Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

Faana,
Hakika udini ni mbaya sana.
Soma hayo hapo chini kisha nieleze nini umejifunza:

Waislam wa Tanzania na Tatizo la Udini Katika Wizara ya Elimu.

Ndugu Waziri,
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na maswali mengi wakijiuliza Waislamu, moja likiwa inakuwaje katika maeneo yenye Waislamu wengi ambapo idadi ya wanafunzi Waislamu inakuwa zaidi ya asilimia 70, lakini wanapochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya watoto wa Kiislamu huporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Swali na kitendawili hiki kimekuwepo kwa muda mrefu bila kupatiwa majibu.

Hata lilipofikishwa Bungeni mwaka 1999 na aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Mzee Kitwana Selemani Kondo, bado halikupatiwa jibu.

Akihoji juu hali hiyo, Mzee Kitwana Kondo alitoa mfano jinsi hali ilivyokuwa katika shule ya Pembamnazi iliyokuwa na Waislamu watupu na kwa miaka mingi mfululizo kulikuwa hakuna hata mtoto mmoja aliyekuwa akichaguliwa kwenda sekondari kutoka katika shule hiyo.

Aidha alisema kuwa, katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya watoto wa Kiislamu katika shule za msingi ilikuwa zaidi ya asilimia 70 lakini inapokuja kuchaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Waislamu iliporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Akizungumza Bungeni tarehe 2 Februari, 1999 alisema kuwa katika watoto waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 1998, idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 71 na Wakristo 29%. Hata hivyo akasema, ilipotoka orodha ya waliochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Wakristo ikawa asilimia 79 (79%) na Waislamu 21%.

Je, hiyo ilikuwa na maana kuwa watoto wa Kiislamu kwa asili yao hawana akili?

Alitaka kujua Mzee Kitwana Kondo. Lakini hakuweza kupata jibu.

Mheshimiwa Waziri,
Ni wazi kuwa Waziri wa Elimu au Waziri Mkuu ambaye ndiye msimamizi wa mambo ya serikali Bungeni asingeweza kutoa majibu ya uhakika kwa sababu swali lilihitaji kufanyika uchunguzi huru wa kina na makini kwanza.

Mheshimiwa Waziri,
Mwaka 1987 aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa Kighoma Ali Malima, aliweka utaratibu mpya wa ufanyaji wa mtihani wa darasa la saba ambapo namba zilitumika toka kufanya mtihani, kusahihisha na kuchagua wanafunzi wa kwenda kidato cha kwanza.

Namba zilivishwa majina baada ya taratibu zote hizo kukamilika. Mwaka huo idadi ya watoto wa Kiislamu waliokwenda kidato cha kwanza iliongezeka kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hata hivyo, mara aliondolewa Waziri Malima katika wizara hiyo na utaratibu wa zamani ukarejeshwa ambapo yalikuwa yakichaguliwa majina na idadi ya Waislamu ikaporomoka na kurudi chini ya asilimia 20.

Mheshimiwa Waziri,
Hali kama hii hapana shaka inazua maswali mengi ambayo yanahitaji majibu na majibu hayo hayawezi kupatikana bila ya kufanyika uchunguzi.

Labda tuongeze mifano ili kuliweka wazi zaidi jambo hili.

Mwaka 1983 mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Kopa Abdallah akisoma katika shule ya msingi Kichangani, Kilosa, alikosa kuchaguliwa kwenda sekondari.

Yeye binafsi, wazazi wake na hata walimu wake hawakuamini matokeo yale kutokana na alivyokuwa akifanya vizuri kuliko wanafunzi wote.

Baadae ilikuja kugundulika kuwa nafasi yake alipewa mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Antoni Samirani ambaye alikuwa na uwezo mdogo sana ikilinganiswa na Abdallah.

Kilichofanyika ni kuwa jina la Abdallah lilifichwa na baadae Antoni akapewa jina hilo kimya kimya na kwenda kusoma sekondari akitumia jina Abdallah wakati yeye ni Antoni.

