Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel

MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI

KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.

Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel. Mei 14, 1948, Kiongozi wa Mamlaka ya Kiyahuudi, David Ben-Gurion, aliitangaza Israel kuwa dola huru na kamili.

Ben-Gurion, katika azimio lake la uhuru, alitangaza kuwa kuanzishwa kwa dola ya Israel ni ufunguo wa milango kwa kila Myahahudi popote alipo uhamishoni, kurejea nyumbani kwao.

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Harry Truman, haraka sana alitangaza kuitambua dola ya Israel. Yalikuwa mafanikio makubwa ya Wayahudi, yaliyoanza kupitia harakati za uhamaji wa Aliyah miaka takriban 150 iliyopita.

Tafsiri ya Aliyah ni uhamaji wa Wayahudi kutoka uhamishoni na kurejea kwenye ardhi yao ya kihistoria, kijiografia na hatima yao. Ardhi hiyo ni Palestina. Aliyah ya kwanza ilikuwa mwaka 1882 – 1903, ingawa rekodi zinaonesha kuwa Wayahudi walianza kuweka maskani Palestina mwaka 1878.

Historia haiwezi kusomeka vizuri kama haigusi mateso ya Wayahudi Ulaya. Watawala wengi barani Ulaya waliyafanya maisha ya Wayahudi kujaa mateso. Wayahudi walihitaji mahali salama, wapaite nyumbani.

Mathalan, Aliyah ya kwanza chanzo chake ni Urusi. Wayahudi waliona mateso makali Urusi chini ya utawala wa Alexander III. Aliyah ya pili, mwaka 1904 – 1914, ni matokeo ya Wayahudi kukwepa chuki dhidi yao Ulaya. Vilevile mlipuko wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, ulichochea mashambulizi dhidi ya Wayahudi Ulaya.

Aliyah ya tatu, mwaka 1919 – 1923, ilichagizwa na matumaini makubwa ya Wayahudi baada ya Azimio la Balfour. Novemba 2, 1917, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa UK, Arthur Balfour, alimwandikia Kiongozi wa Wayahudi wa UK, Walter Rothschild, kuhusu mpango wa UK, kuunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Israel ndani ya Palestina.

Azimio la Balfour, liliwasha taa ya kijani kwa Wayahudi. Wimbi kubwa lilihamia Palestina kwa matumaini ya kujenga taifa lao. Aliyah ya nne mwaka 1924 – 1928, ilisababishwa na mateso ya kiuchumi ya Wayahudi Poland. Waliwekewa ugumu wa kuishi, wakatozwa viwango vikubwa vya kodi. Wayahudi wakatafsiri “akufukuzaye” hakwambii toka.

Aliyah ya tano 1929 – 1939, ilianza na sababu za kiuchumi, halafu Adolf Hitler alipoibuka Ujerumani, mamia elfu ya Wayahudi walikimbia kukwepa sera za Nazi. Wayahudi wengi waliuawa. Vita ya Pili vya Dunia ilipoanza mwaka 1938, iliongeza hatari kwa Wayahudi ambao walikimbilia Palestina na Yemen.

NJIAPANDA JERUSALEM

Vita ya Palestina mwaka 1947 – 1949 ni sehemu muhimu ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, sio tu Palestina na Wayahudi, bali pia jumuiya ya Waarabu dhidi ya Israel.

Vita ilipokwisha, Israel ilibaki na kipande chake, Jordan walichukua West Bank, Misri walimiliki Ukanda wa Gaza. Palestina ikagawanywa mara tatu.

Mwaka 1967, Israel ilifanya mashambulizi ya kushitukiza, ikafanikiwa kuzipiga Misri, Jordan na Syria, ikatwaa West Bank na Gaza, Palestina, Peninsula ya Sinai, Misri na Golan, Syria.

Mgawanyo wa ramani ya mwaka 1967, ulibakisha Ukanda wa Gaza na West Bank kuwa maeneo pekee ya Palestina, ukiacha Israel ikiwa na eneo kubwa. Kutoka Gaza hadi West Bank, lazima kwanza upite Israel. Hata hivyo, hilo sio tatizo sugu.

Vyama vikuu vya siasa Palestina, Fatah na Hamas, vyote malengo yake ni kuunda taifa la Palestina kwa kuheshimu ramani ya mwaka 1967. Japokuwa Hamas hawatambui uwepo wa Israel, Fatah wanaitambua, shabaha zao zinafanana kuelekea kuunda dola huru ya Palestina.

Mfupa mgumu wa mgogoro wa Israel na Palestina ni mji wa Jerusalem. Hakuna upande unakubali kuuacha. Sababu kubwa ni imani inayokutanisha dini tatu; Uislam, Uyahudi na Ukristo.

Wayahudi huamini Myahudi wa kwanza ni Ibrahim, kupitia matembezi yake Nchi ya Ahadi, Karne 1800 Kabla ya Kristo. Eneo ambalo Ibrahim alikaribia kumtoa sadaka mwanaye Isaka, ndio Jerusalem.

Wana wa Israel waliporejea Nchi ya Ahadi baada ya kukombolewa na Musa Misri, Mfalme wa Tatu wa Waisrael, Daud, aliufanya Jerusalem kuwa Mji Mkuu. Halafu, mtoto wa Daud, Mfalme Suleiman, alijenga Hekalu Takatifu na kulifanya kuwa kitovu cha ibada za Wayahudi.

Wana wa Israel walihiji mara tatu kwa mwaka kwenye Hekalu hilo. Walioshindwa kufika hekaluni, walipaswa kufanya ibada kwa kuelekeza nyuso zao usawa wa Jerusalem.

Kwa kutii masharti hayo, mahekalu (synagogues) ya Wayahudi, yalijengwa kwa wingi kwa uelekeo wa Jerusalem. Hadi leo, mahekalu ya Wayahudi, popote yanapojengwa, huelekezwa Jerusalem.

Wayahudi hawapo tayari kuacha Jerusalem itwaliwe na Palestina kwa sababu ni mji wao mtakatifu. Ni sehemu yao ya hija. Wanaita ardhi ya baba yao wa kwanza, Ibrahim. Usahihi wa wao kuimiliki Jerusalem wanaamini ni maandiko ya Musa, Torati na Daud, Zaburi.

Wakristo, Yesu alizaliwa Bethlehem, alikulia Nazareth. Pamoja na hivyo, Jerusalem ina historia na utukufu wa kipekee kwa sababu ndipo Yesu alifundisha, akala chakula cha jioni kwa mara ya mwisho, akakamatwa, akahukumiwa, akatembezwa kwa mateso hadi Golgotha (Calvary), alikowambwa msalabani.

Yesu alizikwa Jerusalem na siku tatu baadaye, kaburi lake lilikutwa tupu. Yesu aliwatokea mashuhuda wa kaburi lake Jerusalem, kisha alipaa kwenda mbinguni. Kuna Kanisa la Ufufuo (Church of Holy Sepulchre), lililopo Jerusalem. Nalo ni sehemu muhimu ya Ukristo.

