Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Wabara mkuu! Nia ya Pasco ilikuwa njema kama ukisoma bandiko mwanzoni ila taabu ilikuja pale waty walipoacha kumjibu Pasco wakamshambulia ati katoa historia ya uongo..majibu ya maswali yake hayajapatikana na moja ni KITI cha Zanzibar UN..kwavile woote wameingia kwenye mtego wa matusi kuanzia Pasco na akina maalim, busara itumike kufunga au kuufuta kabisa mjadala..
AHSANTA

Ben Mugashe

Nahisi dhamira yako ni njema tu juu ya jambo hilo hapo,
lakini ni swali dogo kwako; kati ya
kuufuta na kuondosha maneno machafu kipi kina faida hasa?
 
Kuondoa maneno machafu ni nzuri sana maana vijana kama mie wavivu wa kuchimba watapata ILMU hapa, nimejifunza mengi sana kwa wakuu hapa..tatizo ni kuwa kuanzia ukurasa wa 18 hv ni matusi kejeli na vurugu sana kwahy kuchambua na kutoa yasiyofaa ni kazi zaidi maana wote wamekosea...
Muungwana uomba samahani..kama nawakwaza tusameheane
 
Wabara mkuu! Nia ya Pasco ilikuwa njema kama ukisoma bandiko mwanzoni ila taabu ilikuja pale waty walipoacha kumjibu Pasco wakamshambulia ati katoa historia ya uongo..majibu ya maswali yake hayajapatikana na moja ni KITI cha Zanzibar UN..kwavile woote wameingia kwenye mtego wa matusi kuanzia Pasco na akina maalim, busara itumike kufunga au kuufuta kabisa mjadala..
AHSANTA
Acha ushabiki mandazi watu wameuuliza maswali kuhusu hayo Mapinduzi, hakutoa jibu jibu hata moja zaidi kujifia ngono pale gerezani na zanzibar.

Msaidie wewe kumjibia upo tayari kujibu.
 
Kuondoa maneno machafu ni nzuri sana maana vijana kama mie wavivu wa kuchimba watapata ILMU hapa, nimejifunza mengi sana kwa wakuu hapa..tatizo ni kuwa kuanzia ukurasa wa 18 hv ni matusi kejeli na vurugu sana kwahy kuchambua na kutoa yasiyofaa ni kazi zaidi maana wote wamekosea...
Muungwana uomba samahani..kama nawakwaza tusameheane

Ben Mugashe
Juu ya maneno yako umesema hajajibiwa masuali yake,
Lakini pia naomba asilete ujanja ujanja wa kujibu hoja/masuali aloulizwa,

Pasco, umeyasikia na kuyasoma maneno ya nduu yako Ben Mugashe,
Sasa naonba uanze kujibu maulizo yanayokukabili ili twende sawa
 
Acha ushabiki mandazi watu wameuuliza maswali kuhusu hayo Mapinduzi, hakutoa jibu jibu hata moja zaidi kujifia ngono pale gerezani na zanzibar.

Msaidie wewe kumjibia upo tayari kujibu.

Mkuu Ritz ndo maana nimesema wote wamekosea..mimi na ww tulianza vizuri kusoma toka juzi nakumbuka hata comments zako..ila kwa vile kitumbua kimeingia mchanga hakina budi kutupwa..hakisafishiki kabisa..kuna udini umejitokeza, kuna kashfa kwa viongozi umeonekana akina Mzee Karume na mkewe na Nyerere..bora tuwe waungwaba tu kwa kuufuta huu mjadala
 
Pasco, ungekuja kwa lugha ya kiungwana kwenye huu uzi wako wa Mapinduzi wala kulikuwa hakuna tatizo, sasa wewe umekuja na matusi na kejeli watu wanakuonya bado unaleta ujeuri basi vumilia kwa yote.

