Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Mapinduzi Matukufu wayaita mauaji?!. Zile ndoa za lazima kwa binti wa Kiarabu ili kuleta usawa waziita ubakaji?!. Nijuavyo mimi, mwanamke akishabakwa, tendo la ubakaji likiisha isha, hubakiwa na machungu na hata kumuona mbakaji hathubutu!. Hao dada zenu wa Kiarabu waliofungushwa ndioa za usawa, wangekuwa wamebakwa si wangekasirika na kuziasi hizo ndoa batil!, mbona wametulia tuli ndani ya ndoa na zomedumu mpaka kesho?!. Au ndio kusema kumbe wanafurahia kubakwa?!.
Pasco.

kusema ni rahisi !!! Mbona wale waliobakwa na mapadri si wote ambao hutoa siri ,??? Labda wale ambao wanaofumaniwa na watoto

Ni padri gani Afrika alifungwa kwa hayo mambo au unafikiri hawafanyi hayo mambo ???
 
Kwa kuwasaidia tu Zanzibar haina mwenyewe,watu karibu wote waliopo Zanzibar walifika pale kwa sababu ya biashara ya utumwa na ndiyo mahali palikuwa na urahisi wa kuwasafirisha watumwa vinginevyo wangeweza kutumia hapo Dar ambako kwao ingekuwa rahisi sana.Kuna watu walitoka Burundi,Rwanda,Kanda ya ziwa na maeneo mengine waliletwa hapo.Biashara ilipokoma,watu wengi walibaki hapo Zanzibar,sasa kunapotokea watu wanadai Zanzibar yao,nawaona kama ni wasaliti wa amani na ndiyo hawa waliozaliwa na waraabu wakatelekezwa hapo Zanzibar na hawaijui history ya chimbuko lao.Wanapaswa kuitafuta history yao si kwenye vitabu maana waandishi wengi waliandika kwa utashi wao.
Mkuu JF siyo sehemu ya porojo unaokota maneno kwenye vijiwe vya gongo unaleta JF.

Weka ushahidi wa haya maneno yako umeyapata wapi kwenye kitabu kipi siyo kuleta porojo.

Tunasubiri hizo data ulipozitoa usipoweka kwa kweli takudharau sana kamanda.
 
Na alaaniwe anayemsingizia al marhum!. Mkuu Gombesugu sikujui ila utakuwa umelaaniwa!, yaani una laana!. Kama hiyo laana haijaanza kukufanya vibaya, nawaomba wale wote wanaokujua waanze kukumulika maisha yako kwa karibu!, mkiona dalili zozote za laana, tubu kwa kumzingizia al marhum!.

Hili la dada zetu wa kizanzibari mbona mimi na sisi wabara tunawaheshimu sana!. Nikuhadithie kinachoendelea East Coast na West Coast?, nikueleze wanachowafanya hao Wataliano?!.
Ahsanta
Pasco
Pasco

Huyo wakurehemiwa ni nani? ambae tulisoma siku mbili baada ya kuzikwa kaburi lake limewaka moto? ikafifirishwa hiyo habari haikuonekana tena. Tena niliisoma gazetini.

Wakurehemiwa ni yule ambae hata ardhi ilitikisika na haijawahi kutokea kabla ya wakati wa kuzikwa kwake?

Wakurehemiwa ni nani yule aliyeanikwa mpaka maiti ikizongwa na nzi na harufu isiyo mfano na ilhali kajazwa madawa ya kutokuoza?

Mwenye laana anajulikana, duniani na kifoni.

Hiyo dua yako, ni kama ya mwewe kwa kuku.
 
Gavana hayo ni mawazo yako,kama ni mvivu wa kutafuta historia huna sababu ya kunilaamu.
 
Last edited by a moderator:
Mapinduzi Matukufu wayaita mauaji?!. Zile ndoa za lazima kwa binti wa Kiarabu ili kuleta usawa waziita ubakaji?!. Nijuavyo mimi, mwanamke akishabakwa, tendo la ubakaji likiisha isha, hubakiwa na machungu na hata kumuona mbakaji hathubutu!. Hao dada zenu wa Kiarabu waliofungushwa ndioa za usawa, wangekuwa wamebakwa si wangekasirika na kuziasi hizo ndoa batil!, mbona wametulia tuli ndani ya ndoa na zomedumu mpaka kesho?!. Au ndio kusema kumbe wanafurahia kubakwa?!.
Pasco.
Teh teh teh Pasco unazidi kujidhalilisha ujue haya maandishi unachokiandika akifutiki, halafu kumbuka wewe ni mzazi ana mabinti wa kike, endelea kutupa faida za Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Mapinduzi Matukufu wayaita mauaji?!. Zile ndoa za lazima kwa binti wa Kiarabu ili kuleta usawa waziita ubakaji?!. Nijuavyo mimi, mwanamke akishabakwa, tendo la ubakaji likiisha isha, hubakiwa na machungu na hata kumuona mbakaji hathubutu!. Hao dada zenu wa Kiarabu waliofungushwa ndioa za usawa, wangekuwa wamebakwa si wangekasirika na kuziasi hizo ndoa batil!, mbona wametulia tuli ndani ya ndoa na zomedumu mpaka kesho?!. Au ndio kusema kumbe wanafurahia kubakwa?!.
Pasco.

