Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Pasco,

Unasema na nakunukuu: ''Nimekisoma na kukisoma na kukisoma na humu jf
pia ni mimi ndio nimekiweka na tumekiponda humu kama tulivyoyapobda
maandishi ya Maalim Mohamed Saidi na kisa cha wazee wake wa Gerezani!.''

Kwanza awali ya yote Pasco jifunze kuandika vizuri kisha ndiyo utoke ukumbi.
Pili jifunze adabu ya mnakasha.

Wewe hujafikia makamo ya ''kuponda'' kazi ya Dk Harith Ghassany kwa kigezo
chochote kile ukijuacho wewe na mfano wa wewe.

Tatu wewe hujafikia hali ya kukabiliana na mimi.
Mimi nikinyanyua kalamu huwa sikukusudii wewe na mfano wa wewe.

Asilani wewe Pasco huingii katika fikra zangu.
Utaingia kwa kipi khasa?

Mimi kuna watu nawakusudia na wao wakisikia Mohamed yuko uwanjani
hutoka kuja nisikiza na wengi hawachangii.

Wanakuja kusoma.

Huja kama anavyopenda kusema Spike Lee huja ''kufyonza elimu.''

Lakini umenifurahisha kitu kimoja.
Umeniita ''Maalim.''

Mkuu Maalim Mohamed Said,
  1. Kwanza asante kwa kuja, nitakuhitaji zaidi katika mnakasha utakaojitegemea kuhusu uongo wa Dr. Ghassany ambao ameutumia utangulizi wako, kutoka ule uongo wako wa Wazee wako wa Gerezani!. Hii sio mada husika hapa!, someni mada, kama mna majibu jibuni, hamna nyamazeni kimya tuendelee na maandalizi ya kushereheka!.
  2. Mimi siku zote nakukubali kuwa wewe ni Maalim na unakipaji kikubwa cha kusimulia hadhithi, vitabu vyako navisoma na kuvufurahia kama ninavyofurahia Elfu Lela U Lela au Hekaya za Abunuwas! japo pia nakiri kwa kiasi fulani ni literary work iliyochanganywa na utunzi makini wenye uongo ulivishwa vizuri na kufanana na ukweli!.
  3. Hili la kuponda kazi za waongo, halihitaji umri!. Kwenye nyuzi zako naamini unapajua ninaposimami, na kama sikosea aliyemleta humu Ghassany mwanzo ni wewe na tulikuponda na kumponda with facts, nikimaanini mtu huhitaji kuwa ni wa makamo fulani ndipo uweze kuubaini uongo na kuuponda!. Nilitamani sana nami niwe ni mwandishi wa calibre yako au Ghasanny tutoe vitabu vyenye ukweli ili kuufuta upotoshaji wenu, wewe kuhusu uhuru wa Tanganyika na mwenzio kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Ningependa muumbuliwe mkingali hai, ili kuwapunguzia mzigo vizazi vijavyo kulishwa sumu ilioimwaga kwenye maandishi yenu!.
  4. Hilo la kutofikia kiwango cha kukabiliana na wewe, nakubali, na kutongia kwenye fikra zako pia nalikubali!. Kiuanazuoni, aslan ziwezi kujilinganisha na wewe wala sistahili hata kufunga kidamu za tawalanda zako, ila angalau nimejaaliwa uwezo wa kuhesabu moja na moja ni mbili!. Maalim kama wewe utakaposema moja na moja ni moja au ni tatu!, ninauwezo sio tuu kukuambia ni mbili bali pia kukuonyesha, moja na moja ni mbili na sio moja, sio tatu!. Kule kwenye maandishi yako nilikueleza!.
  5. Mimi ni miongoni wa hao ambao ukitoka, huja kusikiliza na kutokana na ustadi wako kuhadithia, hata babu yaku alikuwa mpiga hadidhi mzuri, akisimulia usingizi hukatika!. Ukiniona nimechangia ujue uvumilivu umenishinda kuunyamazia uongo wa wazi wazi ila pia kwa vile ni hadithi, kuna wakati najinyamazia ili hadidhi hadithi, ungo njoo, utamu kolea ipite!.
  6. Sina tatizo kabisa na kazi kubwa za reaseach mlizofanya, wala sizidharau juhudi zenu mlizoweka katika maandishi yenu, natatizwa na tatizo moja tuu ndani ya maandishi yenu nyote wawili, ni "The motive Behind!" kaziu zenu zile!. Zote mbili zilikuwa na "ill motive!", naomba hapa nisiingie kwa ndani kwa sababu niliisha kueleza kule kwenye nyuzi zako na nisingependa huu ndio uwe mwelekeo wa mnakasha huu!.
Merry X-Mass
Pasco

For the sake ya mnakasha huu, mnazo hoja jibuni, hamna tulieni, nyamazeni, tuendelee mbele!
 
