life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,035
JamEnii mwaijua hali ya Zanzibar kwa sasaa? Zanzibar inahitaji ZAIDI ya sherehe...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatofauti kubwa miongoni mwa jamii zetu, wengine wakiwa provoked kwa dada zao kuguswa, wengine wakifurahia mashemeji! Wengine wakiwa proveked kwa dada zao kutoa takrima kwa kuwakirimu watu walio sio, huku wengine wakifurahia divesification. Wakati sisi tukitaka sasa dada zetu wende, wenzetu wakitamani sana kuwazui ikibidi kuoana wao kwa wao!. Nilisoma pahala hata mtoto wa mkeo aliyezaa na mwanamume mwengine kwa wengine ni ruksa, mtu kumuoa mtoto wa mjomba au shangazi kwetu ni incest kwa wenzetu ruksa!. Hili la dada zenu yule wa kule Kiarabu kule Zanzibar, hata kufunuliwa hijab tuu kuona nyele sikubahatika!. Hao wa Gerezani ni wakati nikija pale kwa Jabali la Muziki, Marijani Rajab, na kwenye msiba nilikuwepo na ndipo nikafahamiana na kina Sheikh Komerean, kina Sheikh Nuridin, Sheik Jabir na wengine wa mitaa hiyo!, hao dada zenu sio katika hayo udhaniayo ni machukizo!.
Sasa tuufunge huu mjadala wa yasiofaa hapa twendeni kwenye hoja za msingi, vinginevyo tiifunge mnakasha nianze sehemu ya pili.
Pasco
Part II ilihusu-Tribute to Field Marshal John Okello Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar asiye Enziwa!.
Part III Kwanini Abedi Amani Karume, Baada ya kuyapanga, aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar ma hakushiriki?.
Part IV ni Chanzo Hali cha Mapinduzi ya Zanzibar. Facts and Fallacis!.
Part V- Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!.
Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.
Pasco
Mkuu Ben, sisi wengine hizi ndizo lugha zetu za Kibantu, mfano neno "mae". "mayo", "nina" "nyoko" yote maana yake ni mama, kwa vile likitanguliziwa na neno la kile kiungo maarufu ambacho watu wanakipenda sana, kukihitaji sana, na kukitumia sana, kiungo cha heshima kuliko viungo vyote, linageuka tusi!, imefikia mahali hata ukitaja tuu "nyoko" sasa inakuwa sio mama tena, watu ndani ya vichwa vyao wanatanguliza lile neno na kulalamika wametukanwa!.
Pasco umebaki mapinduzi ,waarabu ,maneno ya kibantu, ndoa ndio nanga yako. Ndoa gani unaingiliwa nyumbani na majeshi huku umeelekezwa bunduki unaambiwa tunamuoa mtoto wako ukitaka usitake ?? Hivi wewe una dini Pasco ???
Ukweli unabaki pale pale , Mapinduzi yalifanywa na Nyerere . Aliyepinduliwa ni Muafrika Shamte si mfalme . Shamte na viongozi wengine kwa nini waliwekwa jela za Tanganyika hata kabla ya huo muungano???. Hii yote ni plan ya kanisa na ilianzwa zamani
Mimi hizo ndizo lugha zangu siku zote tangu nimejiunga jf hivyo sitegemei kubadilisha kitu!. Kitu nisichokubali na ndicho nilichomuomba hata Maalim Mohamed Said asidie, ni kuwazuia hawa wanaoleta udini na kuchanganya na siasa!.
Mimi ni wale wanaoamini dawa ya tatizo ni kukabiliano nalo kwa kupambana nalo hadi kulimaliza na sio kuliahirisha au kulikimbia kwa kumwambia mode aufunge huu uzi!, hii ni part 1 tuu, jee hizo nyingine?!.
Tutakuja kufikia uoga wa kuibua hoja kwa kuogopa watu wataudhika?!. Leo Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yameitwa mauaji ya 1964 na watu wamenyamaza!.
Leo zile ndoa za upatanisho na kujenga usawa baada ya Mapinduzi yale Matukufu, kati ya Waarabu na Wamatumbi zimedhihakiwa ili hali watu wamedumu kwenye ndoa hozo hadi kesho na matunda yake ndio haya ya rainbow nation, leo mtu aje aseme ni ndoa batil huku wenye ndoa zao wapo na matunda ya ndoa hizo yapo na wengine ni members humu jf, ila wamejinyamazia kwa kuogopa watu!.