Taarifa zinasema kuwa Kopa Abdallah alipogundua hakuweza kufanya kitu akaishia kuwa dereva.

Hali kama hiyo ilimkuta pia Adam Ramadhani aliyekuwa akisoma shule ya msingi Rutihinda jijini Dar es Salaam na kumaliza darasa la saba mwaka 1999. Yalipotoka matokeo ya mtihani wa darasa la saba na kuonekana kuwa Adam hakuchaguliwa, baba yake hakuamini kuwa mtoto wake anaweza kufeli kutokana na uwezo aliokuwa nao na zaidi akitizama walivyochaguliwa watoto ambao Adam alikuwa mwalimu wao shuleni na mitaani.

Katika kufuatilia suala hilo wizarani, ilikuwa aibu kwa wizara baada ya kuonekana kuwa walichaguliwa watoto wa Kikristo wenye alama za chini kabisa huku akiachwa Adam Ramadhani aliyekuwa na alama za juu kuliko wote.

Mheshimiwa Waziri,
Mifano kama hii ni mingi mno na ipo katika ngazi zote kwa maana kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari, kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano na kutoka kidato cha sita kwenda Chuo Kikuu.

Kwamba hata kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano, wapo watu waliopata kushuhudia majina ya wanafunzi wa Kiislamu yakiwekwa pembeni japo walikuwa na sifa za kuchaguliwa.

Mheshimiwa Waziri,
Ukiacha hujuma katika kuwaacha wanafunzi Waislamu wenye sifa kuendelea na masomo, matatizo huanzia kwenye kuamua nani amefaulu na nani kafeli.

Tuhuma zilizopo ni kuwa wapo wanafunzi wanapewa madaraja ya juu wakati alama zao ni za chini na wapo wanaopewa madaraja ya chini wakati alama zao ni za juu.

Na hii ni kwa masomo yote.

Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na utamaduni katika nchi hii wa kukataa ukweli.

Kufuatia uchunguzi uliofanywa na Kamati za Bunge, tumeshuhudia wizi na ufisadi wa kutisha ukifichuliwa Bungeni hivi karibuni hali iliyopelekea mpaka Mheshimiwa Rais kubadili Baraza lake la Mawaziri.

Sasa baada ya kuyasema yote hayo, tunasema kuwa Baraza la Mitihani la Tanzania, limekuwa likilalamikiwa kwa zaidi ya miaka 30, lakini malalamiko hayo yamekuwa yakipokewa kwa sikio la uziwi.

Imefikia mahali tunasema kuwa hatuna tena imani na Baraza hilo.

Mheshimiwa Waziri,
Ili kupata ukweli wa malalamiko na shutuma hizi, na ili kujibu lile swali juu ya watoto wa Kiislamu ambalo halikupata jibu Bungeni, tunaitaka serikali kufanya yafuatayo:

1. Tume huru iundwe kuchunguza Baraza la Mitihani la Tanzania na utendaji wake kazi kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.

2. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA) ajiuzulu mara moja ili kulinda heshima ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaani na Baraza la Mitihani.

Watendaji wakuu wa kitengo cha mitihani na wanaohusika na mfumo wa Kumputa ya Baraza la Mitihani nao wawajibishwe mara moja.

3. Hatua za kisheria na kibinadamu zichukuliwe dhidi ya watumishi wa Baraza la Mitihani watakaothibitika kuhusika na kashfa hii.

4. Muundo wa Baraza la Mitihani uzingatie uwiano wa kidini, kitendo cha chombo nyeti kama hiki kujazana watu wa dini moja kunaliondolea Baraza la Mitihani sura ya kitaifa, kwani takwimu zinaonyesha Makatibu Wakuu Watendaji na Manaibu Katibu Wakuu wamekuwa Wakristo na Wenyeviti wa Baraza hilo ni Wakristo tangu lilipoanzishwa mwaka 1973, mpaka hii leo na takwimu tunazo.

Mheshimiwa Waziri,
Tunaomba ieleweke kuwa tunachotaka ni kupatikana haki na kufanyika uadilifu kwa watu wote.

