Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

Ni siri kali.
Utapewa tu hesabu juu juu ila kuhusu real number ya wafanyakazi inabaki kuwa siri ya SiRiKaLi
Wako wachache sana roughly laki nne mpaka Tano I stand to be corrected, sasa wanavyo exegarete sasa utafikir watanzania wote million 60 tumepata hiyo increment. Tena asipige kelele na tonge la mnofu mdomoni wengine tuna njaa kali.
 
Mimi natamani nimfate hayati hukohuko nikamcharaze fimbo... Mshahara wangu umeongezeka 321000, deni la bodi walikuwa wananikata 288000 limeisha baada ya kuondolewa retention fee, take home yangu ilikuwa 430000 sasa nimepata ongezeko la laki6. Hivyo take home nina zaidi ya M1.. yule mwamba kachelewesha maisha yetu
 
Good
 
Apumzike kwa amani shujaa.
 
Shujaa alipania kutukomoa
 
Umemjibu vyema
 
Jf watu wengi wanadharau. Wanaishi maisha ya kwenye video.
Nikiweka salary slips zangu wachawi wataanza kuzizodoa kuwa nalipwa change tu. Lakini binafsi naona inanisaidia na life linasonga.
Boss hujafika TGTS G!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…