Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Mkuu Zomba, hili la kutokota, huwa natokota mara kibao!, sambamba na kuchemsha, huwa nachemsha mara chungu nzima, ila pia katika kutokota huko, kuna wakati, nawatokotisha!, na katika kuchemka, kuna wakati nawachemsha!.
Miongoni mwa lugha zangu za kuchemsha ambalo imembidi Maalim Mohamed Said akae pembeni, ni hapa nilipomjulisha, akichangia yeye, kuna wafuasi wake hujitokeza kama mainzi wanavyozingea bucha ya utumbo!, wewe mwenyewe si ulishuhudia jana yale mainzi yalivyonisonga utafikiri yanagombea utumbo!. Ulifikia wakati nikajikalia pembeni, kuyaacha yakipishana mpaka yalipopungua, ndipo nikarejea, na kwa uzoefu wangu wa pilika pilika za mainzi, huwa ni mchana tuu, usiku yanatulia!, si unaona mida kama hii, mnakasha ni burdani kabisa!.
Pasco.

Plagiarism. Nakumbuka hilo la utumbo humu nililileta mimi baada ya wewe kuulizwa swali niliandika "naona nzi haoo wamemtangulia muuza utumbo" na unajuwa kabisa nilimaanisha nini. Unakumbuka?

Ni faraja kubwa kwangu kuwa nawe umeongezea "vocabulary" yako japo "kiduchu" kutoka kwangu.

Kumbuka tu, hilo sasa ni ganda tu la risasi si risasi tena, risasi ilishatumika.
 
Kama bunge ni tukufu na ndilo lilipitisha muungano,tuache double standard,muungano ni mtukufu hadi hapo itapokajulikana vingine.Nakubali pia kwamba mapinduzi ni matukufu.

Naona hata hotuba za jana hukuzisikiliza umekurupuka tu.

Hivi nyie wachaga mmeacha kudai nchi yenu? mlikuwa wa kwanza kwenda UN kudai mashamba kutoka kwa ma settlers. Umesahau?
 
Hakuna mji wowote!, ukiamua kutaja taja, ukiamua kutotaja kwa sababu hujapewa mji usitaje,
simjui huyo kwenye picha wala anahusu nini!, "One can never miss what you never know!"
Ila pia kitendo cha kuomba nikupe mji, ni ishara njema ya good faith, nimekupa mji wa kwetu kule Mashokololokubangashee!.
Pasco.

Sipajui huko. Nimegushu.
 
Kijana, mimi si katika Waabudu watu. Mimi ninaemuabudu ni mmoja tu, Allah. Tatizo linakuja pale kuna wanaoabudu mtu, tena si mtu wa ukweli, ni picha ya mtu, tena picha ya mzungu. Hao ndio wenye kusikitisha.

Mbona kuna babu zetu wengi nao walinunua Watumwa na kuwatumikisha? pitia hii nyuzi kuna mpaka picha zimewekwa humu. Usisikie kijana na usifikiri utumwa umekwisha, upo mpaka leo tena utashangaa hapa kwetu umeshamiri.

Bado unawatetea waarabu. Je waarabu nao walifanya kosa kuwanunua babu zetu kwa kutoa vioo na shanga?

Waarabu koko shida kweli
 
Bado unawatetea waarabu. Je waarabu nao walifanya kosa kuwanunua babu zetu kwa kutoa vioo na shanga?

Waarabu koko shida kweli

Kijana, naona la kuabudu limebadilika limekua "kutetea", si haba darsa limekuingia, japo "kiduchu".

Jee, umeshapitia nyuzi na kuona picha za babu zako waliokuwa mstari wa mbele kwenye biashara ya utumwa?

Nisome tena japo "kiduchu" kwa "utuvu", labda utakuja kivingine.

quote_icon.png
By zomba

Kijana, mimi si katika Waabudu watu. Mimi ninaemuabudu ni mmoja tu, Allah. Tatizo linakuja pale kuna wanaoabudu mtu, tena si mtu wa ukweli, ni picha ya mtu, tena picha ya mzungu. Hao ndio wenye kusikitisha.

Mbona kuna babu zetu wengi nao walinunua Watumwa na kuwatumikisha? pitia hii nyuzi kuna mpaka picha zimewekwa humu. Usisikie kijana na usifikiri utumwa umekwisha, upo mpaka leo tena utashangaa hapa kwetu umeshamiri.
 
