Miaka 60 ya Big Jo: Suala la Hisa kwa Wafanyakazi wake bado kitendawili


Alikufa kibudu bila hata ya kuwa na hisa ya kusingiziwa
 
Halafu kwa nafasi aliyo pewa pale, ruge kala mnoo hizi deal kubwa kubwa.

platform aliyo kuwa nayo ilimpa access ya watu na vitu vingi
Marehemu alikuwa mjanja Sana aliweza kununua nyumba Masaki tatizo lake alikuwa honga honga sana na wanawake kuwajengea mijengo
 
Anzisha kampuni yako uweke hizo hisa watu wanunue uache majungu

Ujumbe huu uwafikie Wafanyakazi wote wa CMG popote mlipo...kaanzisheni radio zenu na nyie siyo mtegemee hisa za Boss wenu
 
Biashara ya Radio imekufa Bongo...walipo sokoni wanatumia nguvu kubwa sana kubaki...media nyingi zimeshajifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…