Ni kweli kbs,
Umeongea maneno yenye busara
 
Weka ushahidi basi haya uliyoandika.
[h=2]Prehistory[edit][/h]Zanzibar has been inhabited, perhaps not continuously, since the Paleolithic. A 2005 excavation at Kuumbi Cave in southeastern Zanzibar found heavy duty stone tools that showed occupation of the site at least 22,000 years ago.[SUP][1][/SUP] Archaeological discoveries of a limestone cave used radiocarbontechniques to prove more recent occupation, from around 2800 BC to the year 0 (Chami 2006). Traces of the communities include objects such as glass beads from around the Indian Ocean. It is a suggestion of early trans-oceanic trade networks, although some writers have expressed pessimism about this possibility.
No cave sites on Zanzibar have revealed pottery fragments used by early and later Bantu farming and iron-working communities who lived on the islands (Zanzibar, Mafia) during the first millennium AD. On Zanzibar, the evidence for the later farming and iron-working communities dating from the mid-first millennium AD is much stronger and indicates the beginning of urbanism there when settlements were built with mud-timber structures (Juma 2004). This is somewhat earlier than the existing evidence for towns in other parts of the East African coast, given as the 9th century AD. The first permanent residents of Zanzibar seem to have been the ancestors of the Hadimu and Tumbatu, who began arriving from the East African mainland around 1000 AD. They had belonged to various mainland ethnic groups, and on Zanzibar they lived in small villages and failed to coalesce to form larger political units. source ni wiki!

Hao kwenye bold ndio wakazi wahamiaji wa mwanzo wanaoelezwa kama watu wa asili wa Zanzibar, walikuwa ni Wahadimu na Watumbatu nao huko walikwenda huo mwaka!. Jee kunye wenyewe wengine halisi?. Yaani hao Wahadimu na Watumbatu nao pia ni watu wa kuja!.

Mwarabu alipokuja, jee nmnayo kumbukumbu kama alimkuta mtu?, alinegotiate na nani kuvipata visiwa vile na kuamua kuhamia juu hadi kuuhamisha ufalme wake toka Oman hadi Zanzibar?. Kitendo cha kusema hakukuta mtu si ndicho chema zaidi kuwa Mwarabu alivipata visiwa vya Zanzibar kwa kuviokota kama sadakalawe?!. Kama aliwakuta watu, wako wapi, au aliwafanya nini ambacho hakikuripotiwa popote na yeyote?!, ali wa completely wiped them out such that there is no one of them who lived to tell?.

Mjerumani alipokuja Tanganyika tulishuhudia ile mikataba ya kina Karl Peters na Chifu Mangungo wa Msovero!. Mlipata kusikia mkatana wowote wa Mwarabu na natives wa Zanzibar?!. Kuambiwa kuwa wengi wa natives wa Zanzibar waliopo sasa ni masalia ya watumwa, mbona ni heshma kubwa kuwa watumwa walikuwa binaadamu, tena wengi ni mababu zetu kutoka bara, hivyo nyie wenzetu wa huko, sisi bara ni ndugu wa damu na Waarabu ndio ndugu wa kuja!.
Mwenye details za Waarabu waliwakuta nani, atuwekee!.
Pasco.
 
Wakuu,
Mwanzoni niliingia hapa kupata ilmu,lakini naona matusi ambayo sijawahi yasoma ndiyo yametamalaki.

Mie nawashauri tu vijana muache KUPANIC,mu-stick kwenye hoja za mwanzisha thread!

Hivi tukianza kuzungumza kuhusu quote zilizo kwenye vitabu vitakatifu mtauweza mziki ninyi?

Msione tumekaa kimya mkaona tumewakimbia,tunawasoma ile mbaya.Ila hatutaki haribu hali ya hewa tu kwenye thread za watu!

Yadumu mapinduzi matukufu yaliyoratibiwa na kufanikishwa na mwanamapinduzi JOHN Okello!

Please stick on topic!

Ahsante.
 
Mkuu Ritz ndo maana nimesema wote wamekosea..mimi na ww tulianza vizuri kusoma toka juzi nakumbuka hata comments zako..ila kwa vile kitumbua kimeingia mchanga hakina budi kutupwa..hakisafishiki kabisa..kuna udini umejitokeza, kuna kashfa kwa viongozi umeonekana akina Mzee Karume na mkewe na Nyerere..bora tuwe waungwaba tu kwa kuufuta huu mjadala
Mkuu Ben, sisi wengine hizi ndizo lugha zetu za Kibantu, mfano neno "mae". "mayo", "nina" "nyoko" yote maana yake ni mama, kwa vile likitanguliziwa na neno la kile kiungo maarufu ambacho watu wanakipenda sana, kukihitaji sana, na kukitumia sana, kiungo cha heshima kuliko viungo vyote, linageuka tusi!, imefikia mahali hata ukitaja tuu "nyoko" sasa inakuwa sio mama tena, watu ndani ya vichwa vyao wanatanguliza lile neno na kulalamika wametukanwa!.