Kama bunge ni tukufu na ndilo lilipitisha muungano,tuache double standard,muungano ni mtukufu hadi hapo itapokajulikana vingine.Nakubali pia kwamba mapinduzi ni matukufu.

jmushi
Maneno yako ya kwanza kabisa ni katika mfumo wa kuuliza, kuhakiki, kejeli au mshangao...?!

Weye pia waamini hilo Bunge ni tukufu?
 
wale ndugu zangu vibaraka wa Waarabu, kama kawa, watapokwa tena tonge mdomoni, yule mwenye ndoto za kukanyaga ikulu, itakuwa ndio basi tena!, maana 2015-2020 atakuwa kesha!.
Pasco.
Pasco.

Hapa naona kama unampiga dongo Lowassa.

Hint: Al Adawi - Dowans - Lowassa kung'olewa na Mwakyembe. Inakukumbusha lolote hiyo?
 
Plagiarism. Nakumbuka hilo la utumbo humu nililileta mimi baada ya wewe kuulizwa swali niliandika "naona nzi haoo wamemtangulia muuza utumbo" na unajuwa kabisa nilimaanisha nini. Unakumbuka?

Ni faraja kubwa kwangu kuwa nawe umeongezea "vocabulary" yako japo "kiduchu" kutoka kwangu.

Kumbuka tu, hilo sasa ni ganda tu la risasi si risasi tena, risasi ilishatumika.
Mkuu Zomba, you can only plagialize kwenye literary work tena iwe published au manuscrip lined for printing!. Hilo neno wewe umeliandika wapi kwenye litarary work mimi nilipocopy na kuliiba?!. Hii shop talk ya humu jf unaanza kumiliki maneno?.

By the way, vipi muuza utumbo?, anajijua umemuita muuza utumbo?!, nashukuru leo jua kali, mainzi yamepungua, kumbe ile hali ya mawingu sio tuu mainzi yalikuwa yanazongea sana, hata wale wendawazimu, wazimu uliwapanda kutokana na mawingu mawingu yale!. Afadhali leo
Pasco.
 
Sipajui huko. Nimegushu.

Zomba na wenzako,
naona mpo kwenye denial kuhusu waarabu walivyo fanya biashara ya watumwa zanzibar na coast ya Tanzania. na nimeona mulivyo mshambulia Pasco kwenye hii thread na ku-conclude hasira zenu nikama za Stephen (charactor aliyocheza Samwel L Jackson) kwenye Django Unchained ambazo nimatokeo ya traumatic bonding. Yaani watu wanakana kabisa utumwa uliofanya na waarabu wakati ushaidi upo wazi kabisa. ushaidi ambao kilamtu atakuwa anaujua ni jina wazenji linalotumiwa kuwaita wazanziri dar. mimi nilibaatika kusoma nje na kwenye vikao na waafrika nikawa nawaita wazanzibari wazenji. nikaambiwa na professor moja wa anthropology kuwa jina zenji lilitumiwa na waarabu kuwazalilisha waafrika kama nigger ilivyotumiwa na wazungu. zanzibar na pwani ya E.A ilikuwa ikiitwa Zanj land ambayo ni sawa na nigger land kwa maana nyingine ni sehemu ya kuwapata watumwa. Zanj ni jina lililotumika kuwazalilisha watu weusi(wabantu) na kuwatumia kama watumwa. Na kuna vitabu vya waarabu kama Kitab al-Bad' wah-tarikh vimewaandika Zanj kama watu weusi wenyepua pana, nywele zilizojikunja na wasiokuwa na akili.
kwahiyo kama wewe upo zanzibar na unafanana kibantu waarabu wanakuona wewe ni zenj au nigger.
 
Umejisahau?
 
Rudia tena kuisoma nyuzi, naona umedandia treni kwa mbele. Jipange upya.
 
Mkuu Zomba, kiukweli hii rasimu ya pili ya Warioba imetenda haki bin haki na haswa kwa Wazanzibari hana budi kufanya maandamano kumpongeza, maana mimi ni miongoni mwa mwa wale watetezi wa muungano kamili wa nchi moja, serikali moja, rais mmoja!. Nilitamani sana Zanzibar iwe mkoa tuu wenye wilaya mbili kama Tandahimba tuu!.

Hili la muungano Mtukufu, saa hizi posti yako hii ni number #526 ikifanikiwa kunionyesha hata posti moja tuu, niliyosema au kuutaja Muungano Mtukufu, ndipo nitakujibu hapa, vinginevyo fuatilia mtiririko wa mada zangu, inayuhusu muungano ni ya 5 na ya mwisho. Mwezi Aprili wakati wa maandalizi ya Muungano, pia nitaleta mada 5 za Maswali kuhusu Muungano yaliyokosa majibu, japo naona kama Jaji Warioba, mengi ameisha yapatia ufumbuzi!.
Mtiririko wangu ni huu.