Barua haikuandikw sbb kiti cha Tanganyika kilikuwa na deni wakat cha ZnZ kilikishalipiwa miaka zaid mbele hivo ikaamulika kitumike cha ZnZ dairekt
 
[/COLOR]Mkuu Maalim Mohamed Said,

[/COLOR]
Pasco

Wewe ndiyo umeleta huu mjadala watu ndiyo kwanza wanaanza kukujibu halafu unataka kuwafukuza, Wazee wa Gerezani kwako wanaweza kuwa waongo wajinga lakini hawa hawa wazee ndiyo walikuwa mbele kwenye harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika, sijui wakati huo wazee wenu wakweli walikuwa wapi, Pasco tulizana huu uzi kwanza ndiyo una page 4.
 
Tunajivunia maendeleo yafuatayo miaka 50
Urojo
Muhogo Wa jangombe
Tosi za kengeja
Halua ya wete
Chaza na pweza
Mchele pembe au VIP
Dagaa kavu la mkoani na nungwi
Karafuu
MV spice na fatihi

Ongezea na we we
 
Yaani unachofanza hapa ni kujidhalilisha na kuonyesha yakuwa huifahamu asilan history ya Zanzibar au Wazanzibary!?

Mie takujibu kwa kifupi tu...maana bado pana masuali mangine mangi toka kwa Wanajamvi wangine nayo pia yataraji/yastahili majawaba yako!?

Kwa kifupi wewe nakhis unashindwa kutafautisha baina ya social struggle na Slavery!?

Ukiwa tayari mie binafsi takutajia hapa hapa jamvini majina ya the so called Natives/Blacks Zanzibaris kadhaa ambao waliowahi kuoa ndani ya zile Aristocracy families za hao wewe uwaitao ati ndo "Waarabu"!?

Je wafahamu yakuwa enzi hiyo weye unayodai ndo ilokua na Utumwa pale Zanzibar...mbona pia palikua na Natives/Blacks wengi tu ambao ndani ya majumba na mashamba/kondeni mwao walikua na wafanyikazi wa Kizanzibary waliokua na asili ya Arabuni,Persia,Goa,Indian Sub Continent,China na pahala kwingineko kwingi mno!?

Je wafahamu yakuwa the so called Natives/Blacks Zanzibaries...pia walikua wakiruhusiwa kumiliki ardhi!?

Sasa Slavery ya aina gani hiyo unayodai wewe humu mpaka ifikie ati kuna watu humo humo kati ya Slaves nao wana haki zoote kama walizo nazo hao ulowaita ati ndo Mabwana/Waarabu au waendesha huo ulodai ati ndo utumwa!? Duh!

Hivi unafahamu ile Slavery ilokua pale Amerika kiundani na impact yake kwa Blacks dunia nzima mpaka kesho!?

Hizo sehemu zoote ulizotaja kwenye post yako hapo juu...hizo sehemu walikua wakikaa wengi wao ni Immigrants/Wahamiaji tokea sehemu mbalimbali za Mainland au Afrika!

Wengi ya wakaazi wa sehemu hizo kwa tajriban miaka mingi mno...hawakua asilan ati ni Wazanzibary,Hasha,abadan asilan!...walikua wengi wao ni pia askari waliorejea tokea zile WWI&WWII!

Na mmojawapo alikua Mzee Hussein Onyango Obama...Babu yake yule Baraka wa Amerika!

Si wafahamu yakuwa huyo Mzee Hussein Onyango...alipewa hisham na hadhi kubwa mno pale Unguja na mpaka akasilimu kwa khiyari yake mwenyewe na kupewa mke na makazi/nyumba na nduguze wa Kiislamu pale Kwa Mtipura!

Aliishi Unguja kwa miaka kadhaa na kwa raha zake!...sasa hivi kweli nchi yenye utumwa inakuwa na nafasi au takrima kwa vijakazi/watumwa wake kufikia hali hiyo!?

Ndo maana lazim ujue kiundani maana ya Slavery na social and/or political struggle!?

Ni ukweli usiopingika yakuwa wengi wao walikua ni working class blacks!...na pia wengi wao walikua si Wazanzibary wala hawakua na asili ya Zanzibar asilan!

Wengi ya Wazanzibary the so called Natives/Blacks ambao waliokua hawana uwezo/working class... walikua wakiishi mashamba/Vijijini ambako ndiko walikozaliwa au kwenye asili zao!

