Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwani mabadiliko yanaandikwa kwenye take home au kwenye Gross?Imebadilika lini? Kwanini iwe juu na sio mpaka kule chini?
Pole kwa mikopo lukuki na salary advanceKwani mabadiliko yanaandikwa kwenye take home au kwenye Gross?
Ndugu naona una sonona. Nimeandika kuwa mabadiliko yako juu kwakuwa pale ndipo panapoongea kuwa salary yako iko vipi.Pole kwa mikopo lukuki na salary advance
Hiyo ni dhana mfu.Mishahara inapanda na vitu vimepanda bei isivyo kawaida. Ni lini tutaacha unafiki? Mh. Rais Mungu akupe afya na nguvu ushuhudie mengi kwetu walalahoi aka choka mbaya aka heri ya Jana kuliko leo, "tia maji tia maji"
Hata mimi, ndani ya miezi 3 tu ya Rais Samia tumaini langu limerejea kwa kasi sana.Habari!
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana...
Yule Ibilisi katuchelewesha sanaHata mimi, ndani ya miezi 3 tu ya Rais Samia tumaini langu limerejea kwa kasi sana.
Kuna watu unajiuliza kwa mawazo wanayotoa kama walistahili kuwa binadamu.Hiyo ni dhana mfu.
Magufuli aliingia madarakani cement mfuko elfu 10 kafa hajaongeza mshahara lakini cement ilipanda bei tayari.
Nondo, misumari, bati, na material yote ya ujenzi yalikwishapanda bei mara dufu hata kabla ya mshahara kuongezeka.
Sasa vikiongezeka ndio iwe sababu kwakuwa salary ya vaadhi yetu imepanda?
Ngoja nikakope nifungue kanisa.
Duh Kanisa tena mkuu?!halafu kwa hela ya mkopo?Hiyo ni dhana mfu.
Magufuli aliingia madarakani cement mfuko elfu 10 kafa hajaongeza mshahara lakini cement ilipanda bei tayari.
Nondo, misumari, bati, na material yote ya ujenzi yalikwishapanda bei mara dufu hata kabla ya mshahara kuongezeka.
Sasa vikiongezeka ndio iwe sababu kwakuwa salary ya vaadhi yetu imepanda?
Ngoja nikakope nifungue kanisa.
We unaumwa mk** toka kwa shemeji hapo unambana tu dadako nenda kajitegemeeHiyo ni dhana mfu.