  • Part I-Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Maswali Bila Majibu Part I
  • Part II-Jee nini Chanzo Halisi cha Mapinduzi ya Zanzibar na Nani Haswa Waipanga/Waliotekeleza
  • Part III -Nani ni Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar!.
  • Part IV -Kwanini Abedi Amani Karume, Aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar na hakushiriki?
  • Part V- Baadhi Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!-"Mapinduzi Daima!"
Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.

Pasco.

Kwa hiyo umekubaliana rasmi na mimi kuwa huu, uliosainiwa na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi na Nyerere tulionao, si Muungano Mtukufu kwa kuwa hujawahi kuuandika kuwa ni mtukufu, au sio?

Kama jibu lako ni ndio, basi ni vyema sana kwa hilo. Na pia kwa sababu zile zile ulizozitoa za kuwa Mapinduzi ni "Matukufu" kwa kuwa yaliwezesha "watwana" kujichukulia wanawake wa "mabwana" kwa nguvu ndio ujuwe huyo huyo Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alikuwa na wake zaidi ya mmoja wa kibwana kabla ya mapinduzi na hiyo uliyoitoa ilikuwa ni sababu batili ya mkosa hoja.

Kwa hiyo ubakaji uliouandika wewe kuwa ndio utukufu wenyewe wa mapinduzi, huo nnakuhakikishia si utukufu bali hiyo ni laana ya wachache walio kama wewe ambao wanaweza kushadidia ubakaji na uuwaji kwa kuwa tu eti wanafurahia Mapinduzi.
 
Zomba na wenzako,
naona mpo kwenye denial kuhusu waarabu walivyo fanya biashara ya watumwa zanzibar na coast ya Tanzania. na nimeona mulivyo mshambulia Pasco kwenye hii thread na ku-conclude hasira zenu nikama za Stephen (charactor aliyocheza Samwel L Jackson) kwenye Django Unchained ambazo nimatokeo ya traumatic bonding. Yaani watu wanakana kabisa utumwa uliofanya na waarabu wakati ushaidi upo wazi kabisa. ushaidi ambao kilamtu atakuwa anaujua ni jina wazenji linalotumiwa kuwaita wazanziri dar. mimi nilibaatika kusoma nje na kwenye vikao na waafrika nikawa nawaita wazanzibari wazenji. nikaambiwa na professor moja wa anthropology kuwa jina zenji lilitumiwa na waarabu kuwazalilisha waafrika kama nigger ilivyotumiwa na wazungu. zanzibar na pwani ya E.A ilikuwa ikiitwa Zanj land ambayo ni sawa na nigger land kwa maana nyingine ni sehemu ya kuwapata watumwa. Zanj ni jina lililotumika kuwazalilisha watu weusi(wabantu) na kuwatumia kama watumwa. Na kuna vitabu vya waarabu kama Kitab al-Bad' wah-tarikh vimewaandika Zanj kama watu weusi wenyepua pana, nywele zilizojikunja na wasiokuwa na akili.
kwahiyo kama wewe upo zanzibar na unafanana kibantu waarabu wanakuona wewe ni zenj au nigger.

Mkuu,
Unachopaswa kujua ni kwamba wengi wanaoandika hapa kuwatetea waarabu ni walewale uliowaita waarabu koko!Walewale ambao hawataki mapinduzi hayo yaitwe matukufu kwa kuwa mamia ya waarabu waliuawa na wengine kuikimbia Zanzibar!
Yawezekana kabisa Wazanzibar wazalendo hawana hata access na JF,au wanaamini kuwa hawa ndio wasemaji wao wa mambo ya Zanzibar wakati hata hiyo historia wanaipotosha!
Mapinduzi haya yalikuwa ni matukufu kwa kuwa yaliondoa nguvu kutoka kwa mkoloni mwarabu aliyekuwa akibaka watumwa,akitesa watu weusi na kunyang'anya haki zao.
Haiwezekani yasiwe matukufu eti kwa kuwa waarabu waliuawa wakati miaka yote takribani 500 waarabu wamekuwa wakibaka,kupiga na kuua watumwa!
Wengine hapo ni zao lilelile la ubakaji wa watumwa lakini kutokana na 'fikra za kitumwa' wanaendelea kuogopa ukweli wa historia,wanatamani usultani urudi ili angalau waendelee kufaidi hadhi ya 'dugu ya sultani!