Hivi unafahamu kiundani yakuwa...wakti huo unaojaribu kupotosha humu jamvini ati ilikua slavery hapo Zanzibar...palikua na Wazanzibary wengi mno waliokua na asili za Kiarabu,Persia,Indian Sub Continent na kwingineko ambao walikua ni watu wa kawaida mno/working class...tena wakitumwa kuwa madobi,matopasi,wafagizi wa marikiti/masokoni,wauza samaki,wasonga halua na shughuli nyanginezo nyingi ambazo hata kwa wakti huo zalikua zikionekana pia si za hadhi ayu hishma kubwa!

Na wakti huo huo palikua na the so called blacks/natives ambao walikua na shughuli mujarab bila pingamizi zozote na wakijikimu pasi kiasi!?

Sasa Taifa lipi katika dunia hii ambalo lili-practice Slavery khalaf wakti huo huo pakawa na social intergration/fair proportion of equality to that extent and/or degree!?

Wewe unafahamu pale Amerika au Biritish Colonies ilichukua miaka mingapi hata Blacks kuanza kuruhusiwa labda japo kumtazama/kumtongoza Mwanamwari wa Kizungu!?...hata baada ya kufanza zile propagandas zao za kujitangazia ati wao Western World ati ndo walokataza/walositisha majambo/uharami wa ile Slave Trade!?

Mkuu...fahamu yakuwa hapa hakuna hata mmoja anayetetea Waarabu kama nao walifanza uharamia wa aina yoyote kwa Bin-Adam wenzao!? Hasha abadan!

Hakuna asilan mwenye kupinga yakuwa Zanzibar ilikua ni Slave Market kubwa mno!...lakini hii nayo pia ni Topic nyangine kubwa mno na pana saana! Maana italazim tuchambue kiundani hao wanunuzi wakubwa/maarufu wa Slaves walikua akina nani/mataifa yao,athari za huko waliokokamatwa/kununuliwa na jamii zake,hao wanunuzi walikua ni akina nani,wapi walipelekwa hao Slaves kwa wingi mno,mataifa/maharamia wapi ndo pia walofaidika na huo ushuru wa Watumwa kwenye ile Zanzibar Slave Market,na mabo mangine mangi pita kiasi!

Kinachotatiza kiduchu hapa ni;your unfair potrayal of Zanzibar society during those times and its Arabs Rulers,Ok!?

Ahsanta.
Mkuu Gombesungu, Mzee wa Ahsanta, ahsanta kwa yote!. Hii sio threads ya mazuri, wala mabaya ya Waarabu waliotawala Zanzibar!, hii ni thread ya maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Ukitaka nieleze uzuri, wema na ukarimu wa Watawala wa Kiarabu hapo Zanzibar, naweza, nitaifungulia thread yake ili humo tuwasifu kwa mema yote waliotutendea na kubwa kuliko yote ni ile biashara njema ya kutuuza utumwani, tena niwaeleze kabisa watu humu watumwa wa Zanzibar waliuzwa wapi na huko walikouzwa wanaume wote walifanywa nini?, na wanawake walitumikaje!.

Kama una majibu kwa hoja za msingi leta, huna, tulia tuendelee!.
Ahasanta
Pasco
 
Pasco

Wewe ndiyo umeleta huu mjadala watu ndiyo kwanza wanaanza kukujibu halafu unataka kuwafukuza, Wazee wa Gerezani kwako wanaweza kuwa waongo wajinga lakini hawa hawa wazee ndiyo walikuwa mbele kwenye harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika, sijui wakati huo wazee wenu wakweli walikuwa wapi, Pasco tulizana huu uzi kwanza ndiyo una page 4.

Pasco kaja na mhemko ninacho mshauri akae chini apate maji funda tatu halafu arejee hapa
 
Barua haikuandikw sbb kiti cha Tanganyika kilikuwa na deni wakat cha ZnZ kilikishalipiwa miaka zaid mbele hivo ikaamulika kitumike cha ZnZ dairekt
Mkuu Kichangan, hizi sasa ndizo hoja zenyewe za msingi za mjadala huu na haya sasa ndio majibu ya maswali yameanza kuja!. Nahitaji uthibitisho wowote hata wa fasihi simulizi
  1. Kwanza kama ni kweli Tanganyika ilikuwa na deni UN?.
  2. ZnZ kiliishalipiwa hadi miaka mingapi ya mbele?.
  3. Iliamuliwa na nani na kivipi?.
  4. Unamaanisha kile kiti cha Tanzania kule UN sii chetu ndicho hicho cha Zanzibar?.
  5. Zile pesa walizolipia advanve tuliwalipa au ndio mchango wake kwa muungano?.
Pasco
 
