Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel

MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI

KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.

Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel. Mei 14, 1948, Kiongozi wa Mamlaka ya Kiyahuudi, David Ben-Gurion, aliitangaza Israel kuwa dola huru na kamili.

Ben-Gurion, katika azimio lake la uhuru, alitangaza kuwa kuanzishwa kwa dola ya Israel ni ufunguo wa milango kwa kila Myahahudi popote alipo uhamishoni, kurejea nyumbani kwao.

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Harry Truman, haraka sana alitangaza kuitambua dola ya Israel. Yalikuwa mafanikio makubwa ya Wayahudi, yaliyoanza kupitia harakati za uhamaji wa Aliyah miaka takriban 150 iliyopita.

Tafsiri ya Aliyah ni uhamaji wa Wayahudi kutoka uhamishoni na kurejea kwenye ardhi yao ya kihistoria, kijiografia na hatima yao. Ardhi hiyo ni Palestina. Aliyah ya kwanza ilikuwa mwaka 1882 – 1903, ingawa rekodi zinaonesha kuwa Wayahudi walianza kuweka maskani Palestina mwaka 1878.

Historia haiwezi kusomeka vizuri kama haigusi mateso ya Wayahudi Ulaya. Watawala wengi barani Ulaya waliyafanya maisha ya Wayahudi kujaa mateso. Wayahudi walihitaji mahali salama, wapaite nyumbani.

Mathalan, Aliyah ya kwanza chanzo chake ni Urusi. Wayahudi waliona mateso makali Urusi chini ya utawala wa Alexander III. Aliyah ya pili, mwaka 1904 – 1914, ni matokeo ya Wayahudi kukwepa chuki dhidi yao Ulaya. Vilevile mlipuko wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, ulichochea mashambulizi dhidi ya Wayahudi Ulaya.

Aliyah ya tatu, mwaka 1919 – 1923, ilichagizwa na matumaini makubwa ya Wayahudi baada ya Azimio la Balfour. Novemba 2, 1917, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa UK, Arthur Balfour, alimwandikia Kiongozi wa Wayahudi wa UK, Walter Rothschild, kuhusu mpango wa UK, kuunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Israel ndani ya Palestina.

Azimio la Balfour, liliwasha taa ya kijani kwa Wayahudi. Wimbi kubwa lilihamia Palestina kwa matumaini ya kujenga taifa lao. Aliyah ya nne mwaka 1924 – 1928, ilisababishwa na mateso ya kiuchumi ya Wayahudi Poland. Waliwekewa ugumu wa kuishi, wakatozwa viwango vikubwa vya kodi. Wayahudi wakatafsiri “akufukuzaye” hakwambii toka.

Aliyah ya tano 1929 – 1939, ilianza na sababu za kiuchumi, halafu Adolf Hitler alipoibuka Ujerumani, mamia elfu ya Wayahudi walikimbia kukwepa sera za Nazi. Wayahudi wengi waliuawa. Vita ya Pili vya Dunia ilipoanza mwaka 1938, iliongeza hatari kwa Wayahudi ambao walikimbilia Palestina na Yemen.

NJIAPANDA JERUSALEM

Vita ya Palestina mwaka 1947 – 1949 ni sehemu muhimu ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, sio tu Palestina na Wayahudi, bali pia jumuiya ya Waarabu dhidi ya Israel.

Vita ilipokwisha, Israel ilibaki na kipande chake, Jordan walichukua West Bank, Misri walimiliki Ukanda wa Gaza. Palestina ikagawanywa mara tatu.

Mwaka 1967, Israel ilifanya mashambulizi ya kushitukiza, ikafanikiwa kuzipiga Misri, Jordan na Syria, ikatwaa West Bank na Gaza, Palestina, Peninsula ya Sinai, Misri na Golan, Syria.

Mgawanyo wa ramani ya mwaka 1967, ulibakisha Ukanda wa Gaza na West Bank kuwa maeneo pekee ya Palestina, ukiacha Israel ikiwa na eneo kubwa. Kutoka Gaza hadi West Bank, lazima kwanza upite Israel. Hata hivyo, hilo sio tatizo sugu.

Vyama vikuu vya siasa Palestina, Fatah na Hamas, vyote malengo yake ni kuunda taifa la Palestina kwa kuheshimu ramani ya mwaka 1967. Japokuwa Hamas hawatambui uwepo wa Israel, Fatah wanaitambua, shabaha zao zinafanana kuelekea kuunda dola huru ya Palestina.