Hatudai wala hatutaki upendeleo kwa Waislamu na wala hatutaki kuona mtu yeyote anaonewa au kuporwa haki yake, awe Mwislamu au mtu wa dini nyingine.

Tunachoamini ni kuwa kama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haina cha kuficha, basi itaunda Tume hiyo kwa haraka na kuhakikisha kuwa ni Tume ya kuaminika itakayofanya kazi yake kwa umakini, kwa kina na kwa uadilifu wa hali ya juu kabisa.

Lakini kama Wizara yako itaona kuwa haiwezi kuunda Tume ya uchunguzi, tunacho kuhakikishia ni kuwa sisi tutafanya kila liwezekanalo na kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa Tume hiyo inaundwa.

Na ikigundulika kuwa kuna hujuma zinafanyika katika utendaji wa Baraza, basi itabidi uwajibikaji uanze kwenye Wizara kabla ya kuwawajibisha watendaji wa Baraza la Mitihani.

Ni imani yetu kuwa utayapokea madai ya Waislamu na kuyafanyia kazi kwa umakini na kwa haraka ili kujenga mustakbali mwema wa nchi hii na watu wake.

Tunaomba kuwasilisha,

Mwenyekiti,
Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
 
huyu mzee ana mawazo ya kuigawa nchi kidini na vta ya kidini ni mbaya sana huyu mzee ni gadi tu anapandikiza chuki mda wte
Alma...

Kaka mi nimeacha kubishana nawewe.
Maandiko yako ni mazuri na yanafaa sana katika kujifunza Historia ya hii nchi.
Ukianza kutaja Uislamu na Ukristo we ni critical thinker.
Hapo ndo tunapishana.
We humkubali Nyerere,Ila mda wote unabadilisha alipo Nyerere na Abdul Sykes.
Hapo hueleweki.
Legacy za wote wawili zitunzwe inavyotakiwa.
Nyerere apewe heshima yake kama unavyosema Card no 1.
Kina Sykes wapewe pia heshima yao kumsaidia baba wa taifa kwenye harakati za kudai Uhuru.
Sasa wewe upo umekwama hapo kungangana kama vile Abdul ndio aliipatia hii nchi haki yake toka kwa mkoloni.
Nyumba yake migo unakataa unasema alikua kwa Abdul kariakoo.
Kujenga nyumba yake unakataa unasema badae alijenga na kukaa miezi 8 tu akahamia Upanga.
Hapo Nyuma ulisema Mama Maria alikua akiuza mafuta ya taa hapo magomeni huku wakikaa kwa nani sijui muislam mwenzio.
Huku leo tunaona Nyumba hiyohiyo umeweka picha ikimwonyesha Nyerere anaingia hapo ndani.
Kuna bango la Coca-cola.
Ingawa na mafuta ya taa yaliuzwa hapo hapo.
Kwahivyo kilikua ni kiosk tu km kwa mangi.
Deny yako inakuja kwamba tu huyu mwalimu wetu kiongozi alikua Mkristo.
Hapo ndo kuna tatizo.
We umekomaa tu na Abdul,Abdul,Abdul.
Sijui huyo abdul alikufanya nini.
Kaa kwenye mstari muddy,sio kila siku tunabishana jambo lilelile.
Nyerere atabaki kuwa Mwl Nyerere Baba wa taifa hili.
Abdul na Ally watabaki na nafasi zao pale pale.
Full Stop.
 
Nimekuelewa sana Mkuu šŸ™šŸ™
 
Hapa kuna maswali rahisi tu,
Waislam wamejenga vyuo vikuu vingapi toka mwaka 1968?

Kile chuo Kikuu walichopewa na mkapa miaka 20 iliyopita kikoje kitaaluma? Kimekua zaidi?

Bakwata pamoja na taasisi nyingine za kiislam wamejenga shule ngapi zenye mrengo wa kidini toka Uhuru ili kuwapa nafasi waislam kusomesha watoto wao?

Vipi kuhusu matajiri wa kiislam na uwekezaji wao kwenye elimu? Shule binafsi za waislam zenye kufuata mrengo wa kidini?

Tanzania ni nchi huru ambayo inafuata uchumi wa kibepari,sehemu yenye fursa za kiuchumi mtu au taasisi anaruhusiwa kuwekeza bila ubaguzi wa kidini. Elimu ni fursa kubwa ya kibiashara na kijamii lakini kwa bahati mbaya/nzuri wakristo wameitambu huku waislam wakibaki nyuma.

Makanisa na taasisi zake yanajitanua kwenye uwekezaji wa elimu wakati waislam hawafanyi hivyo. Hata vijana wa kiislam havutiwi na kujiunga na chuo Kikuu cha waislam Morogoro. Catholics, Lutherans,morovian,SDA Wana vyuo vikuu na mashule mikoa kibao wakati huo chuo chenu pale Morogoro kimeshindwa hata kufungua Tawi jingine nje ya Morogoro kwa miaka 20 sasa.

Dini sio ya serikali na toka Uhuru serikali imekua na Marais wakristo watatu na waislam watatu. Kwenye kupiga kura hatupigi kidini lakini Mzee Mohamed kila Jambo la kiserikali unalitazama katika angle ya kidini.

Kama wazee wetu wangetanguliza dini zao mbele basi hata harakati za kupigania Uhuru zingegawanyika kidini. Nyerere, Sykes walijiona watanganyika na sio wakristo kwa waislam.Angle ya udini unaileta wewe kisa unakijua mwenyewe. Waislam wangeonewa na Nyerere Amani isingekuwepo,leo hii tungekuwa kama Lebanon.
 
Kumbe ndio sababu mmeamua kujaza waislamu wengi kwenye bâraza baada ya mkurugenzi wa Necta kuwa wa dini yenu ili kulipiza kisasi. Taasisi nyeti kama hiyo haitakiwi kuongozwa na mrengo wowote wa dini acheni wataalamu wafanye kazi. Ila sio mbaya mwaka jana na mwaka huu naona wenzetu waislamu mmelishikilia bâraza ni wakati wenu endeleeni.
JamiiForums mobile app
 
Kaka mi nimeacha kubishana nawewe.
Maandiko yako ni mazuri na yanafaa sana katika kujifunza Historia ya hii nchi.
Ukianza kutaja Uislamu na Ukristo we ni critical thinker.
Hapo ndo tunapishana.
We humkubali Nyerere,Ila mda wote unabadilisha alipo Nyerere na Abdul Sykes.
Hapo hueleweki.
Legacy za wote wawili zitunzwe inavyotakiwa.
Nyerere apewe heshima yake kama unavyosema Card no 1.
Kina Sykes wapewe pia heshima yao kumsaidia baba wa taifa kwenye harakati za kudai Uhuru.
Sasa wewe upo umekwama hapo kungangana kama vile Abdul ndio aliipatia hii nchi haki yake toka kwa mkoloni.
Nyumba yake migo unakataa unasema alikua kwa Abdul kariakoo.
Kujenga nyumba yake unakataa unasema badae alijenga na kukaa miezi 8 tu akahamia Upanga.
Hapo Nyuma ulisema Mama Maria alikua akiuza mafuta ya taa hapo magomeni huku wakikaa kwa nani sijui muislam mwenzio.
Huku leo tunaona Nyumba hiyohiyo umeweka picha ikimwonyesha Nyerere anaingia hapo ndani.
Kuna bango la Coca-cola.
Ingawa na mafuta ya taa yaliuzwa hapo hapo.
Kwahivyo kilikua ni kiosk tu km kwa mangi.
Deny yako inakuja kwamba tu huyu mwalimu wetu kiongozi alikua Mkristo.
Hapo ndo kuna tatizo.
We umekomaa tu na Abdul,Abdul,Abdul.
Sijui huyo abdul alikufanya nini.
Kaa kwenye mstari muddy,sio kila siku tunabishana jambo lilelile.
Nyerere atabaki kuwa Mwl Nyerere Baba wa taifa hili.
Abdul na Ally watabaki na nafasi zao pale pale.
Full Stop.
Babu...
Hapana umekosea.