Utamaduni wa kiimani kwa Wakristo kwenda kuhiji Jerusalem, hutembea Via Dolorosa – Njia ya Simanzi, na vituo vyake 14 hadi Golgotha, kufuata nyayo za Yesu. Pamoja na kuwepo ubishani wa madhehebu wa Kikristo kuhusu Via Dolorosa, kutoka Wakatoliki hadi Waorthodox, ukweli unabaki huu, Jerusalem ni historia ya Wakristo.

Waislam, wanauita Jerusalem ni mji mtakatifu. Zaidi, Jerusalem ni uthibitisho wa juu kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (S.A.W). Awali, uelekeo wa sala kwa Waislam (qibla), ulikuwa Jerusalem. Baadaye, qibla ikawa Ka’ba, Makkah. Ushahidi ni Quran, Sura Baqara (sura ya pili), aya ya 142 mpaka 152.

Jerusalem kuna Msikiti wa Aqsa ambao ni nyumba ya tatu kwa utakatifu, baada ya Makkah na Madina. Miraj ni safari ya Mtume Muhammad, iliyoanzia Msikiti wa Makkah, kituo cha pili kilikuwa Msikiti wa Aqsa, Jerusalem. Kisha, Muhammad akiwa na Malaika Jibril, walipaa hadi mbingu ya saba kutokea Aqsa.

Lengo la Miraj lilikuwa kumdhihirishia Muhammad uwepo wa Mungu. Kumwonesha ukweli wa mafundisho aliyohubiri, ikiwemo uwepo wa pepo na moto. Muhammad aliongoza sala ya mitume akiwa Aqsa.

Jerusalem kwa Waislam ndio palipo na historia ya Nabii Ibrahim. Mtume mwenye hadhi kubwa kwenye Uislam. Ndipo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye wa uzeeni, Ismail, kutimiza amri ya Mungu, lakini alipewa kondoo kama mbadala. Ni sababu Waislam ni suna kuchinja sikukuu ya Eid al Adha, kumwenzi Ibrahim.

Yesu, ndio Nabii Issa (A.S) kwa Waislam. Alama zake ni muhimu kwao. Mwanazuoni Al Ghazal, ni sehemu ya historia ya Usilam, alikuwa mkazi wa Jerusalem. Kwa kifupi, Jerusalem ni mji wa kiimani na kiutawala kwa Waislam. Kuanzia milenia ya kwanza na kwa karne 12 baadaye, Jerusalem ilitawaliwa na Waislam.

UHUSIKA WA UK, MAREKANI

Dola ya Ottoman (Uturuki), iliitawala Palestina kwa kipindi kirefu. Ujio wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, uliamsha vuguvugu za Waarabu dhidi ya Ottoman. UK, walikuwa wachochezi wakuu wa vuguvugu ili kuiangusha Dola ya Ottoman kwa ahadi ya kuwawezesha kupata uhuru.

UK ilifanya makubaliano na Sharifu wa Makkah, Saudi Arabia, katika mfululizo wa mazungumzo ya barua yaliyoitwa McMahon-Hussein Correspondence, kuhusu kuwaondoa Ottoman. Wakati huohuo, UK ilisaini na Ufaransa Mkataba wa Sykes-Picot, uliohusu kugawanya mara mbili miliki zote chini ya Ottoman.

Waarabu walipigana vita ya matumaini ya kupata uhuru. Baada ya kuishinda Ottoman, UK na Ufaransa waligawana nchi. Mwaka 1917, UK waliwachanganya zaidi Waarabu kupitia Azimio la Balfour. Halafu mwaka 1920, UK walianzisha Mamlaka ya Palestina.

UK, waliandika Azimio la Balfour, Waziri Mkuu alikuwa David George. Msimamo wa UK kuwasaidia Wayahudi ulikuwa na unyoofu mpaka mwaka 1945, alipoingia madarakani, Waziri Mkuu, Clement Attlee. Kipindi cha Attlee, alitaka kufanya mabadiliko ya Azimio la Balfour, lakini alichelewa. Tayari Wayahudi walishajizatiti na waliungwa mkono na Marekani.

Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Roosevelt, aliiahidi jumuiya ya Waarabu kuwa taifa la Israel lisingeundwa bila mashauriano na Wapalestina. Roosevelt alipofariki dunia, mrithi wake, Truman, aliunga mkono taifa la Israel pasipo kuzungumza na Wapalestina.

Kwa miaka mingi, Marekani walikwepa kuutambua Jerusalem kama mji wa Israel kutokana na historia yake inavyogonganisha dini tatu. Rais wa 45, Donald Trump, mwaka 2017, aliutambua Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel na akatangaza kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Wazungu, hasa mataifa ya Ulaya, hawakutaka kuishi na Wayahudi. Waliwatesa na waliwaua. Hata hivyo, nchi za Ulaya ndizo zinazoongoza kuitambua dola ya Israel na kuwafanya Wapalestina kuwa watu wasio na dola yao.

MAPIGANO NA HATIMA

Baada ya Israel kuzipiga Misri na Jordan mwaka 1967, iliikalia Palestina jumla. Mwaka 2005, Israel ilijiondoa Gaza, ila bado ipo West Bank. Siasa za Palestina zimegawa miliki hiyo mara mbili, West Bank inaongozwa na Fatah, Gaza ipo chini ya Hamas.

Oktoba 7, 2023, Hamas walifanya mashambulizi ya ghafla kuelekea Israel na kuua watu 1,400. Hamas waliweza kuizidi ujanja mitambo ya ulinzi ya Iron Dome, Israel, ambayo hudhibiti majiji ya Tel Aviv na Jerusalem kushambuliwa. Israel walijibu mapigo na kuua Wapalestina zaidi 3,478. Hii ni ripoti ya Al Jazeera, Alhamisi (Oktoba 19, 2023).

Kiongozi wa Kijeshi wa Hamas, Muhammad Deif, alituma ujumbe wa sauti kuelezea uamuzi wa kuishambulia Israel kuwa ni kuendelea kuikalia West Bank, kushikilia maelfu ya Wapalestina na uvamivi wa hivi karibuni wa polisi wa Israel kwenye Msikiti wa Aqsa.

Wapalestina, hasa Gaza, wamezoea ziara za makombora, kuona damu na kubeba maiti. Ni sehemu ya maisha yao kwa sababu ufumbuzi wa kudumu haupatikani. Waisraeli, hasa wa Tel Aviv na Jerusalem, shambulizi la Oktoba 7, lilikuwa jipya. Hawajazoea.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilitoa hukumu mwaka 2004, ilitambulisha West Bank, ikiwemo Jerusalem Mashariki na Ukanda wa Gaza, kuwa maeneo ya Palestina. Hilo ni gumu kwa Israel kukubali. Jerusalem Mashariki ndipo palipo na Hekalu Takatifu. Wayahudi hawapo tayari eneo lao la ibada takatifu liwe chini ya Wapalestina.