Mfupa mgumu wa mgogoro wa Israel na Palestina ni mji wa Jerusalem. Hakuna upande unakubali kuuacha. Sababu kubwa ni imani inayokutanisha dini tatu; Uislam, Uyahudi na Ukristo.

Wayahudi huamini Myahudi wa kwanza ni Ibrahim, kupitia matembezi yake Nchi ya Ahadi, Karne 1800 Kabla ya Kristo. Eneo ambalo Ibrahim alikaribia kumtoa sadaka mwanaye Isaka, ndio Jerusalem.

Wana wa Israel waliporejea Nchi ya Ahadi baada ya kukombolewa na Musa Misri, Mfalme wa Tatu wa Waisrael, Daud, aliufanya Jerusalem kuwa Mji Mkuu. Halafu, mtoto wa Daud, Mfalme Suleiman, alijenga Hekalu Takatifu na kulifanya kuwa kitovu cha ibada za Wayahudi.

Wana wa Israel walihiji mara tatu kwa mwaka kwenye Hekalu hilo. Walioshindwa kufika hekaluni, walipaswa kufanya ibada kwa kuelekeza nyuso zao usawa wa Jerusalem.

Kwa kutii masharti hayo, mahekalu (synagogues) ya Wayahudi, yalijengwa kwa wingi kwa uelekeo wa Jerusalem. Hadi leo, mahekalu ya Wayahudi, popote yanapojengwa, huelekezwa Jerusalem.

Wayahudi hawapo tayari kuacha Jerusalem itwaliwe na Palestina kwa sababu ni mji wao mtakatifu. Ni sehemu yao ya hija. Wanaita ardhi ya baba yao wa kwanza, Ibrahim. Usahihi wa wao kuimiliki Jerusalem wanaamini ni maandiko ya Musa, Torati na Daud, Zaburi.

Wakristo, Yesu alizaliwa Bethlehem, alikulia Nazareth. Pamoja na hivyo, Jerusalem ina historia na utukufu wa kipekee kwa sababu ndipo Yesu alifundisha, akala chakula cha jioni kwa mara ya mwisho, akakamatwa, akahukumiwa, akatembezwa kwa mateso hadi Golgotha (Calvary), alikowambwa msalabani.

Yesu alizikwa Jerusalem na siku tatu baadaye, kaburi lake lilikutwa tupu. Yesu aliwatokea mashuhuda wa kaburi lake Jerusalem, kisha alipaa kwenda mbinguni. Kuna Kanisa la Ufufuo (Church of Holy Sepulchre), lililopo Jerusalem. Nalo ni sehemu muhimu ya Ukristo.

Utamaduni wa kiimani kwa Wakristo kwenda kuhiji Jerusalem, hutembea Via Dolorosa – Njia ya Simanzi, na vituo vyake 14 hadi Golgotha, kufuata nyayo za Yesu. Pamoja na kuwepo ubishani wa madhehebu wa Kikristo kuhusu Via Dolorosa, kutoka Wakatoliki hadi Waorthodox, ukweli unabaki huu, Jerusalem ni historia ya Wakristo.

Waislam, wanauita Jerusalem ni mji mtakatifu. Zaidi, Jerusalem ni uthibitisho wa juu kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (S.A.W). Awali, uelekeo wa sala kwa Waislam (qibla), ulikuwa Jerusalem. Baadaye, qibla ikawa Ka’ba, Makkah. Ushahidi ni Quran, Sura Baqara (sura ya pili), aya ya 142 mpaka 152.

Jerusalem kuna Msikiti wa Aqsa ambao ni nyumba ya tatu kwa utakatifu, baada ya Makkah na Madina. Miraj ni safari ya Mtume Muhammad, iliyoanzia Msikiti wa Makkah, kituo cha pili kilikuwa Msikiti wa Aqsa, Jerusalem. Kisha, Muhammad akiwa na Malaika Jibril, walipaa hadi mbingu ya saba kutokea Aqsa.

Lengo la Miraj lilikuwa kumdhihirishia Muhammad uwepo wa Mungu. Kumwonesha ukweli wa mafundisho aliyohubiri, ikiwemo uwepo wa pepo na moto. Muhammad aliongoza sala ya mitume akiwa Aqsa.