Yapo mengi huyajui labda kwa kuwa hujasoma kitabu cha Abdul Sykes (1998).

Harakati za kuunda African Association zinaanza mwaka wa 1924 Dr. Aggrey alipokutana na Kleist Sykes.

Historia ya TANU iliyoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni haya hayapo.

Kitabu cha Abdul Sykes kimeweka hadi majina ya waasisi wa African Association ilipokuja kuasisiwa mwaka wa 1929.

Baadhi ni baba zangu kama Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi na Kleist Sykes.

Kitabu cha Kivukoni majina haya hayumo.

Na matatizo haya yalianza mwaka wa 1962 TANU ilipoamua kuandika historia yake na kazi hii akapewa Abdul Sykes akisaidiwa na Dr. Wilbard Klerruu.

Msimamizi wa uandishi alikuwa Julius Nyerere.

Inaelekea hakupendezewa na yale Abdul aliyokuwa anaandika.

Aliyokuwa anaandika Abdul yalitoka katika mswada wa kitabu alichoandika baba yake kabla hajafariki mwaka wa 1949.

Ndani ya mswada ule Kleist alieleza tatizo la Wamishionari katika harakati za siasa za Waafrika wakiwakataza wafuasi wao kujihusisha na siasa.

Elewa pia kuwa Kleist aliunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) mwaka wa 1933.

Huu ndiyo ulikuwa utangulizi wa historia ya African Association kuelekea mbele hadi kufikia kuundwa kwa TANU 1954.

Abdul Sykes alipohisi matatizo ya kukataliwa historia ya vipi TANU iliasisiwa akajitoa katika mradi wa uandishi wa historia ya TANU.

Dr. Klerruu akakamilisha mswada wa kitabu na jina la Abdul na wengine wote walioasisi African Association na baba yake hayakuwamo katika mswada ule.

Haya yalijulikana miaka mingi baadae baada ya mswada kupotea TANU HQ na kuibuka ukiwa kitabu, "Historia ya TANU," mwandishi akiwa Abubakar Ulotu.

Kitabu cha historia ya TANU cha Kivukoni na kitabu hiki cha Abubakar Ulotu vimefanana kwa kila kitu.

Unasema unapata tabu kusoma Uislam katika historia ya TANU.

Hauko peke yako.

Waliotangulia kuandika historia ya TANU hili pia liliwataabisha wakaandika historia waitakayo wao.

Matokeo yake ndiyo haya leo tunaisoma upya historia ya uhuru na kukutana na wazalendo waliokuwa wamefutwa katika historia ya uhuru.

Historia ya TANU haikamiliki bila kuwataja wazalendo kama Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Ramiyya, Sheikh Mohamed Yusuf Badi kwa kuwataja wachache.

Majina haya yanakupa shida.

Nani kakuambia mimi simkubali Nyerere?

Hivi hujui kuwa Maktaba yangu ni kati ya maktaba bora zilizosheheni historia ya Mwalimu?

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim, ya pili ya Mohamed Said na ya tatu ni ya Brig. General Hashim Mbita.

Haya yameandikwa katika kitabu cha Nyerere (2020) kilichoandikwa na Jopo la Prof. Issa Shivji.

Unasema mimi nimebadilisha mahali pa Julius Nyerere nimemweka Abdul Sykes.

Mimi nimesahihisha kwa kumtanguliza Abdul Sykes alipochukua uongozi wa TAA na Dr. Kyaruzi 1950 kuelekea kuunda TAA Political Subcommittee kamati iliyoitia TAA katika mapambano ya kuwatayarisha wananchi kudai uhuru.

Wakati huu Nyerere alikuwa bado hajafika Dar-es-Salaam.

Nyerere aliishi nyumbani kwa Abdul Sykes kisha TANU ikamtafutia nyumba Magomeni Maduka Sita.