Mimi Pasco wa jf, siogopi mtu yoyote ila naheshimu watu wote, wa rika zote, wa rangi zote, wa makabila yote, wa hali zote!. Msingi mkuu uwe ni kwenye kuheshimiana na sio kuogopana!.
Pasco.
Mkuu Pasco hii part 2 ni muhimu kuileta siku kama ya leo jpili ili tuipitie vizuri..kwann unamuhita field Marshall? Kama inawezekana fungua uzi mpya tusonge mbele
Mkuu Zomba, la Karume na Fatma niliisha lijibu kule wala silijibu tena!, jibu ndilo lile!.
Pasco
Mkuu zombaHilo swali limekishinda kujibu lakini mimi ntakujibu, kwani linahusu sana maandiko yako ya "utwana" na "ubwana" uliyoyaandika huko juu, kuwa eti mapinduzi ndio yalifanya watwana wawabake watoto wa mabwana na kufumguwa milango.
Kwa mara ya kwanza Sheikh Abeid Karume alifunga ndoa na Bibi Pili binti Ahmed Ambari mwanzoni mwa miaka ya Arubaini. Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara. Baada ya kutengana na wake hao wawili, Sheikh Karume alifunga ndoa na Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944 mwishoni mwa mwezi wa Novemba, harusi ambayo ilifanyika huko Bumbwini Misufini. - Ali Shaaban Juma.
Sasa nakuuliza, kulikoni? huo "utwana" na "ubwana" haukuwepo 1944?Isitoshe, si Fatma tu na Ashura ambao ni wakizazi cha "mabwana", pia kuna wengine ambao waliolewa na Bwana Karume ni Bibi Nasra, Bibi Helemu na Bibi Fadya ambao kila mmoja alizaa nae mtoto mmoja wa kike.
Unawajua khabari zao hawa mabibi Nasra, Helemu na Fadya?
Kwa kukujuza nao pia si katika "watwana". Kulikoni? ilikuwa ni unique case kwa Karume tu? jibu lako ni hili hapa:
Mwinyi "mtwana" wa kutoka Mkuranga kumuoa Siti mtoto wa "mabwana" 1960 na kuzaa nae watoto sita, au Mapinduzi yalikuwa tayari yameshawafungua watoto wa mabwana? Isitoshe, si Siti tu, kuna mwengine aitwae Bi Khadija nae yuko hapo hapo nyumba hiyo hiyo na Bi Siti, unaelewa kuwa nae si katika "watwana"?
Pasco Zanzibar huijui. Waachie Wazanzibari wenyewe japo kidogo na sie wa pwani, kwani kwetu pia mpaka wa hii leo ni himaya ya Zanzibar na khulka zetu hazijapishana kihivyo, si kama wewe wakuja. Unalijuwa hilo? nani aliibadili ile maili 10 ya pwani? Unajuwa kuwa Kariakoo na Gerezani ni chini ya maili kumi kutoka pwani ya bahari ya hindi?
"Sisi mambo twayajua" - Khadija Kopa.
Situmai majibu kutoka kwako lakini nna uhakika somo umelipata.
Mkuu Kawarizimu, kwanza asante kwa kujibu hoja objectively. Literacy work yoyote ama inakuwa complemented na literacy work nyingine, ama inakuwa defeated na literacy work nyingine, ndio maana siku za nyuma kwenye ule uzi kazi ya Maalim Mohamed Said kuhusu maisha ya Wazee wake wa Gerezani, ukishambuliwa left, right and center na watu wakaja na facts za ukweli kabisa kuudefeat urongo wake, walimlazimisha Maalim Mohamed Said ndie atoe toleo jengine lenye ukweli, mimi ni miongoni niliosimama na Maalim kuwa yeye ukweli wake ndio huo, hawa wenye ukweli zaidi na watoe kitabu ili machapisho ya Maalim yawe defeated!.Pasco nilikuonya kuwa usiwatukane Watumbatu na Wahadimu kuwa ni masalia ya watumwa. Na sasa nakuonya tena usiwansibishe hawa watu na Tanganyika sababu hawana asili ya Tanganyika.
Huyo Chami is a damn liar research yake is full of distortion ma lengo lake ni kuondoa all elements za kiarabu ndani ya Uswahili na jambo la aibu na kusikitisha sana msomi kama yeye kufikia extent ya ku distort reality.
Inasikitisha sana niliona documentary yake eti Kilwa haikujengwa na Waarabu eti na design za Kilwa Ruins si za Kiarabu.
