Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Wananchi wana dini.Una maana gani nchi kuwa na dini?Yes mimi ni mtanzania.

1: Bunge linaongozwa na viumbe gani?

2:Weye ni dini gani?

Naona twenda uzuri mmeru weye, sasa usije leta matata ya kidhabdhaba ukapoteza mwelekeo wa somo letu,
 
1: Bunge linaongozwa na viumbe gani?

2:Weye ni dini gani?

Naona twenda uzuri mmeru weye, sasa usije leta matata ya kidhabdhaba ukapoteza mwelekeo wa somo letu,
Linaongozwa na wanadamu wenye dini tofauti.Acha ujinga huu si "muhadhara"
 
Linaongozwa na wanadamu wenye dini tofauti.Acha ujinga huu si "muhadhara"

Nilikutahadharisha mapema kuepuka LUGHA za KIJAAHIL,

Si kama sizifahamu la hasha wakallaa...!
Ama wataka nizitumie kwa shuruutwizo?

Hebu turegee ndani ya somo ili faida ziwaendee wafuatiliaji wetu,

Hizo dini zafahamika?
 
Nilikutahadharisha mapema kuepuka LUGHA za KIJAAHIL,

Si kama sizifahamu la hasha wakallaa...!
Ama wataka nizitumie kwa shuruutwizo?

Hebu turegee ndani ya somo ili faida ziwaendee wafuatiliaji wetu,

Hizo dini zafahamika?
Lugha ya kitumwa sizungumzi.Sina dini.
 

Pasco, mpe mji. Haya aende Mchambawima, huko kama hataki aende Makunduchi.
 
1: Bunge linaongozwa na viumbe gani?

2:Weye ni dini gani?

Naona twenda uzuri mmeru weye, sasa usije leta matata ya kidhabdhaba ukapoteza mwelekeo wa somo letu,

Maulana Wabara,

Salaam Al Akhiy.

Huyo punda-urongo, nafahamu yakuwa wajitahidi kwenda nae kisimani kumnywisha maji japo kiduchu!

Lakini asema yeye hata Kiswahili champa dhiki,haya hicho Kimwemwende uzungumzacho weye mtafahamkiana kweli!? Teeh! Teeh! Teeh!

Nenda nae kwa stara...maana tayari yushikuanzia matusi huyo pundaka wa swaidaka Mwanachadema kitukuu kisofundwasema aka jmushi1! Teeh! Teeh! Teeh!
Ahsanta.
 

Mkuu,
Kwanza kabisa nikushukuru kwa matusi!
Ni kweli kuwa mimi ni mtu wa bara!Na kama ulivyosema yawezekana nikawa mhaya au msukuma au kabila lolote lile!Japokuwa nimeshangazwa wewe kuniita kwa kabila,labda nikukumbushe tu huku tulishaacha habari ya kuitana kwa makabila!Ukabila ulishakwisha!Sisi ni watanganyika sasa!Japo kuwa nyie ndio mlikuwa mkiturudisha nyuma kwa hoja zenu za udini zilizokuwa zikilichafua Taifa!Natumaini mkijitenga mtakuwa mmetusaidia sana kurudisha umoja wetu wa Tanganyika!

Pili,nikukumbushe tu hawa waarabu waliofika bara hawakuja kwa bahati mbaya,walikuja kwa biashara zilezile kubwa walizokuwa wakifanya.Biashara ya pembe za ndovu(ivory),Mashamba ya mkonge na Watumwa.Waarabu wote unaowaona katika mikoa hiyo ni kizazi kinachotokana na waliokwenda kuendesha biashara hizo.

Pia unapaswa kujua kuwa biashara zote zilikuwa ovu.Kwani zilihitaji nguvu kazi ambayo ilifanya nguvu ya ziada ya kuteka watu kwenye vijiji na kuwafanya watumwa itumike!Kwa hiyo familia zilivunjika,Baba alipoteza mke,mama alipoteza mwana na nguvu kazi ya maendeleo katika eneo husika kupotea.Hili si suala la kufurahia hata kidogo!!!!
Watumwa takribani 50,000 waliingizwa kisiwani Zanzibar kutoka bara na waarabu kila mwaka na takribani watumwa 80,000 walikufa njiani kuelekea kisiwani humo!Kwa hiyo kama kweli Una uchungu na hao waarabu ,wahindi na waasia 18,000 waliokufa kutokana na mapinduzi matukufu lazima utakuwa una matatizo kumkichwa!

Kusema kuwa hakuna mzalendo aliyekufa kutokana na utawala wa waarabu,huo ni upotoshaji wa ajabu unaohitaji maombi!

Mwisho,nakuomba upunguze matusi.Yanapunguza nguvu za hoja yako.Na pia hayatawasaidia pale mtakapokuwa mnaijenga Zanzibar mpya,sana sana mtaendelea kulifanya lionekane ni Taifa lenye vichwa 'chakavu'!

Asante!
 
Lugha ya kitumwa sizungumzi.Sina dini.

Kwa mantiki hiyo Watanzania wote ni Watumwa?

Kwa kukosa diniweye, ndo sawa na wengi pale ndani ya Bunge wanajinasabisha na dini ilhaal hawamo ndani ya dini,

Kwa hivo ndo tukaanzia hapo kukanusha ya nini kuita "TUKUFU' ilhaal pana waovu ndanimwe?

Hatutaki litumike hilo neno kwasababu wajuao dini wametanabahi kutezewa maneno kwa wasoyua maana,

Ila tosheka na hapo maana huna dini sasa bora mbuzi wangu ntamtinda na kumla pamoya na rafiki zangu kuliko weye uso faida,

Kama pana utata pahala, nakaribisha maulizo tena,

Fasi unayo ila NIDHWAAM ikutawali japo kwa muda utaodumu katika mada na baada ya hapo waezaregea katika Asli ya twabiayo.
 
Pasco, mpe mji. Haya aende Mchambawima, huko kama hataki aende Makunduchi.


Kwanini msije hapa Mferejimaringo au Mferejiwawima!?

Au waonaje pale BarasteKipande!?

Lakini nyie Watanga-Nyikwa italzim tukupelekeni pale Dole na Mwakaje...maana ndipo walipojazana wale Wanyamwezi na Wasu-K.U.M.A wenzenu! Teeh! Teeh! Teeh!

Huyo Pasikali umuitae,hana uwezo wala dhamira ya kungia humu wakti huu! Labda mfanzie sabra kwenye "usiku wa manane"!? Duh! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 


Mkuu,

Kwa hisani yako tafadhali usifanze nikapatwa na simanzi!...hujui yakuwa weye Mkuu ndo uloanza lugha kali na kebehi/matusi!? Nitake radhi Yakhe,kwa kunivunjia hishma yangu!

Mbona hukujibu nilikuuliza nini maana ya "Muarabu-Koko" kama ulivyotaja!? Acha kujifanza ati weye ndo Victim sasa!? Teeh! Teeh! Teeeh!

Nakuhakikishia yakuwa...mie hutumia lugha kali tu pale inapolazim! Jaribu kupitia ile bayana yako ya awali ilonilazim mie kukujibu ujionee Mkuu!?

Khalaf tafadhali Mkuu,tuwekeane staha japo kiduchu...hivi umefuatilia bayana zoote hapa jamvini!? Mbona wajitia hamnazo,huwaoni waloanzisha matusi na waendeleao kutukana!?

Mie hiyo Tanga-Nyikwa nafahamu kupita kiasi...ni bakhti mbaya tu yakuwa humu JF hatufahamiani Mkuu! Utastaajabu yakuwa wewe labda ndo itakua mgeni hapo Tanga-Nyikwa!

Kwa hiyo acha kujipa false hope na ati kujidanganya yakuwa hapo Tanga-Nyikwa hapana ukabila ulokubuhu na pia udini/Islamophobia!? Weye unaishi wapi Mkuu wangu!?

Nina mangi ya kukwambia...lakini tu kiduchu jiulize yale mapigano yalokubuhu mpaka kulazimisha mauaji ya takriban watu 18 kati ya Wandamba na Wasu-k.u.m.a kule Ifakara.Malinyi,Mahenge na Ulanga...je ile nini!?

Wafahamu yakuwa ilimlazim IGP wa Police ende pale kwa haraka na baadhi ya majeshi yalokua ile Mikoa ya jirani kuwekwa on standby!?

Mie kwenye bayana yangu ilopita nimekuuliza specific questions...lakini nilikhis Mkuu yakuwa hautakua na majawaba yenye mantik asilan,ndo matokeo yake ati umenijia na hizo triangular excuses/explanations!? Dah!

Sasa nitajie wapi umeshawahi kusikia pale Zanzibar...makabila/families zipi ziliuana kwa ukabila!?

Sitarajii kunitajia ule upuuzi wa yale mauaji/nakma ya 1964!?...maana hii nayo ni subject/Topic nyangine kabisa!!

Mkuu mie nduguyo hiyo history/Anthropology na Philology ya dunia/ulimwengu mzima, ninafundisha na ukilazimisha nitakuwekea ushahidi hapa japo kiduchu! Kwa hiyo nina some sort of authority!

