Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Kwa hiyo na wewe umejiita mchambuzi makini?Hivi shida ni nini.? kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali.
Kwanini hatuna umeme wa Gesi?
Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe?
Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.?
Naamini shida sio TANESCO BALI NI WATUNGA SERA
Uwezo mdogo wa VIONGOZI WETUWaache kutumia siasa kuvutana , hivi Hadi Leo hawanunui umeme toka nchi jirani? si wangeongeza megawatt kwenye grid yao(Tanesco) kwa kununua zaidi kipindi wanafikilia njia mbadala ya kuweka grid katika Hali ya kawaida .
Watatufikisha tu hawa tuzidishe uvumilivu.