Pasco

Wewe ndiyo umeleta huu mjadala watu ndiyo kwanza wanaanza kukujibu halafu unataka kuwafukuza, Wazee wa Gerezani kwako wanaweza kuwa waongo wajinga lakini hawa hawa wazee ndiyo walikuwa mbele kwenye harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika, sijui wakati huo wazee wenu wakweli walikuwa wapi, Pasco tulizana huu uzi kwanza ndiyo una page 4.
Mkuu Ritz, usitake kunilisha maneno!, unawatukana wazee wa Gerezani waongo, wajinga?!, ili usingizie mimi ndio nimewatukana!. Sitaki kuwafukuza bali nasisitiza lets keep the focus ya hoja kwenye mjadala huu!. Ukifuatisha kila unachiulizwa tupapoteza mwelekeo!. Huu uzi una hoja zake, wenye majibu ya hoja hizi wayalete, na kama kuna wenye hoja zao wanaoitaka majibu, wazifungulie threads tutazijibu huko!. Hapa jibuni hoja!.
Pasco
 
Mkuu Gombesungu, Mzee wa Ahsanta, ahsanta kwa yote!. Hii sio threads ya mazuri, wala mabaya ya Waarabu waliotawala Zanzibar!, hii ni thread ya maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Ukitaka nieleze uzuri, wema na ukarimu wa Watawala wa Kiarabu hapo Zanzibar, naweza, nitaifungulia thread yake ili humo tuwasifu kwa mema yote waliotutendea na kubwa kuliko yote ni ile biashara njema ya kutuuza utumwani, tena niwaeleze kabisa watu humu watumwa wa Zanzibar waliuzwa wapi na huko walikouzwa wanaume wote walifanywa nini?, na wanawake walitumikaje!.

Kama una majibu kwa hoja za msingi leta, huna, tulia tuendelee!.
Ahasanta
Pasco

Babu zetu ndio waliwauzia Waarabu watumwa, kwa shanga na vioo. Au hilo hulijui?
 
Mkuu Gombesungu, Mzee wa Ahsanta, ahsanta kwa yote!. Hii sio threads ya mazuri, wala mabaya ya Waarabu waliotawala Zanzibar!, hii ni thread ya maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Ukitaka nieleze uzuri, wema na ukarimu wa Watawala wa Kiarabu hapo Zanzibar, naweza, nitaifungulia thread yake ili humo tuwasifu kwa mema yote waliotutendea na kubwa kuliko yote ni ile biashara njema ya kutuuza utumwani, tena niwaeleze kabisa watu humu watumwa wa Zanzibar waliuzwa wapi na huko walikouzwa wanaume wote walifanywa nini?, na wanawake walitumikaje!.

Kama una majibu kwa hoja za msingi leta, huna, tulia tuendelee!.
Ahasanta
Pasco

Mkuu Pasco!

Acha zogo hapa jamvini...hizo ahsanta zangu achana nazo wala zisikusumbue,ni hishma na taadhima tufunzwazo kwenye families na jamii zetu tangia tukiwa waduchu,Ok!?

Yaani ni sawa nawe vile uwekavyo LIKE/s kwenye kila penye uharo uuonao humu-JF!!

Huna uwezo wowote wa kufungua thread makini wewe...umeishi miaka mingi humu-JF kudanganya na kusifiwa na hawa misukule wengine!

Hizo propagandas zako za Wazungu na Makasisi peleka kwa misukule wasiokujua Pasco...nakuhakikishia huna uwezo/kiwango cha kuzungumza history!!

Hizo story mbona nimeshazisikia mno mle Sunday Schools...hizo zilitengenezwa na maharamia/Scholars wa West baada ya kuanza kuandamwa/kuulizwa kitaaluma na Anthropologists walokubuhu wa-justify na kulinganisha ile Systematic European Slave Trade/Black Holocaust aka Trans Atlantic Slave Trade na hizo walizodai ati ndo utumwa wa Arabs! Duh!

Ndipo vikaja vi-theories vingi mno vya makhanatha na urongo ulokubuhu...ati Wanaume walihasiwa Arabuni au kuuliwa ndo maana ushahidi wa Slavery huko ni mduchu tu kulinganisha na Western World!? Teeh! Teeh! Teeh!

Siku nyingi Mkuu!...lakini msalimie Lydia Maleko kama bado yupo hai!? Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwa kifupi wewe ndo umeanza kuleta taarab na upotoshaji ndo maana ilitulazim tukujibu japo kiduchu,and believe me was just out of respect! Teeh! Teeh!

Tafadhali jibu masuali Mkuu ili tusonge mbele,acha kumkashifu Sheikh Mohamed Said,Ok!?

Ahsanta sana.
 
Pasco

Nijuze kiduchu ukibaraka wa Shamte ni upi.

Na kwa nini mapinduzi haya unayaita matukufu.
Matukufu maana yake nini?
Mapinduzi "matukufu"? huo utukufu wake ni upi?
Mkuu Ritz, unamjua Shamte au unamsikia tuu?!.