Jerusalem kwa Waislam ndio palipo na historia ya Nabii Ibrahim. Mtume mwenye hadhi kubwa kwenye Uislam. Ndipo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye wa uzeeni, Ismail, kutimiza amri ya Mungu, lakini alipewa kondoo kama mbadala. Ni sababu Waislam ni suna kuchinja sikukuu ya Eid al Adha, kumwenzi Ibrahim.

Yesu, ndio Nabii Issa (A.S) kwa Waislam. Alama zake ni muhimu kwao. Mwanazuoni Al Ghazal, ni sehemu ya historia ya Usilam, alikuwa mkazi wa Jerusalem. Kwa kifupi, Jerusalem ni mji wa kiimani na kiutawala kwa Waislam. Kuanzia milenia ya kwanza na kwa karne 12 baadaye, Jerusalem ilitawaliwa na Waislam.

UHUSIKA WA UK, MAREKANI

Dola ya Ottoman (Uturuki), iliitawala Palestina kwa kipindi kirefu. Ujio wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, uliamsha vuguvugu za Waarabu dhidi ya Ottoman. UK, walikuwa wachochezi wakuu wa vuguvugu ili kuiangusha Dola ya Ottoman kwa ahadi ya kuwawezesha kupata uhuru.

UK ilifanya makubaliano na Sharifu wa Makkah, Saudi Arabia, katika mfululizo wa mazungumzo ya barua yaliyoitwa McMahon-Hussein Correspondence, kuhusu kuwaondoa Ottoman. Wakati huohuo, UK ilisaini na Ufaransa Mkataba wa Sykes-Picot, uliohusu kugawanya mara mbili miliki zote chini ya Ottoman.

Waarabu walipigana vita ya matumaini ya kupata uhuru. Baada ya kuishinda Ottoman, UK na Ufaransa waligawana nchi. Mwaka 1917, UK waliwachanganya zaidi Waarabu kupitia Azimio la Balfour. Halafu mwaka 1920, UK walianzisha Mamlaka ya Palestina.

UK, waliandika Azimio la Balfour, Waziri Mkuu alikuwa David George. Msimamo wa UK kuwasaidia Wayahudi ulikuwa na unyoofu mpaka mwaka 1945, alipoingia madarakani, Waziri Mkuu, Clement Attlee. Kipindi cha Attlee, alitaka kufanya mabadiliko ya Azimio la Balfour, lakini alichelewa. Tayari Wayahudi walishajizatiti na waliungwa mkono na Marekani.

Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Roosevelt, aliiahidi jumuiya ya Waarabu kuwa taifa la Israel lisingeundwa bila mashauriano na Wapalestina. Roosevelt alipofariki dunia, mrithi wake, Truman, aliunga mkono taifa la Israel pasipo kuzungumza na Wapalestina.

Kwa miaka mingi, Marekani walikwepa kuutambua Jerusalem kama mji wa Israel kutokana na historia yake inavyogonganisha dini tatu. Rais wa 45, Donald Trump, mwaka 2017, aliutambua Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel na akatangaza kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Wazungu, hasa mataifa ya Ulaya, hawakutaka kuishi na Wayahudi. Waliwatesa na waliwaua. Hata hivyo, nchi za Ulaya ndizo zinazoongoza kuitambua dola ya Israel na kuwafanya Wapalestina kuwa watu wasio na dola yao.

MAPIGANO NA HATIMA

Baada ya Israel kuzipiga Misri na Jordan mwaka 1967, iliikalia Palestina jumla. Mwaka 2005, Israel ilijiondoa Gaza, ila bado ipo West Bank. Siasa za Palestina zimegawa miliki hiyo mara mbili, West Bank inaongozwa na Fatah, Gaza ipo chini ya Hamas.

Oktoba 7, 2023, Hamas walifanya mashambulizi ya ghafla kuelekea Israel na kuua watu 1,400. Hamas waliweza kuizidi ujanja mitambo ya ulinzi ya Iron Dome, Israel, ambayo hudhibiti majiji ya Tel Aviv na Jerusalem kushambuliwa. Israel walijibu mapigo na kuua Wapalestina zaidi 3,478. Hii ni ripoti ya Al Jazeera, Alhamisi (Oktoba 19, 2023).

