Ma CCM yamechoka mbaya.waziri wa elimu nchi hii sijui kazi yake ni Nini?.Mungu atunusuru.Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma
View attachment 1972870
Mungu ibariki Tanganyika
Mkuu, Mtera haipo Jiji la Dodoma ila ipo Halmashauri ya ChamwinoHii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma
View attachment 1972870
Mungu ibariki Tanganyika
Ndio sehemu ambayo mwaka juzi watafiti waliuawa wakidhaniwa nyonya damu , sasa fikiria watu hao wana uelewa wa kiwango gani .Mtera si ndo kwa jon malechela,
kweli kwenye miti hakuna wajenzi
Alishindwa mchunga ng'ombe mlegeza macho atawezea wapi?Ndani ya miezi tisa, haya yatakuwa ndoto mkuu