Jee unajuwa kuwa Shamte alikuwa ASP!, unazijua sababu zilizomfanya kujiengua ASP na kuunda ZPPP?!.

Baada ya ASP kushinda uchaguzi wa mwanzo, Shante aliutamani Uwaziri Mkuu, kwa vile Karume ndio alikuwa Kinara wa ASP, Mohamed Shante akijiengua kutoka ASP na kuunda chama cha ZPPP ili kujiunga na wabaya wa ASP kuunda serikali ya mseto

Katika uchaguzi wa Julai 1961, ASP kilipata asilimia 49.9 ya kura zote, ZNP kilipata asilimia 35 na ZPPP asilimia 13.7. Hata hivyo, pamoja na ushindi wa kura ASP, kilishindwa kutamba katika viti vya bunge (LEGCO) kilipopata viti 10, ZNP 10 na ZPPP vitatu.

Uchaguzi huo ambao haukupata mshindi na ilibidi urudiwe Julai, 1963, matokeo ni muungano wa ZNP/ZPPP viti 18 na ASP viti 13. Shamte alishauriwa aunde Serikali ya mseto kati ya ZNP/ZPPP na ASP ili kulinda umoja wa kitaifa, lakini aligoma kata kata kwa kiburi na jeuri ya kuogopa ASP isije kumoutshine!. Kitendo cha Shamte aliyekuwa ASP na kujitoa kwa tamaa ya uiongozi, kisha kukataa kata kata kushirikiana na ASP ambao ndio Waswahili wenzake na badala yake kujiunga na ZNP ambacho ni cha Waarabu, hapa ndipo ukibaraka wake ulipolalia!.

Pasco.
Someni majibu ya pamoja!.
Pasco
 
Nduguzangu,

Assalaam Alaaykum,

Siku kama leo, taarikh 25 April, 1964 - miaka 36 iliopita - ndio siku
Zanzibar ilipopotezewa Udola wake kwa kutiwa chini ya utawala wa Tanganyika
kwa jina la muungano. Kwa munasaba wa msiba huu, nimejaaliwa kuipata
makala hii ifuatayo. Makala hii japo kuwa imeandikwa miaka 14 iliopita
lakini ni kama imeandikwa leo. Tafadhalini tuisome, tuizingatie na
tutafakari vipi kupata njia za kuirejeshea Zanzibar Udola wake. Udugu wetu
na Tanganyika ni wakuhifadhiwa na kudumishwa kwa manufaa yetu sote, bila ya
mmoja kuwa mtawala na wa pili mtawaliwa.

WHEN ZANZIBAR WAS FOOLED
25 APRIL, 1964
(Extracts from Free Zanzibar Voice March/April, 1986)

It is customary in many countries of the world to play practical but
harmless jokes on one's friends on the 1st of April. Our neighbour Nyerere
chose the 25th of April for his gigantic hoax on Zanzibar.

On the fateful day Abedi Amani Karume, of Zanzibar and Julius Nyerere, of
Tanganyika signed a piece of paper - Article of Union - (appendixed below)
which sold away for good the freedom and sovereignty of our ancient
country and people. That was a tragic event not only for Zanzibar, but also
for Tanganyika as well as for the whole region of East and Central Africa.
Freedom, like Peace, is indivisible. When freedom is destroyed in the
farthest corner of the world the freedom of the whole world is threatened.
How much so when catastrophe of un-imaginable magnitude; for Nyerere it was
a fulfillment of a dream.

GOVERNMENT NOTICE NO. 243 PUBLISHED ON 1/5/64
THE ACTS OF UNION OF TANGANYIKA AND ZANZIBAR.

NOTICE

It is hereby notified that the following law was made by the Revolution
Council of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, on
twenty-fifth day of April 1964.

THE SCHEDULE

ARTICLE OF UNION
Between
THE REPUBLIC OF TANGANYIKA
And
THE PEOPLE'S REPUBLIC OF ZANZIBAR

WHEREAS the Government of the Republic of Tanganyika and of the People's
Republic of Zanzibar, being mindful of the long association of the peoples
of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of
furthering that association and strengthening these ties and of furthering
the unity of African peoples, have met and considered the union of the
Republic of Tanganyika with the People's Republic of Zanzibar.

AND WHEREAS the Government of the Republic of Tanganyika and of the People's
Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in
one sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter
contained: -

It is therefore, AGREED between the Government of the Republic of Tanganyika
and of the People's Republic of Zanzibar as follows: -

(i) The Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar shall
be united in one Sovereign Republic.

(ii) During the period from the commencement of the union until the
Constitution for the United Republic (hereafter referred to as the interim
period) the united Republic shall be governed in accordance with the
provisions of Articles (iii) and (iv).

(iii) During the interim period the Constitution of the United Republic
shall be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for: -

a. a separate legislature and executive in and for Zanzibar as from time to
time constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having
exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to
the Parliament and Executive of the United Republic;

b. the offices of two Vice-Presidents one of whom (being a person normally
resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and
for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the
United Republic in the discharge of his executive functions in relation to
Zanzibar;

c. the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;

d. such other matters as may be expedient or desirable to give effect to the
United Republic and to these Articles.

(iv) There shall be reserved to the Parliament and Executive of the United
Republic the following matters:

a. The Constitution and Government of the United Republic;

b. External Affairs;

c. Defence;

d. Police;

e. Emergency Powers;

f. Citizenship;

g. Immigration;

h. External trade and borrowing;

i. The Public service of the United Republic;

j. Income tax, corporation tax, customs and excise;

k. Harbours, civil aviation, posts and telegraphs; and the said Parliament
and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and
for the purposes of the United Republic and in addition exclusive authority
in respect of all other matters in and for Tanganyika.

(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in
their respective territories subject:-

a. to any provision made hereafter by competent legislature;

b. to such provision as may be made by order of the President of the United
Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the
matters set out in Article (iv), and the revocation of any corresponding law
of Zanzibar;

c. to such amendment as may be expedient or desirable to give effect to the
union and to these Articles.

(vi) a. The first President of the United Republic shall be Mwalimu JULIUS
K.
NYERERE and he shall carry on the Government of the United Republic in
accordance with the provision of these Articles and with the assistance of
the Vice President aforesaid and of such other ministers and officers as he
may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public
services.

b. The first Vice President from Zanzibar to be appointed in accordance with
the modifications provided for in Article (iii) shall be Sheikh ABEID
KARUME.

(vii) The President of the United Republic in agreement with the
Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall:-

a. Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the United
Republic.

b. Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika
and from Zanzibar in such members as they may determine to meet within one
year of the commencement of the union for the purpose of considering the
proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the
United Republic.

(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the
Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the People's
Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof,
ratifying the same and providing for the Government of the United Republic
and of Zanzibar in accordance therewith.

IN WITNESS WHEREOF Julius K. Nyerere, the President of Republic of
Tanganyika, and Abeid Karume, the President of the People's Republic of
Zanzibar, have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this
twenty-second day of April 1964. (Unquote).

The above document was the beginning to an end of the State of Zanzibar.

In 1956 Nyerere with the convenience of the British administration in
Tanganyika and Zanzibar and under its full blessings came to Zanzibar to
complete his establishing of the Afro-Shirazi. Eight years later -1964 -
the evil seeds that Nyerere planted bore its monstrous fruit. Zanzibar was
swallowed and digested to become part and percale of a new-fanged nation
called Tanzania. At that moment the State of Zanzibar ceased to exist, it
has even been wipped out from the world map. Nothing but Tanzania.

Hoax Turned Sour
The hoax that Nyerere played on Zanzibar has turned sour, not only in
respect of the delude islanders, but also in respect of Tanganyikans. The
annexation called union, has become a millstone round the neck of all
Tanzanians. It has become a tremendous liability. Poverty, disease,
ignorance, humiliation and contempt have become the hallmark of the so
called union since its inauguration on 25th April, 1964. The international
press has at times caricatured Nyerere as a python who has swallowed a goat
but incapable of completely digesting it or vomiting it. Only few years
after the union Nyerere in obvious despair stated publicly, and his speech
was broadcast live: - "This union with Zanzibar has brought us nothing but
Balaa! Balaa !! Trouble! Trouble!!". It is known that his aides would often
privately advise him to dissolve the monstrous union, but having crossed the
Rubicon there could be no turning back with a man who fancied himself a
reincarnation of his Roman namesake, Julius Caesar, whose Shakespearean play
he has translated in Swahili. He had his pride to think about. How else
would he leave his mark in history ?

It is true that Zanzibar has been dominated, conquered and subjugated. In
this lop-sided union between a mouse and a cat nothing is shared equally
except backwardness, squalor and the impoverished Tanzania shilling, which
on free market is worth 1/20 on its next door counterpart if anything so
dramatically demonstrates the deterioration of the Tanzania union since its
inception twenty years ago Nyerere's currency does it remarkably well.

However, history or not, truth cannot be distorted forever, and one cannot
deceive all the people all the time. Tyrants, stooges, renegades, hypocrites
and cowards may flourish for a time, but sooner or later, the truth be
unveiled and culprits will see themselves in their complete nudity.