Kiongozi wa Kijeshi wa Hamas, Muhammad Deif, alituma ujumbe wa sauti kuelezea uamuzi wa kuishambulia Israel kuwa ni kuendelea kuikalia West Bank, kushikilia maelfu ya Wapalestina na uvamivi wa hivi karibuni wa polisi wa Israel kwenye Msikiti wa Aqsa.

Wapalestina, hasa Gaza, wamezoea ziara za makombora, kuona damu na kubeba maiti. Ni sehemu ya maisha yao kwa sababu ufumbuzi wa kudumu haupatikani. Waisraeli, hasa wa Tel Aviv na Jerusalem, shambulizi la Oktoba 7, lilikuwa jipya. Hawajazoea.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilitoa hukumu mwaka 2004, ilitambulisha West Bank, ikiwemo Jerusalem Mashariki na Ukanda wa Gaza, kuwa maeneo ya Palestina. Hilo ni gumu kwa Israel kukubali. Jerusalem Mashariki ndipo palipo na Hekalu Takatifu. Wayahudi hawapo tayari eneo lao la ibada takatifu liwe chini ya Wapalestina.

Wapalestina wanapigania ardhi yao na wanaungwa mkono na nchi nyingi za Kiarabu. Mathalan Msikiti wa Aqsa unahudumiwa na Jordan kupitia Wakf wa Jerusalem. Wapalestina na jumuiya ya Waarabu, hawapo tayari kuona maeneo yao matakatifu yakikaliwa na Wayahudi.

Ndimi Luqman MALOTOView attachment 2786933View attachment 2786932
Miaka 70 iliyopita hakukuwa na nchi inaitwa Tanzania.
 
Umeeleza mengi ila hebu tuambie taifa la Israel lilikuwepo kabla ya Yesu na baada ya Yesu nchi yao ilikuwa ipi?na Yerusalemu alikosulubiwa enzi za mfalme herode ilikuwa wapi na mimi nimesoma Bible sana lakini sijawahi ona taifa la palestinians wala nchi inaitwa palestina
 
Tangu kuumbwa kwa dunia hakujawah kuwa na nchi inaitwa Palestine mkuu. Umesahau
 
Umeeleza mengi ila hebu tuambie taifa la Israel lilikuwepo kabla ya Yesu na baada ya Yesu nchi yao ilikuwa ipi?na Yerusalemu alikosulubiwa enzi za mfalme herode ilikuwa wapi na mimi nimesoma Bible sana lakini sijawahi ona taifa la palestinians wala nchi inaitwa palestina

kwani wewe ulisoma Biblia ipi ?? ya Mormon , Satanic bible, KJV, QJK, AV , ......

Historia hii imejaa ukweli kidogo na uongo mwingi sana,islamic propanganda ni nyingi sana,historia kamili ya ibrahimu na vizazi vyake isome kwenye vitabu vya torati kwengine utajazwa ujinga mwingi.

Waislamu acheni upotoshaji wa maandiko. Kwani lazima mitume wa wayahudi mfungamane nao?
Wamasai wa Kenya wakija na Torati yao inayowahalalishia eneo la Ngorongoro utasemaje ??
 
Mtumwa wa akili wewe, hizo zote ni Dini za kuletewa. Waliokuletea huo uislam ndo waliokuaminisha hivyo lakini huna uhakika na lolote zaidi ya kumezeshwa hiyo imani unless labda kama wewe ni mwarabu.

Unataka kutuambia wewe dini yako ni ya Marehemu mungu Wa kiafrika wanyonyi ??
 
Wapashe hawa islamists wasio na elimu, badala yake wamekalia kukariri tu hicho kitabu chao cha kishetani
Hao waingereza wenyewe licha ya kulirithi jina la Palestine toka kwa Waroma, bado waliitamba nchi hiyo kama landi of Israel. Una hicho kibandiko cha pili. Documents kama hii licence ya huyo Mwarabu zinazidi kutoa uthibitisho wa uhalali wa taifa la Israel
View attachment 3078453View attachment 3078453
View attachment 3078454

Yaani wewe myahudi wa Uwanja wa Fisi manzese unajua zaidi ya myahudi waziri mkuu wa Israel ?? Golder Meier ??