Lakini why mutake ku Bantusize kila kitu kwa malengo ya utashi wa Kisiasa tu.
Basi Tanganyika should Annex Fiji Islands na kulazimisha ziwe sehem ya Jamhuri ya Muungano kwani Fijians wanajivunia asili yao ya East Africa (Tanganyika) ref. The History of Fiji and Tonga.
Recent findings zimeshapindua ile dhana kuwa mtu wa mwanzo duniani ametoka Africa iliyotokana dhana ya kikafiri (Darwinism) dhana kuu ambayo hata Kanisa inaipinga (Evolution). Hivi karibuni dhana hiyo ya mtu wa mwanzo duniani inayosema ametokea Olduvai imejipiku wenyewe kwa kugundua more historic finding zonazompita mtu wa Olduvai kwa umri na kugundua masalio makongwe zaidi Kusini ya Arabia (South Oman).
Sasa hao kina Chami wanaotaka ku Bantusize the Coastal Swahili Civilization watuonyeshe Ruins na makaburi ya Ki- Bantu kwanza.
Halfu nakupa hint katufute asili ya Kushites wanatokea wapi mpaka tukafikia kupata watu weusi katika Africa.
Nakupa somo moja tafuta link ya Watanganyika na Cameroon na Nigeria katika history ni kuhusu nini kisha tutafakari jee watu hao wadai annexation ya Tanganyika na Nchi hizo mbili?
Na kwa upande wa Watumbatu unaowabandika Utumwa kasome historia ya Malkia wao Mwana wa Mwana.
Pasco hujahitimu endelea kusoma usifanye copy and paste has from wikipedia sababu wikipedia ina full of distortion na ni free fall platform every Tom Dick and Harry can post and edit there.
Mkuu Ritz ndo maana nimesema wote wamekosea..mimi na ww tulianza vizuri kusoma toka juzi nakumbuka hata comments zako..ila kwa vile kitumbua kimeingia mchanga hakina budi kutupwa..hakisafishiki kabisa..kuna udini umejitokeza, kuna kashfa kwa viongozi umeonekana akina Mzee Karume na mkewe na Nyerere..bora tuwe waungwaba tu kwa kuufuta huu mjadala
Pasco nilikuonya kuwa usiwatukane Watumbatu na Wahadimu kuwa ni masalia ya watumwa. Na sasa nakuonya tena usiwansibishe hawa watu na Tanganyika sababu hawana asili ya Tanganyika.
Huyo Chami is a damn liar research yake is full of distortion ma lengo lake ni kuondoa all elements za kiarabu ndani ya Uswahili na jambo la aibu na kusikitisha sana msomi kama yeye kufikia extent ya ku distort reality.
Inasikitisha sana niliona documentary yake eti Kilwa haikujengwa na Waarabu eti na design za Kilwa Ruins si za Kiarabu.
Lakini why mutake ku Bantusize kila kitu kwa malengo ya utashi wa Kisiasa tu.
Basi Tanganyika should Annex Fiji Islands na kulazimisha ziwe sehem ya Jamhuri ya Muungano kwani Fijians wanajivunia asili yao ya East Africa (Tanganyika) ref. The History of Fiji and Tonga.
Recent findings zimeshapindua ile dhana kuwa mtu wa mwanzo duniani ametoka Africa iliyotokana dhana ya kikafiri (Darwinism) dhana kuu ambayo hata Kanisa inaipinga (Evolution). Hivi karibuni dhana hiyo ya mtu wa mwanzo duniani inayosema ametokea Olduvai imejipiku wenyewe kwa kugundua more historic finding zonazompita mtu wa Olduvai kwa umri na kugundua masalio makongwe zaidi Kusini ya Arabia (South Oman).
Sasa hao kina Chami wanaotaka ku Bantusize the Coastal Swahili Civilization watuonyeshe Ruins na makaburi ya Ki- Bantu kwanza.
Halfu nakupa hint katufute asili ya Kushites wanatokea wapi mpaka tukafikia kupata watu weusi katika Africa.
Nakupa somo moja tafuta link ya Watanganyika na Cameroon na Nigeria katika history ni kuhusu nini kisha tutafakari jee watu hao wadai annexation ya Tanganyika na Nchi hizo mbili?
Na kwa upande wa Watumbatu unaowabandika Utumwa kasome historia ya Malkia wao Mwana wa Mwana.
Pasco hujahitimu endelea kusoma usifanye copy and paste has from wikipedia sababu wikipedia ina full of distortion na ni free fall platform every Tom Dick and Harry can post and edit there.