Mama Maria alifungua duka la mafuta ya taa Mtaa wa Mchikichi na Livingstone akiwa nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Alipohamia Magomeni Ali Msham akampa nafasi nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu akaweka duka lake hapo.

Baadae akaweka duka hapo nyumbani kwake.

Hiyo picha ya hilo duka imetoka kwangu.

Ali Msham alikuwa amefungua tawi la TANU hapo nyumbani kwake.

Mimi si niliyekomaa na Abdul Sykes.

Historia ya TANU na Nyerere huwezi kuiandika bila kumtaja Abdul Sykes.

Wamejaribu kufanya hivyo ndiyo sababu leo tuko hapa na kitabu cha Abdul Sykes kimevunja rekodi zote za vitabu vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kitabu kinakwenda toleo la tano.

Unasema mimi nabishana na wewe?

Mimi nibishane na wewe naanzia wapi?

Kitabu cha Abdul Sykes kiko katika Cambridge Journal of African History, Abdul baada ya kitabu chake kutoka yeye na nduguye wametunukiwa Medali ya Mwenge wa Uhuru mwaka wa 2011, nimealikwa Northwestern University Chicago kwa mnasaba wa kitabu hiki.

Mimi nibishane na wewe ili iwe nini?
 
Kaka mi nimeacha kubishana nawewe.
Maandiko yako ni mazuri na yanafaa sana katika kujifunza Historia ya hii nchi.
Ukianza kutaja Uislamu na Ukristo we ni critical thinker.
Hapo ndo tunapishana.
We humkubali Nyerere,Ila mda wote unabadilisha alipo Nyerere na Abdul Sykes.
Hapo hueleweki.
Legacy za wote wawili zitunzwe inavyotakiwa.
Nyerere apewe heshima yake kama unavyosema Card no 1.
Kina Sykes wapewe pia heshima yao kumsaidia baba wa taifa kwenye harakati za kudai Uhuru.
Sasa wewe upo umekwama hapo kungangana kama vile Abdul ndio aliipatia hii nchi haki yake toka kwa mkoloni.
Nyumba yake migo unakataa unasema alikua kwa Abdul kariakoo.
Kujenga nyumba yake unakataa unasema badae alijenga na kukaa miezi 8 tu akahamia Upanga.
Hapo Nyuma ulisema Mama Maria alikua akiuza mafuta ya taa hapo magomeni huku wakikaa kwa nani sijui muislam mwenzio.
Huku leo tunaona Nyumba hiyohiyo umeweka picha ikimwonyesha Nyerere anaingia hapo ndani.
Kuna bango la Coca-cola.
Ingawa na mafuta ya taa yaliuzwa hapo hapo.
Kwahivyo kilikua ni kiosk tu km kwa mangi.
Deny yako inakuja kwamba tu huyu mwalimu wetu kiongozi alikua Mkristo.
Hapo ndo kuna tatizo.
We umekomaa tu na Abdul,Abdul,Abdul.
Sijui huyo abdul alikufanya nini.
Kaa kwenye mstari muddy,sio kila siku tunabishana jambo lilelile.
Nyerere atabaki kuwa Mwl Nyerere Baba wa taifa hili.
Abdul na Ally watabaki na nafasi zao pale pale.
Full Stop.
Mzee Mohamed Said ni mwanaharakati tu wa Kiislamu. Agenda yake ni Uislamu. Mimi nimemshauri tu kuwa kama anadhani Uislamu ndiyo dini bora basi aende tu hapo Somali ambapo nchi nzima ni Waislamu aone wanavyuana.

Sometimes tukubali diversity, tusidhani kwamba imani zetu ni bora kuliko za wengine
 
Hapa kuna maswali rahisi tu,
Waislam wamejenga vyuo vikuu vingapi toka mwaka 1968?

Kile chuo Kikuu walichopewa na mkapa miaka 20 iliyopita kikoje kitaaluma? Kimekua zaidi?

Bakwata pamoja na taasisi nyingine za kiislam wamejenga shule ngapi zenye mrengo wa kidini toka Uhuru ili kuwapa nafasi waislam kusomesha watoto wao?

Vipi kuhusu matajiri wa kiislam na uwekezaji wao kwenye elimu? Shule binafsi za waislam zenye kufuata mrengo wa kidini?

Tanzania ni nchi huru ambayo inafuata uchumi wa kibepari,sehemu yenye fursa za kiuchumi mtu au taasisi anaruhusiwa kuwekeza bila ubaguzi wa kidini. Elimu ni fursa kubwa ya kibiashara na kijamii lakini kwa bahati mbaya/nzuri wakristo wameitambu huku waislam wakibaki nyuma.

Makanisa na taasisi zake yanajitanua kwenye uwekezaji wa elimu wakati waislam hawafanyi hivyo. Hata vijana wa kiislam havutiwi na kujiunga na chuo Kikuu cha waislam Morogoro. Catholics, Lutherans,morovian,SDA Wana vyuo vikuu na mashule mikoa kibao wakati huo chuo chenu pale Morogoro kimeshindwa hata kufungua Tawi jingine nje ya Morogoro kwa miaka 20 sasa.

Dini sio ya serikali na toka Uhuru serikali imekua na Marais wakristo watatu na waislam watatu. Kwenye kupiga kura hatupigi kidini lakini Mzee Mohamed kila Jambo la kiserikali unalitazama katika angle ya kidini.

Kama wazee wetu wangetanguliza dini zao mbele basi hata harakati za kupigania Uhuru zingegawanyika kidini. Nyerere, Sykes walijiona watanganyika na sio wakristo kwa waislam.Angle ya udini unaileta wewe kisa unakijua mwenyewe. Waislam wangeonewa na Nyerere Amani isingekuwepo,leo hii tungekuwa kama Lebanon.
Hawezi kukujibu zaidi ya kuleta hadithi za Abdul Sykes na wazee wake
 
Mzee Mohamed Said ni mwanaharakati tu wa Kiislamu. Agenda yake ni Uislamu. Mimi nimemshauri tu kuwa kama anadhani Uislamu ndiyo dini bora basi aende tu hapo Somali ambapo nchi nzima ni Waislamu aone wanavyuana.

Sometimes tukubali diversity, tusidhani kwamba imani zetu ni bora kuliko za wengine
Stux...
Mimi sijasema Uislam ni bora na ningechukua msimamo huo hapo nisingechaguliwa Mwandishi Bora kwa miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Mimi hapa ninasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.

Sasa hii ya mimi kuhamia Somali inanishangaza.
 
Hawezi kukujibu zaidi ya kuleta hadithi za Abdul Sykes na wazee wake
Stux ...
Mbona hili swali nimeulizwa mara nyingi na nimelijibu kuwa serikali imezuia Waislam EAMWS ilipotaka kujenga Chuo Kikuu 1968 na katika miaka ya 1970 ilikataa kutoa kibali OIC kujenga Chuo Kikuu Tanzania.

Kitabu cha Abdul Sykes si hadithi ni "academic work" ndiyo maana kipo katika Cambridge Journal of African History.

Tafuta catalogue yake Library of Congress, Washington DC.

1703663010290.png

Library of Congress Washington DC​
 
Stux...
Mimi sijasema Uislam ni bora na ningechukua msimamo huo hapo nisingechaguliwa Mwandishi Bora kwa miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Mimi hapa ninasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.

Sasa hii ya mimi kuhamia Somali inanishangaza.
Huko Somalia ndiyo nchi nzima ni Waislamu. Nafikiri ndiyo utaridhika maana hutaki watu wengine waishi Tanzania
 
Stux ...
Mbona hili swali nimeulizwa mara nyingi na nimelijibu kuwa serikali imezuia Waislam EAMWS ilipotaka kujenga Chuo Kikuu 1968 na katika miaka ya 1970 ilikataa kutoa kibali OIC kujenga Chuo Kikuu Tanzania.

Kitabu cha Abdul Sykes si hadithi ni "academic work" ndiyo maana kipo katika Cambridge Journal of African History.

