Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa JF tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja

Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
kipindi hicho ntakua. Siwezi kusema hivyo sitaona mualiko labda unipe tarhe mapema
 
Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
Let me guess una 22 yrs jumlisha 70 yrs kama utakuwepo equals 92 yrs hapo dementia imekutafuna haukumbuki cha jf wala nn mungu akupe umri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…