Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Hana hela halafu anakuja kupiga kelele humu, mbafu zake
Kuna siku mtu mmoja akaandika hawez kula mihogo.mie nikasema sehem nilozaliwa hakukua na bamia .so mie bamia na nyanyachungu zinanishindaga kbs nasismka ..akaja na flastuesheni zake...ohh unajidai Sana...khaa...Sasa km Kuna mtu ameshidnwa kula mihogo Mimi nishindwe bamia na kisamvu we unaweweseka Nini?? Asinipangie Cha kuandika Babu wee...sidhani km nimewahi andika uongo..ili iwaje Sasa...! Apambane na ufukara wake bwana wee!..
 
Pambania umaskini wako...farasi wewe!..nijilegeze kwa kipi..konyo we...ninaandika coz hakuna anayelipia pumzi yangu..hutaki niignore! Mxiew
IMG_20200712_173027_451.jpg
hongera sie hata airport tunaishia kuziona kwenye TV tuu
 
Wakati anaondoka nikikuwa darasa la sita, nikipomaliza elimu ya sekondari mwaka 1976 niluajiriwa moja kwa moja na Shirika la Reli mjini Tabora. Mwaka 1981 nikahamishiwa Mwanza ndipo nilipomkuta kaka anaendelea kubangaiza maisha yalishampiga sana. Mwishowe mwaka 1988 akaja nyumbani kwangukuniomba nimpeleke nyumbani. Ndipo tarehe 3/9/1988 nikampeleka. Mimi matukio muhimu huwa ninaandika kwenye daftari langu la kumbukumbu.
Shikamoo mzee
 
Back
Top Bottom