Mkuu Kahawarizimu, kauli huumba!, inategemea nguvu iliyomo ndani ya kauli yako yaani "the power within" inatoka kwa nani kati ya Mungu kweli na shetani, kwa sababu shetani naye anazo nguvu za giza!.Pasco,
Bado unajibu kwa ufedhuli na utovu wa adabu. Wewe kiumbe sawa na Sheittan wewe. Wewe ndie katika Qur'an Tukufu tumembiwa mioyo yao ina maradhi na Mungu anawazidishia maradhi. Haki ni katika waliopotea.
Mkuu Kawarizimu, kwanza asante kwa kujibu hoja objectively. Literacy work yoyote ama inakuwa complemented na literacy work nyingine, ama inakuwa defeated na literacy work nyingine, ndio maana siku za nyuma kwenye ule uzi kazi ya Maalim Mohamed Said kuhusu maisha ya Wazee wake wa Gerezani, ukishambuliwa left, right and center na watu wakaja na facts za ukweli kabisa kuudefeat urongo wake, walimlazimisha Maalim Mohamed Said ndie atoe toleo jengine lenye ukweli, mimi ni miongoni niliosimama na Maalim kuwa yeye ukweli wake ndio huo, hawa wenye ukweli zaidi na watoe kitabu ili machapisho ya Maalim yawe defeated!.
Kwenye historia ya Zanzibar, nimekuonyesha andiko kuwa wanaodaiwa kuwa wenyeji, Wahadimu na Watumbatu, kule sio kwao!, nikakueleza walipotoka!, tena ni hapa kwetu bara!. Nikakueleza ukiondoa hao Wahadimu na Watumbatu, Zanzibar haina wenyewe ndio maana Sultani katoka zake Oman na kuahamia Zanzibar bila negotions na mtu yoyote kwa sababu kavikuta visiwa havina wenyewe!. Ulichotakiwa kufanya sio tuu kuita watu waongo!. Kama ni waongo, unautaja uongo wao kisha unauweka ukweli wako!. Umeambiwa Watumbatu na Wahadimu asili yao ni bara, kama ni uongo unaiweka ile asili yao ya ukweli unaijua wewe!.
Nimekuambia Sultan Seyyid Said, aliviokota visiwa vya Zanzibar kama sadakalawe, hakukuta mtu pale wala kufanya majadiliano na yeyote kabla ya kuhamia. Sasa wewe kama unazo details alimkuta nani, alifanya majadilano yapi alivitwaa visiwa vya Zanzibar toka kwa nani, tuwekee ukweli huo to defeat uongo uliotangulia!.
Maadamu unayo historia hadi ya malikia wao Mwana wa Mwana, tuwekee nasi tuijue ili tupate kujua huyu Mwarabu alihamiaje hamiaje nchi ya watu hivi hivi tuu, just like that il khali nchi ilikuwa na wenyewe?!.
Ukiweza pia kutueleza hiyo asili halisi ya hao wenyewe tutashukuru, vinginevyo tuanze process ya kuwafukuza wavamizi wa nchi yetu, waliovamia bila ruhusa yetu, wakauweka ufalme wao tulioupindua kwa yale Mapinduzi Matukufu, kisha tuunganishe kabisa nchi yetu iwe "Nchi moja!, Taifa moja! Tujue moja!.
Pasco.
Mkuu zomba
Ujue unatoa elimu kubwa sana kuhusu historia ya Zanzibar, unachofanya saizi ni kutoa Ilm kwa wale wanaofuatilia huu mnakasha.
Hilo swali limekishinda kujibu lakini mimi ntakujibu, kwani linahusu sana maandiko yako ya "utwana" na "ubwana" uliyoyaandika huko juu, kuwa eti mapinduzi ndio yalifanya watwana wawabake watoto wa mabwana na kufumguwa milango.
Kwa mara ya kwanza Sheikh Abeid Karume alifunga ndoa na Bibi Pili binti Ahmed Ambari mwanzoni mwa miaka ya Arubaini. Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara. Baada ya kutengana na wake hao wawili, Sheikh Karume alifunga ndoa na Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944 mwishoni mwa mwezi wa Novemba, harusi ambayo ilifanyika huko Bumbwini Misufini. - Ali Shaaban Juma.