Wewe hayo mambo ya ubakaji na athari/impact yake kwa Mwana-Adam yeyote...wala siyo level yako ya mazungumzo! Na pia huna intellect wala integrity kwayo! Tafadhali yaache!!

Endelea tu kutukana humu na wapuuzi wenzio wangine wanakusoma tu!...maana wanajua kwa yakini yakuwa hapa jamvini umeshachemsha! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwani wewe Pasco si unajua Mkeo anadai na kukutangazia yakuwa humridhishi!?

Unajua yakuwa Mkeo anapakuliwa tena saana tu kwa raha zake na Wazanzibary!?

Ushawahi kupata fursa ya kumuuliza Mkeo raha aisikiayo anapopakuliwa ule ubwabwa wake mtamu na Wazanzibary...yaani yale yakushindayo wewe!? Kudadeki! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana!
 
Hivi huwa najiuliza,mbona kazi zilizofanywa na waingereza na wajerumani mpaka sasa bado zinaonekana kama vile mashule ,mahospitali,mahakama,barabara,reli,vyuo vikuu,meli n.k.

Hivi hawa waarabu kazi yao ilikuwa ni nini hasa?Hivi ni kweli kuwa kazi yao kubwa ilikuwa ni kuuza watumwa tu,kubaka dada zetu na kuwaachia machotara wa kiarabu tu?
 
Mkuu Ritz, hata nikikuwekea vitabu,kama kazi yako ni kupinga,utapinga hata maandishi yaliyoko kwenye vitabu.Sasa kwanini niendelee kupoteza muda.Waliolewa wamekubaliana na mimi na huo ndiyo ukweli,kama huamini nenda Zanzibar kawaulize kila mtu na asili yake,watakwambia ukweli
 
Mapinduzi Matukufu wayaita mauaji?!. Zile ndoa za lazima kwa binti wa Kiarabu ili kuleta usawa waziita ubakaji?!. Nijuavyo mimi, mwanamke akishabakwa, tendo la ubakaji likiisha isha, hubakiwa na machungu na hata kumuona mbakaji hathubutu!. Hao dada zenu wa Kiarabu waliofungushwa ndioa za usawa, wangekuwa wamebakwa si wangekasirika na kuziasi hizo ndoa batil!, mbona wametulia tuli ndani ya ndoa na zomedumu mpaka kesho?!. Au ndio kusema kumbe wanafurahia kubakwa?!.
Pasco.

Nadhani yakimkuta dada yako au mwanao hayo itakuwa ni furaha kubwa kwako. Si hasha wakiwavalia nusu uchi majumbani huwa mnawasifu.

Bi Kidude ameghani "usitukane wakunga na uzazi ungalipo".

Huu ndio "utukufu" wenyewe anaouelezea Pasco.

Waungwana msomeni kwa makini. Nadhani hata wale waliokuwa wanakuunga mkono kwa mbali hapa wanakusoma na wanakuona jinsi ulivyo hayawani.
 
Last edited by a moderator:
Hao ndio wazanzibari uliokuwa huwajui Pasco wako uwanjani right.now at Chaani mkoa wa Kaskazin Unguja kwenye Rally ya CUF. Theme ni Mamlaka Kamili ya Zanzibar Vyama Baadae
 
Haya salaam Wana wa Mnyanjani na Chongoleani!...yaani nalipokuona umengia kwa vishindo na buraha hapa jamvini,basi sijapenda na menikumbusha Maalim Pera Ridhwan wa Gombe nikalia mno Wallahi!
Ha! ha! ha!
Umenikumbusha mbaali mpaka nimeshindwa kujizuiya.

Maalim Pera Ridhwan mke aliyemwacha mjane yupo pale barabara ya kumi na moja aitwa Amina Anzuani.

Nyumba iliyopo uso kwa uso naye pembeni yake ni kwa Sharifu Yahya, baba yake Muhammad Yahya aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan ya Dar enzi hizo.