View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo?t=3
 
Mungu hana dini wee panya.Unataka kusema Mungu ni muislamu?Yaani majini yawe maislamu na Mungu awe muislamu?

Paul invented “Christianity” as revenge against the Jews, and the Roman Emperors.

His goal was to overtake the Roman Empire and destroy the Jewish authorities.

His religion succeeded, and it’s very unfortunate that the true followers of Jesus were defeated.

The Pauline Church later became known as the ‘Roman Catholic Church’, it was wholly controlled by politics and not a religious foundation.

Christianity was made the official religion of the Roman Empire by Constantine; he used the Church for his own political purpose and he never became a Christian.

Constantine changed the Sabbath from Saturday to Sunday to commemorate the day of the sun-god. Constantine introduced the pagan ‘trinity’ which he borrowed from his own religion.

The Romans, the Egyptians, and the Hindus believed in ‘trinity’ before Christianity existed.

When the Council of Nicea took place, the Emperor Constantine

- Declared the Roman Sun-day to be the Christian Sabbath

- Adopted the traditional birthday of the Sun-god, and the twenty-fifth of December, as the birthday of Jesus;

- Borrowed the emblem of the Sun-god, the cross of light, to be the emblem of Christianity;

- And, although the statue of Jesus replaced the idol of the Sun-god, decided to incorporate all the ceremonies which were performed at the Sub-gods birthday celebrations into their own ceremonies.

(Jesus, The Prophet of Islam, Muhammad Rahim, pp.101)

The scholar Maurice Bucaille states a very good question:

It is quite reasonable to ask what Christianity might have been without Paul and one could no doubt construct all sorts of hypotheses on this subject. (The Bible, The Quran, and Science, p. 70)

The answer is quite obvious:

If Popea had only accepted Paul’s offer of marriage, Christianity would probably not exist today.
 
Umeanfika shairi refu ,nchi ilipewa Israel walipotoka utumwani Misrini Mungu ndiye Muumba aliwapatia Israel ,hivyo wote ninyi mnaozingatia mipakaya ki binadamu mnampangia Mungu nn Cha kufanya ? hata punzi unayotumia unspoandika upupu huu ni ya Mungu , ama unataka kudhibitishi kwamba hapangiwi Cha kufanya aanze na ww.

Mungu wa kitabu kipi alisema hivyo ??
 
Israel ilikuwepo kuanzia zamani,,almost miaka yapata 4000 iliopita

The Book of Genesis:

"Historically, Jews and Christians alike have held that Moses was the author/compiler of the first five books of the OT.

These books, known also as the Pentateuch (meaning "five-volumed book"), were referred to in Jewish tradition as the five fifths of the law (of Moses).

The Bible itself suggests Mosaic authorship of Genesis, since Ac 15:1 refers to circumcision as "the custom taught by Moses," an allusion of Ge 17. However, a certain amount of later editorial updating does appear to be indicated (see, e.g., notes on 14:14; 36:31; 47:11). (From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"

So in reality, the book of Genesis had been tampered with by man.

It had been corrupted.

It is dangerous to consider all of it as the True Living Words of GOD Almighty, because by doing so, we are running into the risk of committing a crime against Him since we are claiming that He spoke words that He never spoke.
 
Mkuu nakushukuru Kwa hio document..Kwa mimi ninaethamini document hii ni Kama umenipatia tax clearance.

The Book of Numbers:

"It is not necessary, however, to claim that Numbers came from Moses' hand complete and in final form.

Portions of the book were probably added by scribes or editors from later periods of Israel's history.

For example, the protestation of the humility of Moses (12:3) would hardly be convincing if it came from his own mouth. (From the NIV Bible Commentary [1], page 183)"

So in reality, we don't know who were all the authors who wrote the book of Numbers.

How is it possible then to call the book of Numbers the True Living Revelations of GOD Almighty if the book had been tampered with by the man-made laws of the scribes?

As you clearly saw in Jeremiah 8:8 , GOD Almighty condemned the laws of the scribes and accused them for turning the Bible into a lie.
 