Mimi hizo ndizo lugha zangu siku zote tangu nimejiunga jf hivyo sitegemei kubadilisha kitu!. Kitu nisichokubali na ndicho nilichomuomba hata Maalim Mohamed Said asidie, ni kuwazuia hawa wanaoleta udini na kuchanganya na siasa!.

Mimi ni wale wanaoamini dawa ya tatizo ni kukabiliano nalo kwa kupambana nalo hadi kulimaliza na sio kuliahirisha au kulikimbia kwa kumwambia mode aufunge huu uzi!, hii ni part 1 tuu, jee hizo nyingine?!.

Tutakuja kufikia uoga wa kuibua hoja kwa kuogopa watu wataudhika?!. Leo Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yameitwa mauaji ya 1964 na watu wamenyamaza!.

Leo zile ndoa za upatanisho na kujenga usawa baada ya Mapinduzi yale Matukufu, kati ya Waarabu na Wamatumbi zimedhihakiwa ili hali watu wamedumu kwenye ndoa hozo hadi kesho na matunda yake ndio haya ya rainbow nation, leo mtu aje aseme ni ndoa batil huku wenye ndoa zao wapo na matunda ya ndoa hizo yapo na wengine ni members humu jf, ila wamejinyamazia kwa kuogopa watu!.

Mimi Pasco wa jf, siogopi mtu yoyote ila naheshimu watu wote, wa rika zote, wa rangi zote, wa makabila yote, wa hali zote!. Msingi mkuu uwe ni kwenye kuheshimiana na sio kuogopana!.
Pasco.
 
Wala huhitaji kufanya utafiti mkubwa. Thabit Kombo ambaye alikuwa ASP damu amelieleza hili waziwazi kwamba ASP walichagua constitutional monarch na nadhani ilikuwa March 1963.

Cc: Pasco

Wazenji kweli mnaniacha. Yani mnaona monarch ndio kitu cha kujivunia wakati hata waarabu washaichika kama huko Bahrain. Labda sijui historia ya zanzibar na hiyo familia ya kisultani ni ipi na ilifanya kipi chamaana sana kwenu
 
Pili pili usioila waitakia nini ?? mbona kule uganda walimrudisha yule chief wao ??? si walimtaka wenyewe !!!

It is your choice kumrudisha Mkwawa au Fundikira au Nyerere ??
 
Wakuu,
Mwanzoni niliingia hapa kupata ilmu,lakini naona matusi ambayo sijawahi yasoma ndiyo yametamalaki.

Mie nawashauri tu vijana muache KUPANIC,mu-stick kwenye hoja za mwanzisha thread!

Hivi tukianza kuzungumza kuhusu quote zilizo kwenye vitabu vitakatifu mtauweza mziki ninyi?

Msione tumekaa kimya mkaona tumewakimbia,tunawasoma ile mbaya.Ila hatutaki haribu hali ya hewa tu kwenye thread za watu!

Yadumu mapinduzi matukufu yaliyoratibiwa na kufanikishwa na mwanamapinduzi JOHN Okello!

Please stick on topic!

Ahsante.
Part II ilihusu-A Tribute to Field Marshal John Okello Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar asiye Enziwa!.
Part III Kwanini Abedi Amani Karume, Baada ya kuyapanga, aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar ma hakushiriki?.
Part IV ni Chanzo Halisi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Facts and Fallacies!.
Part V- Baadhi Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!-"Mapinduzi Daima!"

Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.
Pasco
 
Wakuu,
Mwanzoni niliingia hapa kupata ilmu,lakini naona matusi ambayo sijawahi yasoma ndiyo yametamalaki.

Mie nawashauri tu vijana muache KUPANIC,mu-stick kwenye hoja za mwanzisha thread!

Hivi tukianza kuzungumza kuhusu quote zilizo kwenye vitabu vitakatifu mtauweza mziki ninyi?

Msione tumekaa kimya mkaona tumewakimbia,tunawasoma ile mbaya.Ila hatutaki haribu hali ya hewa tu kwenye thread za watu!

Yadumu mapinduzi matukufu yaliyoratibiwa na kufanikishwa na mwanamapinduzi JOHN Okello!