Hakuna kitu kibaya kama UTUMWA WA FIKRA!
Asante!
 
jmushi
Maneno yako ya kwanza kabisa ni katika mfumo wa kuuliza, kuhakiki, kejeli au mshangao...?!

Weye pia waamini hilo Bunge ni tukufu?
Sina ubavu wa kusema tofauti kwasababu ndilo linaamuwa mwelekeo wa Taifa.Ndani yake hata wasiuamini muungano wako.Na kauli ya "bunge tukufu" hutumika!
 
kweli ni mapinduzi.....lakini tofauti ya haya na mapinduzi mengine duniani haya yalii pindua nchi na kuifunika...na leo znz si nchi maana walopindua walikabidhi nchi 'yao' kwa Tanzganyika.
nchi ilipinduliwa kila kitu kuanzia
elimu
afya
ustaarabu
mila na utamaduni..( school wakiimbishwa kwaya za kanisani badala ya wanafunzi kusoma kasida)
nk nk

hapana mkuu,mapinduzi mengine ni haramu haya ni matukufu
 
Aisee logic yako embuiangalie vizuri. Pasco anasema waarabu waliwauza babuzetu utumwani. Alafu wewe unwawatetea waarabu kwa kusema ni babuzetu ndio waliwauza babuzetu kwa waarabu kwakupewa vioo na shanga. Kwaiyo waarabu hawana makosa ila makosa ni ya hao babuzetu waliotumiwa na waarabu.

Utakuwa unawaabudu waarabu wewe

Hata sifahamu history mwenzangu umesomeshwa wapi au na nani!?

Kwani hufahamu yakuwa hata hao Waafrika ambao leo nyinyi mmo hapa kuitetea...lakini mbona walifanziana madhila,dhuluma,dharuba,utumwa ulokithiri baina yao,mauaji ya halaiki na uchafu mwingineo mwingi mno kabla hata ya hao Waarabu hawajafikiri na hata kuwa na maarifa au fikra za kufika hiyo Afrika!

Nani alokwambia yuhapa ati kutetea udhalim wowote wa ati hao muwaitao ndo Waarabu,kama kweli hayo yasemwayo yalifanzika kwa mujibu tunavyotakaaminishwa hapa!?

Hapa soote ni muhimu kuhakikisha hakuna upotoshwaji wa historia au ubadhilifu wa kitaaluma unafanzwa labda kwa maslahi ya watu/kikundi fulani...kama hivyo afanzavyo huyo Pasikali aka Pasco!

Ahsanta sana.
 
Mkuu Zomba, you can only plagialize kwenye literary work tena iwe published au manuscrip lined for printing!. Hilo neno wewe umeliandika wapi kwenye litarary work mimi nilipocopy na kuliiba?!. Hii shop talk ya humu jf unaanza kumiliki maneno?.

By the way, vipi muuza utumbo?, anajijua umemuita muuza utumbo?!, nashukuru leo jua kali, mainzi yamepungua, kumbe ile hali ya mawingu sio tuu mainzi yalikuwa yanazongea sana, hata wale wendawazimu, wazimu uliwapanda kutokana na mawingu mawingu yale!. Afadhali leo
Pasco.

Inasikitisha sana, mwanhabari kuandika utumbo usio na mfano. No doubt mmeishushia sana hadhi tasnii ya uandishi mpaka Mkapa akawaponda. Tazama nilipokuwekea nyekundu, hata haya huoni?

Unazidi kuuainisha ujinga wako kila kukicha, hebu soma hapa kuhusu plagiarism wanavyofundishwa watoto wa primary, nakushangaa wewe mwanahabari halafu hujui hata plagiarism ni nini. Jifunze:

Chris just found some good stuff on the Web for his science report about sharks. He highlights a paragraph that explains that most sharks grow to be only 3 to 4 feet long and can't hurt people. Chris copies it and pastes it into his report. He quickly changes the font so it matches the rest of the report and continues his research.

Uh-oh. Chris just made a big mistake. Do you know what he did? He committed plagiarism (say: play-juh-rih-zem). Plagiarism is when you use someone else's words or ideas and pass them off as your own. It's not allowed in school, college, or beyond, so it's a good idea to learn the proper way to use resources, such as websites, books, and magazines.

Plagiarism is a form of cheating, but it's a little complicated so a kid might do it without understanding that it's wrong. Chris should have given the author and the website credit for the information. Why? Because Chris didn't know this information before he came to the website. These aren't his thoughts or ideas.

Source: What Is Plagiarism?

Kwenye Chris pasomeke Pasco.
 
Back
Top Bottom