Lignocaine
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 290
- 738
Mhh
Mbona kama tutakua tumesha pass like a shadow
Mbona kama tutakua tumesha pass like a shadow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kifanyike mkuu tuendelee kuwepo?Mhh
Mbona kama tutakua tumesha pass like a shadow
ha ha ha kwa uzuri ulionao sasa utakuwa sawa na kipindi hicho?Nitakua nalea vitukuu vyangu..
Kwamba ckuiz tunajipangia miaka ya kuishi?Nini kifanyike mkuu tuendelee kuwepo?
Kweli mkuu,kufikia hiyo miaka ni Mungu ajalie tu;inawezekana kuna wengine walishatangulia na wameacha ID tuDah huu uzi watakuja kufukua vitukuu kama Jf itaendelea kuwepo na kutunza kumbukumbu
Miaka 40 ijayo yenyewe shughuli pevu achilia mbali 70
ha ha haNa Mimi usinisahau mkuu,
😕Alafu nimesahau kuuliza,
Tunakutana makaburi ya wapi vile??
kipindi hicho ntakua. Siwezi kusema hivyo sitaona mualiko labda unipe tarhe mapemaMiaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
[emoji22]Nitakua nmekufa
Kwani ww utakuwepo eti?![emoji22]
Ndiyooha ha ha kwa uzuri ulionao sasa utakuwa sawa na kipindi hicho?
Nawahi nafasi mapema mkuuNdiyoo
HahahahaNawahi nafasi mapema mkuu
Sawa..Hahahaha
Imewahiwa na kizee changu Cha miaka hiyo..
Panapo majaliwa nitakuwa kwenye nyumba ya ibada niliyoijenga kwa nguvu zangu mwenyewe.Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
Kijana wa dar kashasema mtakutana mbiguni wewe ukiwa unapata tabu wakati yeye na baba yake wapo upande wapili wanakula bata utadhani labda mbingu ipo hapo chattle ville [emoji23][emoji23][emoji23]Ntakua namsulubu jiwe kuzimu
Hawezi enda mbinguni yule
Let me guess una 22 yrs jumlisha 70 yrs kama utakuwepo equals 92 yrs hapo dementia imekutafuna haukumbuki cha jf wala nn mungu akupe umri .Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
ha ha ha haLet me guess una 22 yrs jumlisha 70 yrs kama utakuwepo equals 92 yrs hapo dementia imekutafuna haukumbuki cha jf wala nn mungu akupe umri .