This is not the first time that Zanzibar has undergone the painful
experience of being subjected to foreign rule. Just as we were able to
shake off the oppressive Portuguese rule, and the imperialism of Britain we
should not shirk our duty in ridding the country from any tyranny. No
physical pleasure can well and truly allay the pangs of conscience for duty
not done. We owe it to ourselves, and we owe it to our fathers and mothers
that begot us, and our children and the children of our children yet unborn,
to liberate the land of our ancestors from oppression and from alien
domination. Above it we owe to our Maker to fulfill the mission for which He
created us and fashioned us to fit the task to which we were assigned.

Grand-child". But we say: It is not too late. And it is better late than
never. Instead of leaving your beloveds and live abroad as a refugee, it is
a high time now that we unite as one Umma for the liberation of our
mother-land and save our people from being completely wiped out by hunger,
disease, ignorance and the imposition of foreign cultures and values which
are calculated to destroy the very bases on which our nation is built.

Hayo ndio yaliotueleza Free Zanzibar Voice miaka 14 iliopita. Muhimu, sisi
Wazanzibari umoja na ujirani ndio azimio letu tangu kale. Vile vile,
tunaamini katika nyoyo zetu kuwa binadamu amezaliwa huru na anatakiwa aishi
huru, kwa hivyo basi, haturidhii kuona yoyote yule ananyimwa uhuru wake na
kutawaliwa kwa njia yoyote ile. Kutokana na imani hii ndio tunaposema kwa
sauti kuu kuwa tunataka Udola wa Zanzibar urejee na tuishi na nduguzetu
Tanganyika kwa ujirani na mafahamiano kama hapo zamani.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu atupe kila la kheri na atuepushe na kila
la shari – Amin.

Wa Billah Tawfiq

Farouk

Source: http://www.zanzinet.org/journal/apr_03.html
 
Someni majibu ya pamoja!.
Pasco

Mkuu Pasco,

Sasa kweli unaanza kuchemka!? Duh! Yaani ndo umejibu hapo!? Teeh! Teeh!

Basi pumzika Mkuu sisi tutafanza sabra mpaka hii holiday season iishe,au vipi!?

Ahsanta sana.
 
Mkuu Pasco!

Acha zogo hapa jamvini...hizo ahsanta zangu achana nazo wala zisikusumbue,ni hishma na taadhima tufunzwazo kwenye families na jamii zetu tangia tukiwa waduchu,Ok!?

Yaani ni sawa nawe vile uwekavyo LIKE/s kwenye kila penye uharo uuonao humu-JF!!

Huna uwezo wowote wa kufungua thread makini wewe...umeishi miaka mingi humu-JF kudanganya na kusifiwa na hawa misukule wengine!

Hizo propagandas zako za Wazungu na Makasisi peleka kwa misukule wasiokujua Pasco...nakuhakikishia huna uwezo/kiwango cha kuzungumza history!!

Hizo story mbona nimeshazisikia mno mle Sunday Schools...hizo zilitengenzwa na maharamia/Scholars wa West baada ya kuanza kuandamwa na Anthropologists walokubuhu wa-justify na kulinganisha ile European Slave Trade aka Trans Atlantic Slave Trade na hizo walizodai ati utumwa wa Arabs!

Ndipo vikaja vi-theories vingi mno vya makhanatha na urongo ulokubuhu...ati Wanaume walihasiwa Arabuni au kuuliwa ndo maana ushahidi wa Slavery huko ni mduchu tu kulinganisha na Western World!? Teeh! Teeh! Teeh!

Siku nyingi Mkuu!...lakini msalimie Lydia Maleko kama bado yupo hai!? Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwa kifupi wewe ndo umeanza kuleta taarab na upotoshaji ndo maana ilitulazim tukujibu japo kiduchu,and believe me was just out of respect! Teeh! Teeh!

Tafadhali jibu masuali Mkuu ili tusonge mbele,acha kumkashifu Sheikh Mohamed Said,Ok!?

Ahsanta sana.
Mkuu Gombe Sugu Muzee wa Ahasanta, ahasanta tena!.
Hili la uwezo mbona niliishalikubali!.
Unaleta majina ya wake za watu humu ili iweje?!.
Maalim Mohamed Said kamwe siwezi kumkashifu, ninamuheshimu sana!, napinga na uongo wake tuu na sio yeye!. Hata kwangu ni mwalimu!.
Sasa kama una majibu ya hoja zangu, jibu!, huna naomba utulie tuu, usitujazie savers!, naomba unielewa sio kuwa nafukuza watu, no, sitaki kuendekeza hoja muflisi out of topic ili tusipoteze focus!.
Kama huna majibu ya hoja zangu, ukinyamaza, utanisasidia sana na kulisaidia jukwaa!.
Ahasanta
Pasco
 
Mkuu Pasco,

Sasa kweli unaanza kuchemka!? Duh! Yaani ndo umejibu hapo!? Teeh! Teeh!