Wapalestina wanapigania ardhi yao na wanaungwa mkono na nchi nyingi za Kiarabu. Mathalan Msikiti wa Aqsa unahudumiwa na Jordan kupitia Wakf wa Jerusalem. Wapalestina na jumuiya ya Waarabu, hawapo tayari kuona maeneo yao matakatifu yakikaliwa na Wayahudi.

Ndimi Luqman MALOTOView attachment 2786933View attachment 2786932
Pole sana kiongozi, umejitahidi kuelezea unachofahamu na kuanzia pale unapopafahamu.
Taifa la Israel halijaanzia mwaka huo, na mwaka huo ni mwaka wa liliponyanyuka tena na kupata nguvu mpya.

Mimi sipo upande wowote lakini jaidahamu vizuri historia ya mataifa yote mawili nadhani nitaandaa andiko reeefu bukisoma utaelewa zaidi. FATILIA POST ZANGU MAANA SOON NITAPOST
 
Hapa tu ndio nilipowaona waarabu hawana akili na wana upeo mdogo sana na dini yao ya kiislamu ni ya kibaguzi kwa kuwabagua watu wasio waarabu na waislamu kote duniani.
Yaani wao wakiwabagua wengine sawa ila wakibaguliwa wao wanalalamika na kutaka huruma..
MKUKI MTAMU KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU?

Wewe unaonyesha wazi kabisa upo upande wa makafiri wa kiyahudi waliolaaniwa, hilo lipo wazi. Nchi nyingi wanasapoti palestina, huku Tanzania wengi wenu imani hamuna mpo upande wa makafiri wa kiyahudi, huruma hamuna, tena mnavyoona wanauliwa watoto, wazee na wajane ndio furaha kwenu enyi manaswara

Kama waspain wanaunga mkono wapalestina, wewe kama nani ushindwe kuwaunga!! Sema tu chuki dhidi ya waarabu na Uisilamu kwa ujumla zimewaja, ipo kwenye damu/vifua vyenu

الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.

الحمد الله: وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Huo ni ubaguzi wa waarabu waanzilishi wa dini yao ya uislamu.
Wao wanajiita waarabu na sio maarabu
Wabantu waliwaita Mashenzi.
Wayahudi waliwaita Mayahudi.
Waswahili waliwaita Maswahili.
Wazungu waliwaita Mazungu.
Sababu kubwa waliojihararishia kwa mapokeo ya dini yao ni kua ngozi na rangi yao ni bora kuliko watu wote duniani na kiarabu ni lugha bora kuliko zoote ulimwenguni

Uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,
Lugha ya kiarabu ndio the best language kuliko yoyote ile, kwakua wewe ni mpagani huwezi elewa hili
 
Quran ni mfululizo wa adithi za matukio ya jamii za kiarabu na kuna mapungu mengi katika adithi zake za kufikirika za kiarabu.Ni kitabu cha waarabu na Mungu wao wa kiarabu aitwae allah anaetumia lugha ya kiarabu.
Sikatai wala kushangaa anapokua na bifu na wayahudi na wakrsto ambao Mungu wao kwa pamoja ni El Shadai na sio Allah.
NB:KITENDO CHA WAISLAMU WAARABU KUWAITA WAYAHUDI KUA MAYAHUDI NA WAZUNGU KUA MAZUNGU NA WASWAHILI KUA MASWAHILI NA WAHINDI KUA MAHINDI.
NDICHO KINACHOONYESHA UISLAMU NI DINI YA KIBAGUZI,NA KWANINI HAIWAITI WAARABU KUA MAARABU?

Jitahidi kuusoma uislamu upate kujua, otherwise utaishia kuongea vitu usivyovijua
 
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI

KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.

Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel. Mei 14, 1948, Kiongozi wa Mamlaka ya Kiyahuudi, David Ben-Gurion, aliitangaza Israel kuwa dola huru na kamili.

Ben-Gurion, katika azimio lake la uhuru, alitangaza kuwa kuanzishwa kwa dola ya Israel ni ufunguo wa milango kwa kila Myahahudi popote alipo uhamishoni, kurejea nyumbani kwao.

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Harry Truman, haraka sana alitangaza kuitambua dola ya Israel. Yalikuwa mafanikio makubwa ya Wayahudi, yaliyoanza kupitia harakati za uhamaji wa Aliyah miaka takriban 150 iliyopita.

Tafsiri ya Aliyah ni uhamaji wa Wayahudi kutoka uhamishoni na kurejea kwenye ardhi yao ya kihistoria, kijiografia na hatima yao. Ardhi hiyo ni Palestina. Aliyah ya kwanza ilikuwa mwaka 1882 – 1903, ingawa rekodi zinaonesha kuwa Wayahudi walianza kuweka maskani Palestina mwaka 1878.

Historia haiwezi kusomeka vizuri kama haigusi mateso ya Wayahudi Ulaya. Watawala wengi barani Ulaya waliyafanya maisha ya Wayahudi kujaa mateso. Wayahudi walihitaji mahali salama, wapaite nyumbani.

Mathalan, Aliyah ya kwanza chanzo chake ni Urusi. Wayahudi waliona mateso makali Urusi chini ya utawala wa Alexander III. Aliyah ya pili, mwaka 1904 – 1914, ni matokeo ya Wayahudi kukwepa chuki dhidi yao Ulaya. Vilevile mlipuko wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, ulichochea mashambulizi dhidi ya Wayahudi Ulaya.

Aliyah ya tatu, mwaka 1919 – 1923, ilichagizwa na matumaini makubwa ya Wayahudi baada ya Azimio la Balfour. Novemba 2, 1917, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa UK, Arthur Balfour, alimwandikia Kiongozi wa Wayahudi wa UK, Walter Rothschild, kuhusu mpango wa UK, kuunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Israel ndani ya Palestina.

Azimio la Balfour, liliwasha taa ya kijani kwa Wayahudi. Wimbi kubwa lilihamia Palestina kwa matumaini ya kujenga taifa lao. Aliyah ya nne mwaka 1924 – 1928, ilisababishwa na mateso ya kiuchumi ya Wayahudi Poland. Waliwekewa ugumu wa kuishi, wakatozwa viwango vikubwa vya kodi. Wayahudi wakatafsiri “akufukuzaye” hakwambii toka.

Aliyah ya tano 1929 – 1939, ilianza na sababu za kiuchumi, halafu Adolf Hitler alipoibuka Ujerumani, mamia elfu ya Wayahudi walikimbia kukwepa sera za Nazi. Wayahudi wengi waliuawa. Vita ya Pili vya Dunia ilipoanza mwaka 1938, iliongeza hatari kwa Wayahudi ambao walikimbilia Palestina na Yemen.