Please stick on topic!

Ahsante.
Acha vitisho wewe nakupa ofa jukwaa la dini kafungue uzi tuje uko tuone huo mziki wako kama haujaita Mods waje wafunge uzi.
 
[h=2]Prehistory[edit][/h]Zanzibar has been inhabited, perhaps not continuously, since the Paleolithic. A 2005 excavation at Kuumbi Cave in southeastern Zanzibar found heavy duty stone tools that showed occupation of the site at least 22,000 years ago.[SUP][1][/SUP] Archaeological discoveries of a limestone cave used radiocarbontechniques to prove more recent occupation, from around 2800 BC to the year 0 (Chami 2006). Traces of the communities include objects such as glass beads from around the Indian Ocean. It is a suggestion of early trans-oceanic trade networks, although some writers have expressed pessimism about this possibility.
No cave sites on Zanzibar have revealed pottery fragments used by early and later Bantu farming and iron-working communities who lived on the islands (Zanzibar, Mafia) during the first millennium AD. On Zanzibar, the evidence for the later farming and iron-working communities dating from the mid-first millennium AD is much stronger and indicates the beginning of urbanism there when settlements were built with mud-timber structures (Juma 2004). This is somewhat earlier than the existing evidence for towns in other parts of the East African coast, given as the 9th century AD. The first permanent residents of Zanzibar seem to have been the ancestors of the Hadimu and Tumbatu, who began arriving from the East African mainland around 1000 AD. They had belonged to various mainland ethnic groups, and on Zanzibar they lived in small villages and failed to coalesce to form larger political units. source ni wiki!

Hao kwenye bold ndio wakazi wahamiaji wa mwanzo wanaoelezwa kama watu wa asili wa Zanzibar, walikuwa ni Wahadimu na Watumbatu nao huko walikwenda huo mwaka!. Jee kunye wenyewe wengine halisi?. Yaani hao Wahadimu na Watumbatu nao pia ni watu wa kuja!.

Mwarabu alipokuja, jee nmnayo kumbukumbu kama alimkuta mtu?, alinegotiate na nani kuvipata visiwa vile na kuamua kuhamia juu hadi kuuhamisha ufalme wake toka Oman hadi Zanzibar?. Kitendo cha kusema hakukuta mtu si ndicho chema zaidi kuwa Mwarabu alivipata visiwa vya Zanzibar kwa kuviokota kama sadakalawe?!. Kama aliwakuta watu, wako wapi, au aliwafanya nini ambacho hakikuripotiwa popote na yeyote?!, ali wa completely wiped them out such that there is no one of them who lived to tell?.

Mjerumani alipokuja Tanganyika tulishuhudia ile mikataba ya kina Karl Peters na Chifu Mangungo wa Msovero!. Mlipata kusikia mkatana wowote wa Mwarabu na natives wa Zanzibar?!. Kuambiwa kuwa wengi wa natives wa Zanzibar waliopo sasa ni masalia ya watumwa, mbona ni heshma kubwa kuwa watumwa walikuwa binaadamu, tena wengi ni mababu zetu kutoka bara, hivyo nyie wenzetu wa huko, sisi bara ni ndugu wa damu na Waarabu ndio ndugu wa kuja!.
Mwenye details za Waarabu waliwakuta nani, atuwekee!.
Pasco.

Pasco nilikuonya kuwa usiwatukane Watumbatu na Wahadimu kuwa ni masalia ya watumwa. Na sasa nakuonya tena usiwansibishe hawa watu na Tanganyika sababu hawana asili ya Tanganyika.

Huyo Chami is a damn liar research yake is full of distortion ma lengo lake ni kuondoa all elements za kiarabu ndani ya Uswahili na jambo la aibu na kusikitisha sana msomi kama yeye kufikia extent ya ku distort reality.

Inasikitisha sana niliona documentary yake eti Kilwa haikujengwa na Waarabu eti na design za Kilwa Ruins si za Kiarabu.

Lakini why mutake ku Bantusize kila kitu kwa malengo ya utashi wa Kisiasa tu.

Basi Tanganyika should Annex Fiji Islands na kulazimisha ziwe sehem ya Jamhuri ya Muungano kwani Fijians wanajivunia asili yao ya East Africa (Tanganyika) ref. The History of Fiji and Tonga.

