrates, including the 25-million-year-old Pronconsul primate, one of the first and few fossil ape skulls to be found. Their work at Olduvai Gorge had been interrupted by political uprisings in nearby Kenya, but late in the 1950s, they returned. The Leakeys were interested in prehistoric tools, but more and more wanted to find evidence of the people who made them. In 1959, they did.

Source: A Science Odyssey: People and Discoveries: Leakey family discovers human ancestors



Unajuwa na hilo fuvu walilipa jina gani? "Zinjanthropus boisei" hiyo "zinj" hai click chochote kichwani mwako?
 

Tena bado anatamba na kutishia usalama wa watu na kujigamba kuwa yuko tayari kwa vita vya silaha. Huyu kiumbe wa ajabu sana. If he is abusing his position katika society and the public to such an extent ina maana he can do anything cha hatari huyu.
 

Jisome mwenyewe hapa halafu useme nimekusingizia nini?


Ulikuwa unamaanisha nini hapo? mpaka kufikia kumkejeli yeye huyu Binti yetu pamoja na sisi. Hivi ulifikiri kututangazia hayo ulikuwa unafanya mema kwake au kwetu sisi? Mpaka Maalim Mohamed Said akaja kukutanabahisha:

Pasco kuwa muungwana. Hata sie lugha hizo twaziweza. Ushemeji hauelemei upande mmoja. Kuwa na adabu.

Lakini hukumuelewa na ukaendelea kutoa kejeli zako ukaingia mpaka kututukania dada zetu wa Gerezani. Umesahau?


Bado tu unataka kusema hujatutukana sisi na binti zetu na dada zetu?
 

Yaani bado sasa unasema hayo uliyasema yana ukweli na unatuzidishia kuleta story za Maggot na majumba ya watu Dar es salaam unakusudia nini? Yaani unazidi kuongeza chumvi ndani ya yale uliyaosema kwa kejeli au tusemeje?

Yaani unajizonga zonga tu!!
 
Tena bado anatamba na kutishia usalama wa watu na kujigamba kuwa yuko tayari kwa vita vya silaha. Huyu kiumbe wa ajabu sana. If he is abusing his position katika society and the public to such an extent ina maana he can do anything cha hatari huyu.

Khwarizm,
Nakusoma mkuu, hanablolote na majigambo yake, utawala wa kuku hautusumbui abadan asilan,

Hoyo kalewa hoja za jamvi hili alolitandika kwa kuamini waalikwa ni wachofu badaliye kakuta kiwango alichonacho hata thuluthi ya kusimamia/ kutetea hana,

Zao lake ndo hayo mapotoko yake,

Hapa alikishindwa litandua jamvi tangu asubuhi kaona waalikwa wamechefushwa naze tambo ziso na haki, na kwa taarifa yako Pasco hapa jamvini hatunyanyuki katu

Nakurejeza sualini tena ;
Wale mabinti zetu wa Kizanzibar ukijumuisha na Bi Salma binti Said na wale wa Gerezani, idadi yao waikumbika?

Je, hakuna hata mmoya kati yao ulikibahatika pata naye/nao mtoto/watoto?

Kuna mwanajamvi hapo ulimpa majibu ya kimal'uun alipokuambia ataieka namba ya mkeo ukamjibu upuuzi wa maharo yako, kuwa mke yupi wa DC, TORONTO, DUBAI au wa DAR?

Sasa vipi uanze kana si mwishowe utamkana hata mkeo kama unaye.....?!!!

Waezabahatika ku-touch keypad zako kwa mlengo wa kunijibiza maulizo yangu au Stuck zimeshamiri katika Computer yako?
 
Khawarizm, Pasco amepwelewa. Chombo kimemwacha kisiwani. Hawezi vita anabwabwanya tu.
 
Waungwana wote humu jamvini Assalam Alykum warahmatullah wabarakatuh. Ni matumaini yangu wote muwazima wa afya. Pia niseme samahanini kwa kutokuwapo jamvini mapema japo uzi huu Pasco niliusoma mapema sana ila hapa karibuni naona upepo wa maudhui unakoelekea ni hatari sana. Niseme tu wazi kwamba nimefadhaika sana kwani matarajio yangu na ufahamu wangu kwa mtu kama Pasco hapa jamvini ulikuwa unajua pasco kama muungwana na mwandishi mwenye busara na maturity kubwa sana katika kazi yake. Ila ninachokisoma hapa katika uzi wako kaka mkubwa nimeumia sana na kiukweli karibia machozi yananitoka. Kumjadili binti wa watu ukhty Salma Saidi kwenye mambo ya aibu kama haya inafadhaisha sana na sijui mwenyewe akiyaona haya atakuhumu vipi pasco kwa udhalilishaji huu unaofanyika hapa jamvini. Pasco mpaka kufikia hatua ya kulia na mods kufunga uzi huu ni wazi na wewe umeona ulilolifanya ni jambo baya na ovu sana. Vijana wa gerezani pasco wamekuburuza sana mpaka ukashindwa kujicontrol na kuleta personal issues. Hivi hata mkeo akiona hiki ulichoandika atakuhumu vipi kakap? Unposema sisi wakristo haturuhusiwi mke zaidi ya mmoja lakini ungemuongeza na Salma Saidi manake nini hapa unakusudia?. Brother umeniangusha sana hata hivyo kutokana na heshima yako kwangu ngoja niishie hapa lakini nimeumia sana kwa udhalilishaji huu.
 
Last edited by a moderator:
Waungwana wote humu jamvini Assalam Alykum warahmatullah wabarakatuh.