NJIAPANDA JERUSALEM

Vita ya Palestina mwaka 1947 – 1949 ni sehemu muhimu ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, sio tu Palestina na Wayahudi, bali pia jumuiya ya Waarabu dhidi ya Israel.

Vita ilipokwisha, Israel ilibaki na kipande chake, Jordan walichukua West Bank, Misri walimiliki Ukanda wa Gaza. Palestina ikagawanywa mara tatu.

Mwaka 1967, Israel ilifanya mashambulizi ya kushitukiza, ikafanikiwa kuzipiga Misri, Jordan na Syria, ikatwaa West Bank na Gaza, Palestina, Peninsula ya Sinai, Misri na Golan, Syria.

Mgawanyo wa ramani ya mwaka 1967, ulibakisha Ukanda wa Gaza na West Bank kuwa maeneo pekee ya Palestina, ukiacha Israel ikiwa na eneo kubwa. Kutoka Gaza hadi West Bank, lazima kwanza upite Israel. Hata hivyo, hilo sio tatizo sugu.

Vyama vikuu vya siasa Palestina, Fatah na Hamas, vyote malengo yake ni kuunda taifa la Palestina kwa kuheshimu ramani ya mwaka 1967. Japokuwa Hamas hawatambui uwepo wa Israel, Fatah wanaitambua, shabaha zao zinafanana kuelekea kuunda dola huru ya Palestina.

Mfupa mgumu wa mgogoro wa Israel na Palestina ni mji wa Jerusalem. Hakuna upande unakubali kuuacha. Sababu kubwa ni imani inayokutanisha dini tatu; Uislam, Uyahudi na Ukristo.

Wayahudi huamini Myahudi wa kwanza ni Ibrahim, kupitia matembezi yake Nchi ya Ahadi, Karne 1800 Kabla ya Kristo. Eneo ambalo Ibrahim alikaribia kumtoa sadaka mwanaye Isaka, ndio Jerusalem.

Wana wa Israel waliporejea Nchi ya Ahadi baada ya kukombolewa na Musa Misri, Mfalme wa Tatu wa Waisrael, Daud, aliufanya Jerusalem kuwa Mji Mkuu. Halafu, mtoto wa Daud, Mfalme Suleiman, alijenga Hekalu Takatifu na kulifanya kuwa kitovu cha ibada za Wayahudi.

Wana wa Israel walihiji mara tatu kwa mwaka kwenye Hekalu hilo. Walioshindwa kufika hekaluni, walipaswa kufanya ibada kwa kuelekeza nyuso zao usawa wa Jerusalem.

Kwa kutii masharti hayo, mahekalu (synagogues) ya Wayahudi, yalijengwa kwa wingi kwa uelekeo wa Jerusalem. Hadi leo, mahekalu ya Wayahudi, popote yanapojengwa, huelekezwa Jerusalem.

Wayahudi hawapo tayari kuacha Jerusalem itwaliwe na Palestina kwa sababu ni mji wao mtakatifu. Ni sehemu yao ya hija. Wanaita ardhi ya baba yao wa kwanza, Ibrahim. Usahihi wa wao kuimiliki Jerusalem wanaamini ni maandiko ya Musa, Torati na Daud, Zaburi.

Wakristo, Yesu alizaliwa Bethlehem, alikulia Nazareth. Pamoja na hivyo, Jerusalem ina historia na utukufu wa kipekee kwa sababu ndipo Yesu alifundisha, akala chakula cha jioni kwa mara ya mwisho, akakamatwa, akahukumiwa, akatembezwa kwa mateso hadi Golgotha (Calvary), alikowambwa msalabani.

Yesu alizikwa Jerusalem na siku tatu baadaye, kaburi lake lilikutwa tupu. Yesu aliwatokea mashuhuda wa kaburi lake Jerusalem, kisha alipaa kwenda mbinguni. Kuna Kanisa la Ufufuo (Church of Holy Sepulchre), lililopo Jerusalem. Nalo ni sehemu muhimu ya Ukristo.

Utamaduni wa kiimani kwa Wakristo kwenda kuhiji Jerusalem, hutembea Via Dolorosa – Njia ya Simanzi, na vituo vyake 14 hadi Golgotha, kufuata nyayo za Yesu. Pamoja na kuwepo ubishani wa madhehebu wa Kikristo kuhusu Via Dolorosa, kutoka Wakatoliki hadi Waorthodox, ukweli unabaki huu, Jerusalem ni historia ya Wakristo.

Waislam, wanauita Jerusalem ni mji mtakatifu. Zaidi, Jerusalem ni uthibitisho wa juu kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (S.A.W). Awali, uelekeo wa sala kwa Waislam (qibla), ulikuwa Jerusalem. Baadaye, qibla ikawa Ka’ba, Makkah. Ushahidi ni Quran, Sura Baqara (sura ya pili), aya ya 142 mpaka 152.

Jerusalem kuna Msikiti wa Aqsa ambao ni nyumba ya tatu kwa utakatifu, baada ya Makkah na Madina. Miraj ni safari ya Mtume Muhammad, iliyoanzia Msikiti wa Makkah, kituo cha pili kilikuwa Msikiti wa Aqsa, Jerusalem. Kisha, Muhammad akiwa na Malaika Jibril, walipaa hadi mbingu ya saba kutokea Aqsa.

Lengo la Miraj lilikuwa kumdhihirishia Muhammad uwepo wa Mungu. Kumwonesha ukweli wa mafundisho aliyohubiri, ikiwemo uwepo wa pepo na moto. Muhammad aliongoza sala ya mitume akiwa Aqsa.

Jerusalem kwa Waislam ndio palipo na historia ya Nabii Ibrahim. Mtume mwenye hadhi kubwa kwenye Uislam. Ndipo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye wa uzeeni, Ismail, kutimiza amri ya Mungu, lakini alipewa kondoo kama mbadala. Ni sababu Waislam ni suna kuchinja sikukuu ya Eid al Adha, kumwenzi Ibrahim.

Yesu, ndio Nabii Issa (A.S) kwa Waislam. Alama zake ni muhimu kwao. Mwanazuoni Al Ghazal, ni sehemu ya historia ya Usilam, alikuwa mkazi wa Jerusalem. Kwa kifupi, Jerusalem ni mji wa kiimani na kiutawala kwa Waislam. Kuanzia milenia ya kwanza na kwa karne 12 baadaye, Jerusalem ilitawaliwa na Waislam.

UHUSIKA WA UK, MAREKANI

Dola ya Ottoman (Uturuki), iliitawala Palestina kwa kipindi kirefu. Ujio wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, uliamsha vuguvugu za Waarabu dhidi ya Ottoman. UK, walikuwa wachochezi wakuu wa vuguvugu ili kuiangusha Dola ya Ottoman kwa ahadi ya kuwawezesha kupata uhuru.