Tafuta catalogue yake Library of Congress, Washington DC.

View attachment 2854343
Library of Congress Washington DC​
Na nimekuambia kuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000, aliyekuwa Rais wa Tanzania Benjamin William Mkapa aliwapa chuo kiichokuwa cha TANESCO pale Morogoro. Kinaitwa Morogoro Islamic University. Je unaweza ukatuambia mnakutumiaje kusomesha Waislamu?

Na pili unaweza kuhesabu Waislamu wangapi wenye passmark nzuri wanakwenda kusoma pale Morogoro Islamic dhidi ya Waislamu wanaokwenda vyuo visivyo vya Kiislamu kama UDSM, SUA, SAUT, Mzumbe, etc.

Jibu swali hili kwa umakini, usijibu kwa copy and paste za Abdul Sykes au EAMWS
 
Na nimekuambia kuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000, aliyekuwa Rais wa Tanzania Bemjamin William Mkapa aliwapa chuo kiichokuwa cha TANESCO pale Morogoro. Kinaitwa Morogoro Islamic University. Je unaweza ukatuambia mnakutumiaje kusomesha Waislamu?

Waislam hawatakua kwenda kusoma Morogoro Islamic university kwa sababu chuo kimetanguliza taaluma na masharti ya kidini mbele. University ni sehemu ambayo vijana wanasoma lakini pia wanaanza kuishi maisha ya kujitegemea,ku-explore nk. Chuo kikiweka limitations za jinsi ya kuishi kwa kufuata sheria za kidini (21st century) hakiwezi kustawi.
 
Stux ...
Mbona hili swali nimeulizwa mara nyingi na nimelijibu kuwa serikali imezuia Waislam EAMWS ilipotaka kujenga Chuo Kikuu 1968 na katika miaka ya 1970 ilikataa kutoa kibali OIC kujenga Chuo Kikuu Tanzania.
Huko Somalia ndiyo nchi nzima ni Waislamu. Nafikiri ndiyo utaridhika maana hutaki watu wengine waishi Tanzania
Stux...
Mbona unaniangusha?

Mjadala ni mimi kuandika historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Nimeweka hadi clip nilizungumza Bibi Titi Festival naeleza usajili wa TANU ulivyofanywq na Nyerere, Abdul na Ally Sykes wakisaidiwa na Said Chamwenyewe.

Clip iliwapendeza sana walioisikia.
Wewe unakuja na haya ya mimi nihamie Somalia?
 
Na nimekuambia kuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000, aliyekuwa Rais wa Tanzania Bemjamin William Mkapa aliwapa chuo kiichokuwa cha TANESCO pale Morogoro. Kinaitwa Morogoro Islamic University. Je unaweza ukatuambia mnakutumiaje kusomesha Waislamu?

Na pili unaweza kuhesabu Waislamu wangapi wenye passmark nzuri wanakwenda kusoma pale Morogoro Islamic dhidi ya Waislamu wanaokwenda vyuo visivyo vya Kiislamu kama UDSM, SUA, SAUT, Mzumbe, etc.

Jibu swali hili kwa umakini, usijibu kwa copy and paste za Abdul Sykes au EAMWS
Stux...
Mada yetu hapa ni historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ukitaka tuzungumze MUM niko tayari fungua uzi mpya.
 
Serikali haifanyi vitu kwa kukurupuka nchi nyingi zenye mitazamo ya dini hyo hua hazina amani na kama zipo zenye amani bas anasimamiwa na marekani
Yaani marekani ndio anasimamia amani kwenye nchi za kiislam!
Sio lazima kushiriki kwenye kila nyuzi, nyingine tuwe tunapita tu.
 
Kwa muda mrefu nimeshuhudia bakwata ikitetewa na wasio waislam na kama ni waislam basi ni wale wenye elimu ndogo juu ya dini yao.

Wanaobaki ni wale ambao wananufaika moja kwa moja na umoja huo hususani kwenye uchumi wao binafsi.
 
Back
Top Bottom