Basi pumzika Mkuu sisi tutafanza sabra mpaka hii holiday season iishe,au vipi!?

Ahsanta sana.
Mkuu Gombe Sugu Muzee wa Ahasanta, ahasanta tena!.
Hili la kupumzika kutafanza sabra mpaka hii holiday season iishe ni jema.

Tena nakuja Zanzibar kwa siku 7 kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Kheri na Neema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!. Kuna watu humu, yasingalikuwa yale Mapinduzi Matukufu!,sijui wangekuwa wapi?!.
Nakutakia mapamzako meama!
Ahasanta sana!
Pasco
 
Mkuu Pasco

Naona maswali yamekuwa jiwe kwako vizuri lakini kufa na tai shingoni, komaa hivyo hivyo mpaka mwisho kuwa hakuna majibu, teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Gombesungu, Mzee wa Ahsanta, ahsanta kwa yote!. Hii sio threads ya mazuri, wala mabaya ya Waarabu waliotawala Zanzibar!, hii ni thread ya maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Ukitaka nieleze uzuri, wema na ukarimu wa Watawala wa Kiarabu hapo Zanzibar, naweza, nitaifungulia thread yake ili humo tuwasifu kwa mema yote waliotutendea na kubwa kuliko yote ni ile biashara njema ya kutuuza utumwani, tena niwaeleze kabisa watu humu watumwa wa Zanzibar waliuzwa wapi na huko walikouzwa wanaume wote walifanywa nini?, na wanawake walitumikaje!.

Kama una majibu kwa hoja za msingi leta, huna, tulia tuendelee!.
Ahasanta
Pasco

Bado nakumbuka wakati nilipokuwa mtoto mdogo nimesimama mbele ya sinema ya Majestic iliyopo Zanzibar na kufadhaishwa na mgongano wa kiakili baina ya Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu waliyokuwa wamevaa nguo za kuvutiya za kijeshi, bastola kiunoni na bunduki mikononi, na mimi kuikamata kalamu na kujibu masuali kuhusu somo la utumwa wa Waarabu darasani skuli ya Tumekuja. Suala langu lilikuwa, kama Waarabu wanachukiwa na wanachukiza mbona Makomred walikuwa mstari wa mbele Zanzibar? - Dr. Harith Ghassany

Pasco
, unawajuwa Makomred?
 
Nduguzangu,

Assalaam Alaaykum,

Siku kama leo, taarikh 25 April, 1964 - miaka 36 iliopita - ndio siku
Zanzibar ilipopotezewa Udola wake kwa kutiwa chini ya utawala wa Tanganyika
kwa jina la muungano. Kwa munasaba wa msiba huu, nimejaaliwa kuipata
makala hii ifuatayo. Makala hii japo kuwa imeandikwa miaka 14 iliopita
lakini ni kama imeandikwa leo. Tafadhalini tuisome, tuizingatie na
tutafakari vipi kupata njia za kuirejeshea Zanzibar Udola wake. Udugu wetu
na Tanganyika ni wakuhifadhiwa na kudumishwa kwa manufaa yetu sote, bila ya
mmoja kuwa mtawala na wa pili mtawaliwa.

Hayo ndio yaliotueleza Free Zanzibar Voice miaka 14 iliopita. Muhimu, sisi
Wazanzibari umoja na ujirani ndio azimio letu tangu kale. Vile vile,
tunaamini katika nyoyo zetu kuwa binadamu amezaliwa huru na anatakiwa aishi
huru, kwa hivyo basi, haturidhii kuona yoyote yule ananyimwa uhuru wake na
kutawaliwa kwa njia yoyote ile. Kutokana na imani hii ndio tunaposema kwa
sauti kuu kuwa tunataka Udola wa Zanzibar urejee na tuishi na nduguzetu
Tanganyika kwa ujirani na mafahamiano kama hapo zamani.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu atupe kila la kheri na atuepushe na kila
la shari – Amin.

Wa Billah Tawfiq

Farouk

Source: http://www.zanzinet.org/journal/apr_03.html
Mkuu Zomba, unaonaje kama hili ungelianzishia thread yake tuchangie humo, namna ya kuisaidia Zanzibar kuurejesha udola wake!. Hapa tunajipanga kusheherekea Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu kisha zinafuatia sherehe za Miaka 50 ya Muungano Adhimu, huku tunamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mtukufu atupe kila la kheri na atuepushe na kila la shari na hila za wapinga Mapinduzi yale Matukufu, na Muungano huu Adhimu ili tupate kusherehekea miaka 100 ya Mapinduzi Matukufu na Muungano Adhimu– Amin.

Wa Billah Tawfiq
Pasqwa
 
Back
Top Bottom