UK ilifanya makubaliano na Sharifu wa Makkah, Saudi Arabia, katika mfululizo wa mazungumzo ya barua yaliyoitwa McMahon-Hussein Correspondence, kuhusu kuwaondoa Ottoman. Wakati huohuo, UK ilisaini na Ufaransa Mkataba wa Sykes-Picot, uliohusu kugawanya mara mbili miliki zote chini ya Ottoman.

Waarabu walipigana vita ya matumaini ya kupata uhuru. Baada ya kuishinda Ottoman, UK na Ufaransa waligawana nchi. Mwaka 1917, UK waliwachanganya zaidi Waarabu kupitia Azimio la Balfour. Halafu mwaka 1920, UK walianzisha Mamlaka ya Palestina.

UK, waliandika Azimio la Balfour, Waziri Mkuu alikuwa David George. Msimamo wa UK kuwasaidia Wayahudi ulikuwa na unyoofu mpaka mwaka 1945, alipoingia madarakani, Waziri Mkuu, Clement Attlee. Kipindi cha Attlee, alitaka kufanya mabadiliko ya Azimio la Balfour, lakini alichelewa. Tayari Wayahudi walishajizatiti na waliungwa mkono na Marekani.

Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Roosevelt, aliiahidi jumuiya ya Waarabu kuwa taifa la Israel lisingeundwa bila mashauriano na Wapalestina. Roosevelt alipofariki dunia, mrithi wake, Truman, aliunga mkono taifa la Israel pasipo kuzungumza na Wapalestina.

Kwa miaka mingi, Marekani walikwepa kuutambua Jerusalem kama mji wa Israel kutokana na historia yake inavyogonganisha dini tatu. Rais wa 45, Donald Trump, mwaka 2017, aliutambua Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel na akatangaza kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Wazungu, hasa mataifa ya Ulaya, hawakutaka kuishi na Wayahudi. Waliwatesa na waliwaua. Hata hivyo, nchi za Ulaya ndizo zinazoongoza kuitambua dola ya Israel na kuwafanya Wapalestina kuwa watu wasio na dola yao.

MAPIGANO NA HATIMA

Baada ya Israel kuzipiga Misri na Jordan mwaka 1967, iliikalia Palestina jumla. Mwaka 2005, Israel ilijiondoa Gaza, ila bado ipo West Bank. Siasa za Palestina zimegawa miliki hiyo mara mbili, West Bank inaongozwa na Fatah, Gaza ipo chini ya Hamas.

Oktoba 7, 2023, Hamas walifanya mashambulizi ya ghafla kuelekea Israel na kuua watu 1,400. Hamas waliweza kuizidi ujanja mitambo ya ulinzi ya Iron Dome, Israel, ambayo hudhibiti majiji ya Tel Aviv na Jerusalem kushambuliwa. Israel walijibu mapigo na kuua Wapalestina zaidi 3,478. Hii ni ripoti ya Al Jazeera, Alhamisi (Oktoba 19, 2023).

Kiongozi wa Kijeshi wa Hamas, Muhammad Deif, alituma ujumbe wa sauti kuelezea uamuzi wa kuishambulia Israel kuwa ni kuendelea kuikalia West Bank, kushikilia maelfu ya Wapalestina na uvamivi wa hivi karibuni wa polisi wa Israel kwenye Msikiti wa Aqsa.

Wapalestina, hasa Gaza, wamezoea ziara za makombora, kuona damu na kubeba maiti. Ni sehemu ya maisha yao kwa sababu ufumbuzi wa kudumu haupatikani. Waisraeli, hasa wa Tel Aviv na Jerusalem, shambulizi la Oktoba 7, lilikuwa jipya. Hawajazoea.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilitoa hukumu mwaka 2004, ilitambulisha West Bank, ikiwemo Jerusalem Mashariki na Ukanda wa Gaza, kuwa maeneo ya Palestina. Hilo ni gumu kwa Israel kukubali. Jerusalem Mashariki ndipo palipo na Hekalu Takatifu. Wayahudi hawapo tayari eneo lao la ibada takatifu liwe chini ya Wapalestina.

Wapalestina wanapigania ardhi yao na wanaungwa mkono na nchi nyingi za Kiarabu. Mathalan Msikiti wa Aqsa unahudumiwa na Jordan kupitia Wakf wa Jerusalem. Wapalestina na jumuiya ya Waarabu, hawapo tayari kuona maeneo yao matakatifu yakikaliwa na Wayahudi.

Ndimi Luqman MALOTOView attachment 2786933View attachment 2786932
Wapalestina Walinyang'anya ardhi ya waisrael miaka 700 iliyopita na kuwafanya waisrael wawe wakimbizi europe unalijua hilo?
 
Jitahidi kuusoma uislamu upate kujua, otherwise utaishia kuongea vitu usivyovijua
Ipo wazi kihistoria uislamu ni dini ya kiarabu na inafuata tamaduni za waarabu wa kale kwa kuabudu nyota na mwezi na mungu wao allah kama kweli yupo kutokana na mapokeo ya adithi za kale za miungu ya kiarabu, ni mungu wa kiarabu tu na hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu.
NB:NIMESOMA SAIKOLOJIA YA DINI YA KIISLAMU NA WAUMINI WAKE.
KWANZA NI DINI ISIYOKUA NA UWAZI NDANI YAKE NA WAUMINI WAKE HAWAWEZI KUHOJI.
PIA NI DINI INAYOPROMOTE UTAMADUNI WA KIARABU PEKEE.
PIA NI DINI YA KIBAGUZI KWA KUWABAGUA BINADAMU WENGINE WENYE DINI TOFAUTI.
NB: NA KITENDO CHA KUITA WAYAHUDI KUA MAYAHUDI NA WAZUNGU KUA MAZUNGU NA WAHINDI KUA MAHINDI NA WASWAHILI KUA MASWAHILI NA WABANTU KUA MABANTU NA WAKURDI KUA MAKURDI.
KIMENIFANYA NIWAONE WANAZUONI WA KIISLAMU KUA NI WADHAIFU WA FIKRA NA WABAGUZI
 
Uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,
Lugha ya kiarabu ndio the best language kuliko yoyote ile, kwakua wewe ni mpagani huwezi elewa hili
Upo sahii kwa mwenyezi mungu wa waarabu na wafuasi wa uislamu ila sio kwa wayahudi na wakrsto.
Na kiarabu sio lugha bora duniani bali ni lugha ya watu wa jamii za kiarabu.
LUGHA BORA DUNIANI NI KINGEREZA NA KIHISPANIOLA NA KIFARANSA AMBAZO ZINAZUNGUMZWA NA KILA MTU DUNIANI MPAKA HAO WAARABU NA WABANTU PIA KAMA WEWE.
NB: NIKIENDA ZAMBIA NITAZUNGUMZA NA NANI KIARABU AU NIKIENDA CHINA NITAZUNGUMZA NA NANI KIARABU.
BALI KINGEREZA AU KIFARANSA AU KIHISPANIOLA NITAZUNGUMZA HIZO LUGHA DUNIA NZIMA.
 
Uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,
Lugha ya kiarabu ndio the best language kuliko yoyote ile, kwakua wewe ni mpagani huwezi elewa hili
Wakoloni wa kiarabu ndio walikudanganya kua dini za babu zako ni upagani na wakakukaririsha dini za babu zao na wewe kwa ufinyu wa mawazo ukawaamini.
WAAFRIKA NYINYI NI MASKINI WA AKILI SABABU YA UKOLONI WA WAARABU NA WAZUNGU.
 
Pole sana kiongozi, umejitahidi kuelezea unachofahamu na kuanzia pale unapopafahamu.
Taifa la Israel halijaanzia mwaka huo, na mwaka huo ni mwaka wa liliponyanyuka tena na kupata nguvu mpya.

Mimi sipo upande wowote lakini jaidahamu vizuri historia ya mataifa yote mawili nadhani nitaandaa andiko reeefu bukisoma utaelewa zaidi. FATILIA POST ZANGU MAANA SOON NITAPOST
FACT,S
 
Uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,
Lugha ya kiarabu ndio the best language kuliko yoyote ile, kwakua wewe ni mpagani huwezi elewa hili
Kila dini mkuu ina mungu wake na waafrika na wayahudi na wakrsto na wabudha na wahindu na watao and ect....,!!!
Hawamtambui huyo allah na sio mungu kwao.
NB: PUNGUZA USHABIKI BALI FUATILIA HISTORIA YA WATU WANAOISHI KATIKA HII DUNIA
 
Hakuna kiumbe aliyewalaani binadamu hayo ni mapokeo tu ya kidini.
Waaarabu na waislamu na quran wanasema wayahudi wamelaaniwana mungu wao allah 🤣🤣😂😂🙏🙏🙏🙏.
Wakrsto na biblia yao wanasema wayahudi wamebarikiwa na ni taifa teule la Mungu wao YEHOVAH.😂🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏.
NB:HAPO NGOMA DROO NA KILA MWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE.
SASA UNATAKA NIWAONEE HURUMA KWANI WAARABU WA PLO NA PLPF NA ISLAMIC JIHAD NA HAMAS NA HEZBOLLAH HAWAHUI WANAWAKE NA WATOTO NA WAZEE WA KIYAHUDI TOKA ENZI HIZO????

Ni vizuri ungetuonyesha clip ikiwaonyesha kikundi cha kutetea haki/Hamas wakiuwa watoto, kuhusu israel tunaona wayafanyayo, sasa tuonyeshe ya hamas kama wewe ni kidume
 
Mkuu acha propanganda,,,kwani zile roketi wanazorusha zinachagua pa kutua.Au yale mabomu ya kujitoa muhanga na zile risasi wanapowavamia wayahudi zinachagua pa kwenda.
Mkuu tatizo lako ni imani yako inakupeleka mpaka kutetea mapungufu ya waarabu.Kua katikati bila kuegemea upande wowote afu zungumza.
NB: MAMBO YA KUULIZANA WEWE NI KIDUME AU WANAFANYA NA KUSEMA WATU WASIO NA ELIMU AU TAALUMA YA UHANDISHI WA HABARI.
MIMI NISHAVUKA HUKO NAONGEA UKWELI SIEGEMEI UPANDE WOWOTE..
TATIZO WEWE UNACHANGANYA DINI NA MIGOGORO YA KISIASA,SASA LAZIMA UTAEGEMEA UPANDE MMOJA NA HUO SIO WELEDI WA KUWASILISHA HOJA.
Na nimekujibu hoja za msingi kabisa huko juu ila umekwwpa kuzijadili,nadhani wewe sio mwanataaluma ya uandishi wa habari na matukio ya wanadamu.
 
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI

KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.

Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel. Mei 14, 1948, Kiongozi wa Mamlaka ya Kiyahuudi, David Ben-Gurion, aliitangaza Israel kuwa dola huru na kamili.

Ben-Gurion, katika azimio lake la uhuru, alitangaza kuwa kuanzishwa kwa dola ya Israel ni ufunguo wa milango kwa kila Myahahudi popote alipo uhamishoni, kurejea nyumbani kwao.

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Harry Truman, haraka sana alitangaza kuitambua dola ya Israel. Yalikuwa mafanikio makubwa ya Wayahudi, yaliyoanza kupitia harakati za uhamaji wa Aliyah miaka takriban 150 iliyopita.

Tafsiri ya Aliyah ni uhamaji wa Wayahudi kutoka uhamishoni na kurejea kwenye ardhi yao ya kihistoria, kijiografia na hatima yao. Ardhi hiyo ni Palestina. Aliyah ya kwanza ilikuwa mwaka 1882 – 1903, ingawa rekodi zinaonesha kuwa Wayahudi walianza kuweka maskani Palestina mwaka 1878.

Historia haiwezi kusomeka vizuri kama haigusi mateso ya Wayahudi Ulaya. Watawala wengi barani Ulaya waliyafanya maisha ya Wayahudi kujaa mateso. Wayahudi walihitaji mahali salama, wapaite nyumbani.

Mathalan, Aliyah ya kwanza chanzo chake ni Urusi. Wayahudi waliona mateso makali Urusi chini ya utawala wa Alexander III. Aliyah ya pili, mwaka 1904 – 1914, ni matokeo ya Wayahudi kukwepa chuki dhidi yao Ulaya. Vilevile mlipuko wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, ulichochea mashambulizi dhidi ya Wayahudi Ulaya.

Aliyah ya tatu, mwaka 1919 – 1923, ilichagizwa na matumaini makubwa ya Wayahudi baada ya Azimio la Balfour. Novemba 2, 1917, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa UK, Arthur Balfour, alimwandikia Kiongozi wa Wayahudi wa UK, Walter Rothschild, kuhusu mpango wa UK, kuunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Israel ndani ya Palestina.

Azimio la Balfour, liliwasha taa ya kijani kwa Wayahudi. Wimbi kubwa lilihamia Palestina kwa matumaini ya kujenga taifa lao. Aliyah ya nne mwaka 1924 – 1928, ilisababishwa na mateso ya kiuchumi ya Wayahudi Poland. Waliwekewa ugumu wa kuishi, wakatozwa viwango vikubwa vya kodi. Wayahudi wakatafsiri “akufukuzaye” hakwambii toka.

Aliyah ya tano 1929 – 1939, ilianza na sababu za kiuchumi, halafu Adolf Hitler alipoibuka Ujerumani, mamia elfu ya Wayahudi walikimbia kukwepa sera za Nazi. Wayahudi wengi waliuawa. Vita ya Pili vya Dunia ilipoanza mwaka 1938, iliongeza hatari kwa Wayahudi ambao walikimbilia Palestina na Yemen.

