Miaka 60 ya Uhuru: Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa darasani

Miaka 60 ya Uhuru: Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa darasani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma

Shule_ya_msingi_Manda_wilaya_ya_Chamwino_jimbo_la_Mtera._Hapo_watoto_wako_darasani_wakimsikili...jpg

Mungu ibariki Tanganyika
 
Kazi ya mbunge wenu Kibajaji ni kupiga makofi bungeni na kelele za ndiooooooo, lakini simlaumu sana, lawama ziwaendee wapiga kula wake. walitegemea drop-out la darasa la saba liwasaidie nini?
 
Ujinga na umasikini ndio mtaji wao ,unategemea nini kwa hawa vimburu
 
Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma

View attachment 1972870

Mungu ibariki Tanganyika
Tanzania umasikini unaletwa na katiba mbovu, inayo waweka viongozi na hakuna mfumo wa kuwawajibisha wakisha ingia madarakani. Ni mwendawazimu pekee yake atakae kubaliana na matumizi mabovu ya fedha za umma, eg misafara ya magari mengi kwenye safari za viongozi, matengenezo ya nyumba za viongozi kila mwaka, misururu ya makada wa CCM safari za nje za raid na mengine mengi, na kuliona la watoto kukaa chini halina mashiko.
 
Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma

View attachment 1972870

Mungu ibariki Tanganyika
Mipambavu ya huko inaona kijani tu, hapo wakiambiwa Tanzania ni nchi tajiri, wanaviiiiiimba, wanasahau kuwa hata matumbo yao wameshibishwa na wali wa hongo wa kampeni
 
Kazi ya mbunge wenu Kibajaji ni kupiga makofi bungeni na kelele za ndiooooooo, lakini simlaumu sana, lawama ziwaendee wapiga kula wake. walitegemea drop-out la darasa la saba liwasaidie nini?
Wana vuna walicho panda. Kazi ya mbunge ni kuhamasisha maendeleo, na Tanzania wabunge wanapewa 20m kuziba mapengo ambapo budget inapwaya. Kibajaji anawajibu wa kurudisha pesa zote za mfuko wa jimbo. Miaka 60! huu ni ujinga usio kipimo.
 
Nini kifanyike?
Mshahara wa rais wa mwezi 1(ameshindwa kuwaaminisha wateule wake), na bunge lote wanyimwe posho ya siku 7 zipelekwe kwenye jimbo hilo. Hiyo picha inaweza kuwa pambio, muziki haujapigwa. Ni shule nyingi zitakuwa na sura zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom