D
Kwani Bob Marley alikukosea nini rasta?mwisho wa siku anaolewa na mvuta bhangi anaamka anakuwa Bilionea kwa urithi wa Baba Mkwe
Mmiliki halisi ni nani mke wake?CMG sio ya Joe.
N ya naniCMG sio ya Joe.
Familia.N ya nani
Familia ya naniFamilia.
Kusaga family.Familia ya nani
Not Joe Kusaga.Kusaga family.
We jamaa bhana 😂Not Joe Kusaga.
Usichoelewa nini, CMG ni ya familia yaanni Joe na ndugu zake. Baba yao ndio alitoa funds kuanzisha.We jamaa bhana 😂
Ruge ushangae nini? Alikuwa mwajiriwa kama waajiriwa wengine.Ni kichaa tu atakae taka kununua Hisa za CMG sasa hivi wakati inajulikana ni wakati wa Media house down Fall.
Kingine, huwezi lipwa Mshahara Halafu ugawiwe na HISA haiwezekani, labda ununue kama watanzania wengine wanavo nunua kwenye soko la HISA.
japo kuhusu Lughe, Ntashangaa sana kama hakua na HISA.
Halafu kwa nafasi aliyo pewa pale, ruge kala mnoo hizi deal kubwa kubwa.Ruge ushangae nini? Alikuwa mwajiriwa kama waajiriwa wengine.
Ujue clouds inaendeshwa na mtoto wa kike miaka.yote ambae ni mdg wa Joe? Hata kipindi Yuko RG bado huyo mdg wake anaiendesha?Ndugu yetu katimiza miaka 60 siku ya leo. Tunampongeza. Lakini suala la Wafanyakazi kumiliki hisa za CMG bado imekuwa kitendawili. Suala hili la Hisa Wafanyakazi wa CMG wanalitaka Sana lakini bahati mbaya Sana hata Marehemu muanzilishi hakubahatika hata kuwa na hisa 1 na akafa akiwa hana hisa yeyote ndani ya CMG.
Leo pia limejitokeza alipoulizwa kama kawaida yake machoni mwa watu ni kama Mwanakondoo ameshinda Tumfuate, akaendeleza majibu yale yale bado analiangalia huku akimtambulisha rasmi mwanawe na kumkaribisha rasmi kwenye majukumu ya kampuni ili baadae aje arithi mikoba yake.
My take: Wafanyakazi wa Mkataba wanawezaje kupewa hisa za umiliki wa kampuni ambayo hawajui jinsi ilivyoanzishwa????
Big Jo au Chief Jo afahamu Kwamba siku akiruhusu hili basi akubali siku wanahisa kwenye AGM wakimpigia kura kumtoa kwenye huo umiliki aliouanzisha kwa jasho na DAMU.
Mtoto ni Binti ipo siku ataolewa pia atambue huyo atakayemuoa siku akitaka divorce basi atambue Mkamwana wake kumtajirisha.
Mbio zote za Maisha unaenda kumrithisha mtoto wa kike ambaye mwisho wa siku anaolewa na mvuta bhangi anaamka anakuwa Bilionea kwa urithi wa Baba Mkwe - Hatari Sana