NJIAPANDA JERUSALEM

Vita ya Palestina mwaka 1947 – 1949 ni sehemu muhimu ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, sio tu Palestina na Wayahudi, bali pia jumuiya ya Waarabu dhidi ya Israel.

Vita ilipokwisha, Israel ilibaki na kipande chake, Jordan walichukua West Bank, Misri walimiliki Ukanda wa Gaza. Palestina ikagawanywa mara tatu.

Mwaka 1967, Israel ilifanya mashambulizi ya kushitukiza, ikafanikiwa kuzipiga Misri, Jordan na Syria, ikatwaa West Bank na Gaza, Palestina, Peninsula ya Sinai, Misri na Golan, Syria.

Mgawanyo wa ramani ya mwaka 1967, ulibakisha Ukanda wa Gaza na West Bank kuwa maeneo pekee ya Palestina, ukiacha Israel ikiwa na eneo kubwa. Kutoka Gaza hadi West Bank, lazima kwanza upite Israel. Hata hivyo, hilo sio tatizo sugu.

Vyama vikuu vya siasa Palestina, Fatah na Hamas, vyote malengo yake ni kuunda taifa la Palestina kwa kuheshimu ramani ya mwaka 1967. Japokuwa Hamas hawatambui uwepo wa Israel, Fatah wanaitambua, shabaha zao zinafanana kuelekea kuunda dola huru ya Palestina.

Mfupa mgumu wa mgogoro wa Israel na Palestina ni mji wa Jerusalem. Hakuna upande unakubali kuuacha. Sababu kubwa ni imani inayokutanisha dini tatu; Uislam, Uyahudi na Ukristo.

Wayahudi huamini Myahudi wa kwanza ni Ibrahim, kupitia matembezi yake Nchi ya Ahadi, Karne 1800 Kabla ya Kristo. Eneo ambalo Ibrahim alikaribia kumtoa sadaka mwanaye Isaka, ndio Jerusalem.

Wana wa Israel waliporejea Nchi ya Ahadi baada ya kukombolewa na Musa Misri, Mfalme wa Tatu wa Waisrael, Daud, aliufanya Jerusalem kuwa Mji Mkuu. Halafu, mtoto wa Daud, Mfalme Suleiman, alijenga Hekalu Takatifu na kulifanya kuwa kitovu cha ibada za Wayahudi.

Wana wa Israel walihiji mara tatu kwa mwaka kwenye Hekalu hilo. Walioshindwa kufika hekaluni, walipaswa kufanya ibada kwa kuelekeza nyuso zao usawa wa Jerusalem.

Kwa kutii masharti hayo, mahekalu (synagogues) ya Wayahudi, yalijengwa kwa wingi kwa uelekeo wa Jerusalem. Hadi leo, mahekalu ya Wayahudi, popote yanapojengwa, huelekezwa Jerusalem.

Wayahudi hawapo tayari kuacha Jerusalem itwaliwe na Palestina kwa sababu ni mji wao mtakatifu. Ni sehemu yao ya hija. Wanaita ardhi ya baba yao wa kwanza, Ibrahim. Usahihi wa wao kuimiliki Jerusalem wanaamini ni maandiko ya Musa, Torati na Daud, Zaburi.

Wakristo, Yesu alizaliwa Bethlehem, alikulia Nazareth. Pamoja na hivyo, Jerusalem ina historia na utukufu wa kipekee kwa sababu ndipo Yesu alifundisha, akala chakula cha jioni kwa mara ya mwisho, akakamatwa, akahukumiwa, akatembezwa kwa mateso hadi Golgotha (Calvary), alikowambwa msalabani.

Yesu alizikwa Jerusalem na siku tatu baadaye, kaburi lake lilikutwa tupu. Yesu aliwatokea mashuhuda wa kaburi lake Jerusalem, kisha alipaa kwenda mbinguni. Kuna Kanisa la Ufufuo (Church of Holy Sepulchre), lililopo Jerusalem. Nalo ni sehemu muhimu ya Ukristo.

Utamaduni wa kiimani kwa Wakristo kwenda kuhiji Jerusalem, hutembea Via Dolorosa – Njia ya Simanzi, na vituo vyake 14 hadi Golgotha, kufuata nyayo za Yesu. Pamoja na kuwepo ubishani wa madhehebu wa Kikristo kuhusu Via Dolorosa, kutoka Wakatoliki hadi Waorthodox, ukweli unabaki huu, Jerusalem ni historia ya Wakristo.

Waislam, wanauita Jerusalem ni mji mtakatifu. Zaidi, Jerusalem ni uthibitisho wa juu kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (S.A.W). Awali, uelekeo wa sala kwa Waislam (qibla), ulikuwa Jerusalem. Baadaye, qibla ikawa Ka’ba, Makkah. Ushahidi ni Quran, Sura Baqara (sura ya pili), aya ya 142 mpaka 152.

Jerusalem kuna Msikiti wa Aqsa ambao ni nyumba ya tatu kwa utakatifu, baada ya Makkah na Madina. Miraj ni safari ya Mtume Muhammad, iliyoanzia Msikiti wa Makkah, kituo cha pili kilikuwa Msikiti wa Aqsa, Jerusalem. Kisha, Muhammad akiwa na Malaika Jibril, walipaa hadi mbingu ya saba kutokea Aqsa.

Lengo la Miraj lilikuwa kumdhihirishia Muhammad uwepo wa Mungu. Kumwonesha ukweli wa mafundisho aliyohubiri, ikiwemo uwepo wa pepo na moto. Muhammad aliongoza sala ya mitume akiwa Aqsa.

Jerusalem kwa Waislam ndio palipo na historia ya Nabii Ibrahim. Mtume mwenye hadhi kubwa kwenye Uislam. Ndipo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye wa uzeeni, Ismail, kutimiza amri ya Mungu, lakini alipewa kondoo kama mbadala. Ni sababu Waislam ni suna kuchinja sikukuu ya Eid al Adha, kumwenzi Ibrahim.

Yesu, ndio Nabii Issa (A.S) kwa Waislam. Alama zake ni muhimu kwao. Mwanazuoni Al Ghazal, ni sehemu ya historia ya Usilam, alikuwa mkazi wa Jerusalem. Kwa kifupi, Jerusalem ni mji wa kiimani na kiutawala kwa Waislam. Kuanzia milenia ya kwanza na kwa karne 12 baadaye, Jerusalem ilitawaliwa na Waislam.

UHUSIKA WA UK, MAREKANI

Dola ya Ottoman (Uturuki), iliitawala Palestina kwa kipindi kirefu. Ujio wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, uliamsha vuguvugu za Waarabu dhidi ya Ottoman. UK, walikuwa wachochezi wakuu wa vuguvugu ili kuiangusha Dola ya Ottoman kwa ahadi ya kuwawezesha kupata uhuru.