Ni matumaini yangu wote muwazima wa afya. Pia niseme samahanini kwa kutokuwapo jamvini mapema japo uzi huu Pasco niliusoma mapema sana ila hapa karibuni naona upepo wa maudhui unakoelekea ni hatari sana.
Niseme tu wazi kwamba nimefadhaika sana kwani matarajio yangu na ufahamu wangu kwa mtu kama Pasco hapa jamvini ulikuwa unajua pasco kama muungwana na mwandishi mwenye busara na maturity kubwa sana katika kazi yake. Ila ninachokisoma hapa katika uzi wako kaka mkubwa nimeumia sana na kiukweli karibia machozi yananitoka.

Kumjadili binti wa watu ukhty Salma Saidi kwenye mambo ya aibu kama haya inafadhaisha sana na sijui mwenyewe akiyaona haya atakuhumu vipi pasco kwa udhalilishaji huu unaofanyika hapa jamvini.

Pasco mpaka kufikia hatua ya kulia na mods kufunga uzi huu ni wazi na wewe umeona ulilolifanya ni jambo baya na ovu sana. Vijana wa gerezani Pasco wamekuburuza sana mpaka ukashindwa kujicontrol na kuleta personal issues. Hivi hata mkeo akiona hiki ulichoandika atakuhumu vipi kakap?

Unaposema sisi wakristo haturuhusiwi mke zaidi ya mmoja lakini ungemuongeza na Salma Saidi manake nini hapa unakusudia?.

Brother umeniangusha sana hata hivyo kutokana na heshima yako kwangu ngoja niishie hapa lakini nimeumia sana kwa udhalilishaji huu.
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa, kumbuka hakuna fomula ya kuunda miungano ya nchi kimataifa. Mambo yote yanayofanywa kimataaifa ni matokeo ya makubaliano, hivyo UN huwa na kazi ya kulinda makubaliano hayo na sio kuweka mambo juu yao.
Si kwamba jina la Tanganyika limekufa, ila sovereignty ya Tanganyika imekufa hali kadhalika sovereignty ya Zanzibar. Zanzibar hutajwa kwa wingi ila si zaidi ya jina, kwani, kama Tanganyika, haina sovereignty iwayo yote. Supernationality (TANZANIA) ya muungano huu ambayo kila nchi ili-surrender madaraka na mamlaka kwa mfumo wa rationality, ndio ina sovereignty.
Maswali ya msingi ni kama;
1. Ya wapi makao makuu ya muungano?
2. Dodoma ni mji mkuu wa Tanganyika au Tanzania?


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wanajamvi nilipatapo kumwambia Pasco kuwa mie ni bashraf asubiri waimbaji wanakuja.
 
Wanajamvi nilipatapo kumwambia Pasco kuwa mie ni bashraf asubiri waimbaji wanakuja.

Teh Teh Teh,,

TAQBIIRRR...!!!

Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya FIRAUNI Pasco a.k.a @Nitampataje...

Mimi nishafany conclusion kwamba huyu pasco/nitampataje atakuwa ni :crazy: :der: :der:,,,,
 
Last edited by a moderator:



Zomba,

Hapo umemaliza kila kitu Mkuu
 
Mkuu Mbute, ikitokea tumefanikiwa kuanzisha shirikisho la Afrika Mashariki, na sisi nchi zote tano tukaamua liwe Kenya, then serikali ya Kenya tuu inamuandikia UN SG, NV kumuarifu kuwa kuanzia sasa zile nchi hazipo tena na viti vyake vyote nitakalia mimi itoshe?. Muungano wowote wa nchi ni international instrument hivyo huo mkataba mlioingia kuziunganisha nchi zenu ulipaswa kutuma kule UN as an attachment!.
Kiti kufutwa kwa NV tuu?!.
Bado nalifanyia kazi!.
Pasco.
 


Wewe sio bure utakuwa una mvurugo wa akili,

Hii ID ya Nikupteje si ni yako wewe pia Pasco??

Mimi nimekukumbusha pale ulipojisahau na kuandika hadi jina lako chini ya ID hii kwenye bandiko lako,

Sasa hizi hadithi unazoleta wamletea nani??

Naskia kimenuka huko,yule bint muuminati keshapewa taarifa za mauza uza yako,subiri joto ya jiwe ikuvae mwana haramu wewe.
 
Last edited by a moderator:


Je,nikuthibitishie kuwa hii ID ya Nikupateje pia ni ya kwako wewe Pasco??yan unaitumia kuandika na kujijibu mwenyewe ili ufanye spinning na ulaghai??

Uthibitsho jionee mwenyewe pale ulipoandika kupitia ID hiyo kisha mwishoni ukamalizia kwa neno lako la PASCO hapo mwishoni...

Mimi naona wewe kikaragosi kwa sasa utakuwa umeshapagawa moja kwa moja.
 
Last edited by a moderator:

Pasco

Hivi kweli inamaana bado pana masuali wabahatisha bahatisha jibia japo wazidia potoka?

Yale yangu umejisahaulisha ama ndo umekumbanika na Koboko na kila usomapo fahamu zakuhama?
 

Mohammad Ally
Hoyo kiumbe lazima aupotee msitu na hayui tena ni wepi aliuingia mwitu na sasa atamani mezwa hata na mnyama yoyote ili tu apate pumziko,

Nasi leo hatutaki tumia silha nzito, weye muate hiyo Cancer au sukari imtafune matafuno hayo hayo ya polle polle hadi aishie mithili ya mshumaa,

Pasco
Bado upo mwitu au uishajikatia tamaa na silaha za zijana za Madrsa...?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…