Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

Kwani Magu anasemaje huko motoni
 
Ingependeza ukiambatanisha vithibitisho vya kupanda kwa mshahara wako pamoja na uzi huu kwa maslahi ya umma unaopitia uzi huu mkuu.
 
Jf watu wengi wanadharau. Wanaishi maisha ya kwenye video.
Nikiweka salary slips zangu wachawi wataanza kuzizodoa kuwa nalipwa change tu. Lakini binafsi naona inanisaidia na life linasonga.
Ingependeza ukiambatanisha vithibitisho vya kupanda kwa mshahara wako pamoja na uzi huu kwa maslahi ya umma unaopitia uzi huu mkuu.
 
Mimi nashukuru kwa mambo mawili.. kupandisha vyeo na kudeal na wapumbabu loanboard... Bado heslb Wana upuuuzi unaendelea...afuatilie tu.... Tulioingia kwenye huu mtego tunaelewana bado na mabenki ..interest is super too much
 
Mkuu tuamini kuwa hajaenda likizo au kwenye matibabu tuamini kuwa anefariki na kuzikwa tumpe heshima kulingana na tamaduni zetu.Tujue tunawaumiza sana wana familia yake wanapoona hivi. Imagine mtoto wako baada ya wewe kufa akaja ambiwa kuwa baba yako alikuwa shoga japo ni kweli ila itamuharibu kisaikolojia maisha yake yote.
 
Hivi hamuwezi mpa pongezi Mh Rais aliyepo hadi mumkashifu Hayati?
Wewe jamaa utakuwa unafilimbwa ulembe siyo bure. Usilazimishe watu waheshimu hilo shetani lako. Muhimu limeenda kuwasalimia lililowaua kina Akwilini, Saanane, Azory n.k.
 
Ye ndio familia yake inaumia? Familia za kina Ben, Lissu, Azory hazina maumivu???
 
Kwn wafanyakazi wako wangapi nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…