UK ilifanya makubaliano na Sharifu wa Makkah, Saudi Arabia, katika mfululizo wa mazungumzo ya barua yaliyoitwa McMahon-Hussein Correspondence, kuhusu kuwaondoa Ottoman. Wakati huohuo, UK ilisaini na Ufaransa Mkataba wa Sykes-Picot, uliohusu kugawanya mara mbili miliki zote chini ya Ottoman.

Waarabu walipigana vita ya matumaini ya kupata uhuru. Baada ya kuishinda Ottoman, UK na Ufaransa waligawana nchi. Mwaka 1917, UK waliwachanganya zaidi Waarabu kupitia Azimio la Balfour. Halafu mwaka 1920, UK walianzisha Mamlaka ya Palestina.

UK, waliandika Azimio la Balfour, Waziri Mkuu alikuwa David George. Msimamo wa UK kuwasaidia Wayahudi ulikuwa na unyoofu mpaka mwaka 1945, alipoingia madarakani, Waziri Mkuu, Clement Attlee. Kipindi cha Attlee, alitaka kufanya mabadiliko ya Azimio la Balfour, lakini alichelewa. Tayari Wayahudi walishajizatiti na waliungwa mkono na Marekani.

Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Roosevelt, aliiahidi jumuiya ya Waarabu kuwa taifa la Israel lisingeundwa bila mashauriano na Wapalestina. Roosevelt alipofariki dunia, mrithi wake, Truman, aliunga mkono taifa la Israel pasipo kuzungumza na Wapalestina.

Kwa miaka mingi, Marekani walikwepa kuutambua Jerusalem kama mji wa Israel kutokana na historia yake inavyogonganisha dini tatu. Rais wa 45, Donald Trump, mwaka 2017, aliutambua Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel na akatangaza kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Wazungu, hasa mataifa ya Ulaya, hawakutaka kuishi na Wayahudi. Waliwatesa na waliwaua. Hata hivyo, nchi za Ulaya ndizo zinazoongoza kuitambua dola ya Israel na kuwafanya Wapalestina kuwa watu wasio na dola yao.

MAPIGANO NA HATIMA

Baada ya Israel kuzipiga Misri na Jordan mwaka 1967, iliikalia Palestina jumla. Mwaka 2005, Israel ilijiondoa Gaza, ila bado ipo West Bank. Siasa za Palestina zimegawa miliki hiyo mara mbili, West Bank inaongozwa na Fatah, Gaza ipo chini ya Hamas.

Oktoba 7, 2023, Hamas walifanya mashambulizi ya ghafla kuelekea Israel na kuua watu 1,400. Hamas waliweza kuizidi ujanja mitambo ya ulinzi ya Iron Dome, Israel, ambayo hudhibiti majiji ya Tel Aviv na Jerusalem kushambuliwa. Israel walijibu mapigo na kuua Wapalestina zaidi 3,478. Hii ni ripoti ya Al Jazeera, Alhamisi (Oktoba 19, 2023).

Kiongozi wa Kijeshi wa Hamas, Muhammad Deif, alituma ujumbe wa sauti kuelezea uamuzi wa kuishambulia Israel kuwa ni kuendelea kuikalia West Bank, kushikilia maelfu ya Wapalestina na uvamivi wa hivi karibuni wa polisi wa Israel kwenye Msikiti wa Aqsa.

Wapalestina, hasa Gaza, wamezoea ziara za makombora, kuona damu na kubeba maiti. Ni sehemu ya maisha yao kwa sababu ufumbuzi wa kudumu haupatikani. Waisraeli, hasa wa Tel Aviv na Jerusalem, shambulizi la Oktoba 7, lilikuwa jipya. Hawajazoea.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilitoa hukumu mwaka 2004, ilitambulisha West Bank, ikiwemo Jerusalem Mashariki na Ukanda wa Gaza, kuwa maeneo ya Palestina. Hilo ni gumu kwa Israel kukubali. Jerusalem Mashariki ndipo palipo na Hekalu Takatifu. Wayahudi hawapo tayari eneo lao la ibada takatifu liwe chini ya Wapalestina.

Wapalestina wanapigania ardhi yao na wanaungwa mkono na nchi nyingi za Kiarabu. Mathalan Msikiti wa Aqsa unahudumiwa na Jordan kupitia Wakf wa Jerusalem. Wapalestina na jumuiya ya Waarabu, hawapo tayari kuona maeneo yao matakatifu yakikaliwa na Wayahudi.

Ndimi Luqman MALOTOView attachment 2786933View attachment 2786932
Tatizo lenu nyinyi Waislam ni kukaririshwa na kusema Uongo kwenu ili kutetea Agenda zenu za Kishetani Wala hamuoni shida.
Kweli hakukuwa na Taifa la Israel kipindi Cha kati baadae ya Roma kuiharibu Hekalu la Daudi 70 AD mpaka 1947. Lakini vile vile hakukuwa na Taifa la Palestine.
UN mwaka 1947 ndiyo ilipitisha Azimio la kuunda Jewish state na Arab state na Jerusalem liwe Jiji la MATAIFA yote Duniani kama ilivyo New York. Waarabu walikataa wakati waisrael waliukubali na ikawa Mwanzo wa vita na hatimaye waisrael wakaunda Israel state.
Pia unaposema Jerusalem ndipo ati Ibrahim alitaka kumtoa Mwanae sadaka, na ndipo Allah akampa Kondoo, huo ni Uongo wa mchana kweupe na hauni aibu kusema; wenzio Waislam wanasema ni Macca. Na maandiko ya kiebrania Wala hayahusishi Jerusalem na Ibrahim. MUONGO NA WENZIO ATI WANA LIKE 😂
Nikwambie kitu kwenye hilo suala la Hamas, agenda zenu za kijahidina zimeamikwa wazi. Na mtashangaa this time Waislam wenzenu wa Egypt Saudia, UAE na Jordan ndiyo wataongoza kutekeleza Azimio la UN la mwaka 1947. Hizo Aya zenu za Kishetani za chuki kwa waisrael na Wakiristo mtazitapika. Hamtoboi sana sana mtaongeza Kasi ya kujilipua na hamtafanikiwa kitawala Duniani
F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
 
Kuna kitu nimejifunza hapa kumbe wapalestina walitawaliwa na waingereza ndio maana wanaongea kingereza kizuri nimeona hadi watoto wengine wana British accent kabisa
 
Ingekua sio ngozi nyeupe kutokomeza kizazi cha watu weusi na kugawa maeneo hadi Middle East yote ingekua ya watu weusi tu (Africa)
 
Ni lini utaamka ewe muafrika na ukajua thamani yako kuliko kuhusudu za watu rudia asili yako rudia ulikotoka
 
Back
Top Bottom