Umeeleza mengi ila hebu tuambie taifa la Israel lilikuwepo kabla ya Yesu na baada ya Yesu nchi yao ilikuwa ipi?na Yerusalemu alikosulubiwa enzi za mfalme herode ilikuwa wapi na mimi nimesoma Bible sana lakini sijawahi ona taifa la palestinians wala nchi inaitwa palestina

Akili za wapi hizi hata watoto wa madrasa wanajua israel ipo kabla Yesu hajazaliwa na mji mkuu ni Jelusalem. Yesu alizaliwa Bethelehem ya Uyahudi. Hiyo miaka sabini , hujui israel walikuwa wapi, na kwa nini walikuwa huko . Uliza ujifunze

Israel ilikuwepo kuanzia zamani,,almost miaka yapata 4000 iliopita

The book of Deuteronomy:

"The book itself testifies that, for the most part, Moses wrote it (1:5; 31:9,22,24), and other OT books agree (1Ki 2:3, 8:53; 2ki 14:6; 18:12)--though the preamble (1:1-5) may have been written by someone else, and the report of Moses' death (ch.34) was almost certainly written by someone else. (From the NIV Bible Commentary [1], page 240)"

As we clearly see, there is ample evidence that proves beyond the shadow of the doubt that Moses was not the sole author of the book.

He couldn't have possibly have written about his own death.

Again, another corrupted book by man in the Bible . How can you claim that the book of Deuteronomy was indeed all revealed by GOD Almighty?

If you're not sure, and you still insist on your claim, then you are committing a crime against GOD Almighty's Revelations.
 
Sasa huyu aliyekuwa waziri Mkuu wa Israeli alikuwa anadanganya?? Tukusikilize wewe myahudi wa Manzese ??

View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo

Ilikuwa territory inayotawaliwa na British baada ya ottoman empire kuanguka,sio taifa we kichwa maji. Na ilikuwa kuanzia Jordan. Palestine haijawah kuwa taifa. Nipe jina la rais wake wa kwanza ninani.
 
ikiitwa israeli ???au ?? British ilipewa mandate kwa nchi gani ??

Wacha upopoma kijana msikilize ukiwa nje ya box

View: https://youtu.be/J2zvHcGNZXQ
 
The book of Deuteronomy:

"The book itself testifies that, for the most part, Moses wrote it (1:5; 31:9,22,24), and other OT books agree (1Ki 2:3, 8:53; 2ki 14:6; 18:12)--though the preamble (1:1-5) may have been written by someone else, and the report of Moses' death (ch.34) was almost certainly written by someone else. (From the NIV Bible Commentary [1], page 240)"

As we clearly see, there is ample evidence that proves beyond the shadow of the doubt that Moses was not the sole author of the book.

He couldn't have possibly have written about his own death.

Again, another corrupted book by man in the Bible . How can you claim that the book of Deuteronomy was indeed all revealed by GOD Almighty?

If you're not sure, and you still insist on your claim, then you are committing a crime against GOD Almighty's Revelations.
Moses wrote the book of Deuteronomy under guidance of Most high God,,how could you doubt the next or first writer of the same book if he wrote the book under the same guidance of the same MOST HIGH GOD?? Do you doubt the thought of God in the book or you are driven with may be your own expectations????
 
Yaani wewe myahudi wa Uwanja wa Fisi manzese unajua zaidi ya myahudi waziri mkuu wa Israel ?? Golder Meier ??

View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo?t=3

Nimegundua kuwa tuna argue na mijitu ambayo vichwani mwao allah na Paedophile mod wamejaza quran baada ya kutoa ubongo. Kiingereza haujui na logic kichani hamna.
Golder mair anachokisema ndicho tunacho waambia nyinyi miislamists ya allah ( shetani) waisrael hawakukataa kuwa wao wakiwa jews waliishi katka nchi inaitwa Palestine(na wanajua chanzo cha nchi yao kuitwa Palestine-ni waroma) na wayahudi wanajua kutokana na mabadiliko yaliyotokea duniani, hawawezi kuepuka kuishi na waarabu ambao wengi na Waislamu. Ndiyo maana mpaka leo Israel kuna waarabu Waislamu wapatao 2,000,000. Sasa uliza kilichowapata wayahudi maeneo ya wapalestina, waliuawa, na hadi leo kule Gaza na mataifa ya kiarabu hupati myahudi.
Screenshot_20240427-172205_Photos.jpg
Screenshot_20240617-100247_Chrome.jpg
GBn6WffWEAAgkBX.png
Screenshot_20231219-002646.png
Screenshot_20231217-224156.png
 
Back
Top Bottom