Recent findings zimeshapindua ile dhana kuwa mtu wa mwanzo duniani ametoka Africa iliyotokana dhana ya kikafiri (Darwinism) dhana kuu ambayo hata Kanisa inaipinga (Evolution). Hivi karibuni dhana hiyo ya mtu wa mwanzo duniani inayosema ametokea Olduvai imejipiku wenyewe kwa kugundua more historic finding zonazompita mtu wa Olduvai kwa umri na kugundua masalio makongwe zaidi Kusini ya Arabia (South Oman).

Sasa hao kina Chami wanaotaka ku Bantusize the Coastal Swahili Civilization watuonyeshe Ruins na makaburi ya Ki- Bantu kwanza.

Halfu nakupa hint katufute asili ya Kushites wanatokea wapi mpaka tukafikia kupata watu weusi katika Africa.

Nakupa somo moja tafuta link ya Watanganyika na Cameroon na Nigeria katika history ni kuhusu nini kisha tutafakari jee watu hao wadai annexation ya Tanganyika na Nchi hizo mbili?

Na kwa upande wa Watumbatu unaowabandika Utumwa kasome historia ya Malkia wao Mwana wa Mwana.

Pasco hujahitimu endelea kusoma usifanye copy and paste has from wikipedia sababu wikipedia ina full of distortion na ni free fall platform every Tom Dick and Harry can post and edit there.
 
Mkuu Ben, sisi wengine hizi ndizo lugha zetu za Kibantu, mfano neno "mae". "mayo", "nina" "nyoko" yote maana yake ni mama, kwa vile likitanguliziwa na neno la kile kiungo maarufu ambacho watu wanakipenda sana, kukihitaji sana, na kukitumia sana, kiungo cha heshima kuliko viungo vyote, linageuka tusi!, imefikia mahali hata ukitaja tuu "nyoko" sasa inakuwa sio mama tena, watu ndani ya vichwa vyao wanatanguliza lile neno na kulalamika wametukanwa!.

Mimi hizo ndizo lugha zangu siku zote tangu nimejiunga jf hivyo sitegemei kubadilisha kitu!. Kitu nisichokubali na ndicho nilichomuomba hata Maalim Mohamed Said asidie, ni kuwazuia hawa wanaoleta udini na kuchanganya na siasa!.

Mimi ni wale wanaoamini dawa ya tatizo ni kukabiliano nalo kwa kupambana nalo hadi kulimaliza na sio kuliahirisha au kulikimbia kwa kumwambia mode aufunge huu uzi!, hii ni part 1 tuu, jee hizo nyingine?!.

Tutakuja kufikia uoga wa kuibua hoja kwa kuogopa watu wataudhika?!. Leo Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yameitwa mauaji ya 1964 na watu wamenyamaza!.

Leo zile ndoa za upatanisho na kujenga usawa baada ya Mapinduzi yale Matukufu, kati ya Waarabu na Wamatumbi zimedhihakiwa ili hali watu wamedumu kwenye ndoa hozo hadi kesho na matunda yake ndio haya ya rainbow nation, leo mtu aje aseme ni ndoa batil huku wenye ndoa zao wapo na matunda ya ndoa hizo yapo na wengine ni members humu jf, ila wamejinyamazia kwa kuogopa watu!.

Mimi Pasco wa jf, siogopi mtu yoyote ila naheshimu watu wote, wa rika zote, wa rangi zote, wa makabila yote, wa hali zote!. Msingi mkuu uwe ni kwenye kuheshimiana na sio kuogopana!.
Pasco.
Mkuu Pasco kama unasema wewe hizo ndiyo kauli zako sasa mbona unataka kuwapangia wengine kauli zao.
 
Last edited by a moderator:
Part II ilihusu-Tribute to Field Marshal John Okello Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar asiye Enziwa!.
Part III Kwanini Abedi Amani Karume, Baada ya kuyapanga, aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar ma hakushiriki?.
Part IV ni Chanzo Hali cha Mapinduzi ya Zanzibar. Facts and Fallacis!.
Part V- Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!.

Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.
Pasco

Mkuu Pasco hii part 2 ni muhimu kuileta siku kama ya leo jpili ili tuipitie vizuri..kwann unamuhita field Marshall? Kama inawezekana fungua uzi mpya tusonge mbele
 
Back
Top Bottom