Moja ya nyumba ya kona pale ni kwa Sharifu Muhammad nduguye Sharifu Maulana..yote hiyo ni Mnyanjani na Chongoleani "line". sitii mguu Tanga bila ya kupitia nyumba hizo.
Gombesugu said:
Ni mie Gombesugu Bin Kidegenauliwani
Kidege nauliwani? ..sili cha mtu sinani!
Neno maarufu hili katika hiace ya baharia Hemed "Wickens" pale Tanga baadaye aliiuza hiace yake na kununua Taxi na kuhamia Dar, kutwa akishinda kwa mzee wetu Abuu hapo sikukuu na Twiga karibu na msikiti wa Shaadhily!
(wewe ni Hemed Wickens?! huna haja ya kujibu ukiwa hupendi)

Enzi hizo pale kwa Mzee Abuu "diwani" nikiwakumbuka kina Hamoud Abuu (aliishi Tanga kipindi fulani), Haji Abuu, Siwamini hata baharia kessy..yaani JF saa nyingine inakufanya mpaka ushindwe kujizuiya
 
Hivi huwa najiuliza,mbona kazi zilizofanywa na waingereza na wajerumani mpaka sasa bado zinaonekana kama vile mashule ,mahospitali,mahakama,barabara,reli,vyuo vikuu,meli n.k.

Hivi hawa waarabu kazi yao ilikuwa ni nini hasa?Hivi ni kweli kuwa kazi yao kubwa ilikuwa ni kuuza watumwa tu,kubaka dada zetu na kuwaachia machotara wa kiarabu tu?

Kabla ya kujiuliza Waarabu wanafanza/wamefanza nini...basi kama una maarifa japo kiduchu au ya kuazima tu,yatakiwa ujiulize nyinyi WaAfrika mna laana gani humu duniani!?

Je nyinyi Wa-Afrika mpaka hivi leo mmefanza nini cha maana zaidi ya kuuana kwa mahalaiki!? Dah!

Kwanini nyinyi Wa-Afrika mpaka leo bado tu mnaamini yule Muzungu mvaa nepi ati ndo Mwenyezi Mungu!? Duh!

Si bora hata mngemuabudu tu mtu yeyote Mpuuzi Mweusi mwenzenu kama vile Pasco!?... kuliko kujidhalilisha kwa Wazungu jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana!

CC;Faby
 
Hayo ndiyo maneno mnayoyapata kanisani ???

Hawa ndio waarabu ??

VIPI HAWA WALIOBAKWA NA MAPDRI WA KIZUNGU MWISHO WAO WAMEKUWA MASHOGA AU VIPI??

Tanzania

St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania

A prominent United Kingdom member of the order, Fr Kit Cunningham together with three other priests were exposed after Cunningham's death as paedophiles While at Soni, Cunningham perpetrated sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole". Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled and other sexual abuse.

Although known about by the Rosminians before Cunningham's death in 2010, the abuse was only publicly revealed by the media in 2011Formal action was launched by a group of former pupils at the civil court in Leicester, UK on 20 March 2013
 
Ha! ha! ha!
Umenikumbusha mbaali mpaka nimeshindwa kujizuiya.

Maalim Pera Ridhwan mke aliyemwacha mjane yupo pale barabara ya kumi na moja aitwa Amina Anzuani.

Nyumba iliyopo uso kwa uso naye pembeni yake ni kwa Sharifu Yahya, baba yake Muhammad Yahya aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan ya Dar enzi hizo.

Moja ya nyumba ya kona pale ni kwa Sharifu Muhammad nduguye Sharifu Maulana..yote hiyo ni Mnyanjani na Chongoleani "line". sitii mguu Tanga bila ya kupitia nyumba hizo.Kidege nauliwani? ..sili cha mtu sinani!
Neno maarufu hili katika hiace ya baharia Hemed "Wickens" pale Tanga baadaye aliiuza hiace yake na kununua Taxi na kuhamia Dar, kutwa akishinda kwa mzee wetu Abuu hapo sikukuu na Twiga karibu na msikiti wa Shaadhily!
(wewe ni Hemed Wickens?! huna haja ya kujibu ukiwa hupendi)

Enzi hizo pale kwa Mzee Abuu "diwani" nikiwakumbuka kina Hamoud Abuu (aliishi Tanga kipindi fulani), Haji Abuu, Siwamini hata baharia kessy..yaani JF saa nyingine inakufanya mpaka ushindwe kujizuiya

Ulamaa Al Sideeq,

Shukran na furaha ilioje nami pia kukusoma kula mara Al Habiby! Teeh! Teeh! Teeh!

Hamoud Abuu Jumaa siku hizi ndo Mbunge wa CCM...Hemed Wickens ni jamaa zetu upande wa Al Mazrui pale Tanga Barabara ya kumi na Tisa pale Bandani!

Yaani leo nasikia raha iso buraha...menikumbukusha mangi mno Wallahi Al Akhiy! Dah!

Hizo twaita ni Zama Al Zaman! Teeh! Teeh! Teeh!

Al Marhum Bibi yangu Mzalia Baba...ndo alokua Mwenyekiti wa Kamati/Shuraa upande wa Kinamama/Wanawake pale Al Masjid Shadhily!! Inna Lillahi Wa Inna Illahi Rajiun!

Nipa fursa japo kiduchu nikwache na tutazungumza zaidi Insha Allah...wajua nimo safarini kiduchu na family hapa.

Ahsanta.
 
Kabla ya kujiuliza Waarabu wanafanza/wamefanza nini...basi kama una maarifa japo kiduchu au ya kuazima tu,yatakiwa ujiulize nyinyi WaAfrika mna laana gani humu duniani!?

Je nyinyi Wa-Afrika mpaka hivi leo mmefanza nini cha maana zaidi ya kuuana kwa mahalaiki!? Dah!

Kwanini nyinyi Wa-Afrika mpaka leo bado tu mnaamini yule Muzungu mvaa nepi ati ndo Mwenyezi Mungu!? Duh!

Si bora hata mngemuabudu tu mtu yeyote Mpuuzi Mweusi mwenzenu kama vile Pasco!?... kuliko kujidhalilisha kwa Wazungu jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana!

CC;Faby

Mbona una hasira mkuu?
Nimekuuliza swali nikijua utanipa ilmu,naona umenilipa na matusi!Hizo sio tamaduni za watu wa bara yakhe!

Kwani mimi kumuamini mzungu mvaa nepi kuwa Mungu wangu inakuhusu nini?

Mbona wewe yule muarabu aliyemuoa mama yake na kumbaka mtoto wa miaka tisa unamuita mtume wako?

Naomba urudi kwenye hoja tafadhali!Ukinijibu swali langu la awali nitakushukuru sana!

Ahsanta sana!
 
Ha! ha! ha!
Umenikumbusha mbaali mpaka nimeshindwa kujizuiya.

Maalim Pera Ridhwan mke aliyemwacha mjane yupo pale barabara ya kumi na moja aitwa Amina Anzuani.

Nyumba iliyopo uso kwa uso naye pembeni yake ni kwa Sharifu Yahya, baba yake Muhammad Yahya aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan ya Dar enzi hizo.

Moja ya nyumba ya kona pale ni kwa Sharifu Muhammad nduguye Sharifu Maulana..yote hiyo ni Mnyanjani na Chongoleani "line". sitii mguu Tanga bila ya kupitia nyumba hizo.Kidege nauliwani? ..sili cha mtu sinani!
Neno maarufu hili katika hiace ya baharia Hemed "Wickens" pale Tanga baadaye aliiuza hiace yake na kununua Taxi na kuhamia Dar, kutwa akishinda kwa mzee wetu Abuu hapo sikukuu na Twiga karibu na msikiti wa Shaadhily!
(wewe ni Hemed Wickens?! huna haja ya kujibu ukiwa hupendi)

Enzi hizo pale kwa Mzee Abuu "diwani" nikiwakumbuka kina Hamoud Abuu (aliishi Tanga kipindi fulani), Haji Abuu, Siwamini hata baharia kessy..yaani JF saa nyingine inakufanya mpaka ushindwe kujizuiya

Ukihadithia hayo ya watu wajuanavyo na jinsi walivyokinahiana basi hawa kina Pasco wakiona huo udugu na umoja wetu basi roho zao huzidi kuwauma, wanatamani ardhi ipasuke watutumbukize wote, ukiwauliza "chuki" za nini hizo? hawana jibu. Ni uhasid tu na ujinga waliojazwa nao.

Wallahi cha kufurahisha humu, utaona ahli moja iliyoungana katika haki bila kujali mipaka wala bahari ikijaribu kuwatanabahisha hawa akina Pasco wasiyoyajuwa, lakini aaah, jinsi uhasid ulivyowazidi, hawaoni hawasikii, mioyo yao imejaa maradhi.

Ni aghalabu kumkuta Muislaam awe wa bara, wa pwani, wa mrima au wa visiwani kusherehekea udhalim kama anavyousherehekea huyu Pasco na wa aina yake. Ukimuuliza Zanzibar imemkosea nini? Wallahi hana jibu.

Matthew 7:20

King James Version (KJV)

Wherefore by their fruits ye shall know them
.
 
Back
Top Bottom