Sasa nakuuliza, kulikoni? huo "utwana" na "ubwana" haukuwepo 1944?Isitoshe, si Fatma tu na Ashura ambao ni wakizazi cha "mabwana", pia kuna wengine ambao waliolewa na Bwana Karume ni Bibi Nasra, Bibi Helemu na Bibi Fadya ambao kila mmoja alizaa nae mtoto mmoja wa kike.
Unawajua khabari zao hawa mabibi Nasra, Helemu na Fadya?
Kwa kukujuza nao pia si katika "watwana". Kulikoni? ilikuwa ni unique case kwa Karume tu? jibu lako ni hili hapa:
Mwinyi "mtwana" wa kutoka Mkuranga kumuoa Siti mtoto wa "mabwana" 1960 na kuzaa nae watoto sita, au Mapinduzi yalikuwa tayari yameshawafungua watoto wa mabwana? Isitoshe, si Siti tu, kuna mwengine aitwae Bi Khadija nae yuko hapo hapo nyumba hiyo hiyo na Bi Siti, unaelewa kuwa nae si katika "watwana"?
Pasco Zanzibar huijui. Waachie Wazanzibari wenyewe japo kidogo na sie wa pwani, kwani kwetu pia mpaka wa hii leo ni himaya ya Zanzibar na khulka zetu hazijapishana kihivyo, si kama wewe wakuja. Unalijuwa hilo? nani aliibadili ile maili 10 ya pwani? Unajuwa kuwa Kariakoo na Gerezani ni chini ya maili kumi kutoka pwani ya bahari ya hindi?
"Sisi mambo twayajua" - Khadija Kopa.
Situmai majibu kutoka kwako lakini nna uhakika somo umelipata.
Mzee Karume na Mkewe wapi wametukanwa? niliyeuliza swali kuhusu Mzee Karume na Mkewe ni mimi. Nimeuliza walioana lini? kutokana na Pasco kudai kwamba "rainbow nation" imekuja baada ya "watwana" kuwabaka mabinti wa "mabwana" wakati wa mapinduzi.
Kuna tusi katika kuuliza Karume kamuoa lini Fatma?
Naam nataka kwanza aelimika huyu Pasco kuwa si kama asemavyo yeye kuwa "rainbow nation" ilianza baada ya mapinduzi, napenda aelewe u raibow wa Zanzibar ni wa asili na fasili, na hao niiomuonesha ni wale maarufu kwa sasa, ngoja nimuwekee picha ya babu yake wa Unyamwezini huko, (wanyamwezi na wasukuma ni kitu kimoja), ambae ni "bwana" hana rangi anayofikiria Pasco kuwa ni kigezo cha "ubwana" na "utwana" kwa ujinga tu aliojazwa:
Huyu anaitwa Hamad bin Muḥammad bin Jumah bin Rajab bin Muḥammad bin Sa‘īd al-Murghabī aka Tippu Tip.![]()
Ana kigezo kipi cha Pasco (weupe) cha ubwana?@Pasco Zanzibar huijui. Na ukitaka kuijuwa Zanzibar, tafadhali uliza tu kistaarabu, ntakupa "hint", itayokusaidia sana kuijuwa Zanzibar.![]()
Mkuu Kahawarizimu, kauli huumba!, inategemea nguvu iliyomo ndani ya kauli yako yaani "the power within" inatoka kwa nani kati ya Mungu kweli na shetani, kwa sababu shetani naye anazo nguvu za giza!.
kitendo cha kunifananisha mimi binadamu mwenye imani ya Mungu wa kweli, ambaye yumo ndani yangu, kuniita ni shetani kunahatari kweli kweli kwa aliyendani yangu kukukabili vilivyo hivyo nakushauri share uzi huu na nduguzo na jamaa zako na wale ambao hawana access na jf, waambia tuu kwa kauli yako kuwa kuna mwanajf fulani anaitwa Pasco, nimemfananisha na shetani, ili kesho na keshokutwa, yakikukuta ya kukuta, angalau wataelewa sababu.
Kwa wengine msio amini, mimi Pasco wa JF naamini kwenye "nothing but the truth!", binaadamu kumfananisha binaadamu mwingine na shetani, kwa vitendo ambavyo sio vya kishetani, anajitengenezea "bad karma" ikitokea kumrudi, msipate tabu kumtafuta mchawi, itakuwa ni shetani mwenyewe halisi kanfuata kumpatia haki yake!.
Mambo mengine jamani tuachane maskhara!.
Pasco.
Usimuue haraka haraka hivyo please,,,
Asije akakimbia,t unamuhitaji akae kitako hapa yeye na jamaa zake