Sikutishi wala si dasturi yangu majigambo asilan...lakini ufahamu yakuwa nafahamu nini ninachozungumza tena kiundani mno na wala sibahatishi! Kwa hiyo huna haja ya kunitumia hayo maelekezo/"hoja" yako dhaifu!

Nisingalipenda kwa sasa kukutaka ku-substantiate hizo statistics/figures hapo ulizotaja wala sources zake...maana itatulazim chokonoa mangi mno!? Nafikiri mie binafsi utaona nalijaribu kumtahadharisha huyo mleta mada!!

Nimefurahika,yakuwa kwa sasa nakukhis waelekea kurejea kwenye mazungumzo mema na yenye staha...basi labda mnakasha sasa utapoa dharuba na hoja zilo njema kutawala!?

Ahsanta.
 
Duh!mnawaogopa kiasi hicho?Ndo maana wakitoa amri wafuasi hamfikirii mara 2,kama Pasco ni mwandishi sioni ajabu kukutana nao.

Lakini tunawastahi tu,...kwetu sisi wa kuogopewa ni Allah tu!

Tafauti na nyinyi mnavyomuabudu yule Nabii wa Tengeru! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta
 
Mkuu gombesugu

Nikupa hiki kisa nisome kwa makini Mbwa Mbwa ni viumbe waaminifu mno wanajitoa mhanga ketetea mafanikio ya bwana zao! katika jamii nyingi mbwa hutumiwa kuwinda wanyama wa mwituni kwa ajili ya kitoweo, katika jamii ya Kiluo mbwa hutumiwa kuwinda sungura, wao huita Apwoyo, lakini mbwa anapokamata Apwoyo, bwana wake hula minofu yote na kumuachia kwato, vichwa mapanki na matumbo ambayo ni nadra kuliwa na mtu, Mkuu gombesugu nisome kwa ushui.

Maeneo mengine ya nchi yetu mbali na mnyama huyo kujitwika dhima ya kulinda familia na utajiri usiku kucha, bila mshahara huishiwa kupewa makombo, tena mwishoni baada binadamu kuwa wamemaliza kula minofu mbwa hulazimika kula makombo chini ya meza ya bwana wake hata kama alichinjwa mbuzi.

Hakuna anayekubali kula meza moja na mbwa, achilia mbali sahani moja, wala hakuna anayekubali kunywea maji katika bakuli ya mbwa, wakati wa baridi na masika mbwa huachwa kunyeshewa nje hulia kwa huruma malangoni wala hakuna anayemjali lakini bado mbwa ni waaminifu kwa bwana wao...niishie hapa ndugu yangu najua umenifahaumu uzuri kwenye kisa hiki cha mbwa.

Tuendelee na mjadala.
 
Last edited by a moderator:


Shariff Ritz,

Shukran mno kwa bayana hii ilo njema na mafundo mangi ndanimwe!

Imenilazim kui-print na tahifadhi kwa mrejeo wakti mwangine.

Mola akulipe kwa takrima zako za Ilm humu-JF.

Ahsanta.
 
Mkuu gombesugu

Huyo jamaa mnafiki sana, wao ndiyo wanaanza kutoa lugha za kejeri na matusi wakijibiwa wanaanza kulalamika hawa hawajui kuwa sisi ni waungwana sana kama watafanya mnakasha kwa lugha za stara, ebu msome huyu kauzu hapa chini.
Sasa wewe kauzu eti unalalamika umetukanwa, unadhani wewe kutumia lugha za kifedhuri humu JF watu wengine hawawezi, kama umeamua kutumia hizo lugha tulizana mipini uingie kwenye hoja.
 
Last edited by a moderator:
Acha kulia lia ngoja nidadavue bayana zako kiduchu, ebu jisome hapa chini mlivyokuwa mnatoa kejeli.
Baada ya kutoa matusi na kejeli bado ukaona haitoshi ukaendelea tena jisome hapa chini.
Sasa mtu kama wewe kweli kuna mtu atafanya mjadala na wewe kiungwana, kama unajiamini hii lugha yako ni sawa usilie lie kuwa umetukanwa kama kisu kimegusa mfupa.
 
Unamaanisha nini unaposema WAARABU KOKO?

Waarabu koko ni nyie wagunya mliokuwa watumwa wa kuchuma karafuu. Tatizo mmejifunza kiarabu kidogo na kujua kunywa kaawa na kashata alafu mnajifanya sio wafrika ni waarabu. Na usizani namaanisha machotara bali kunamijitu mingine myeusi kama mkaa alafu inajiona sio waafrica kama watu wa bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…