Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Nimekwambia nenda Kanywe ijaza uamshe akili yako iliolala usome quran...utawadhe upate udhu uswali...Kwa siku unatakiwa uswali swala 5...Acha kupoteza mda kwenye usengenyaji unaokaribia kuwa tabia yako rasmi.Hiyo ndiyo biblia unayoiongelea ??
Haikuwa nchi we mama ilikuwa ni mamlaka ya British Palestine ambayo ndani yake walikuwepo waarabu na wayahud na wasamaria na druze pamoja na mabedui. Lilikuwa ni eneo la kiutawala sio nchi. Umesomea nini huko shule. Ili nchi iwe nchi inatakiwa kuwa na sifa gani nikuulize?
Nimekwambia nenda Kanywe ijaza uamshe akili yako iliolala usome quran...utawadhe upate udhu uswali...Kwa siku unatakiwa uswali swala 5...Acha kupoteza mda kwenye usengenyaji unaokaribia kuwa tabia yako rasmi.
Unamuelewa anachozungumzia lakini. Wote walikuwa raia ndani ya Palestine territory. Nchi gani haina rais au ufalme au waziri mkuu.
Unapoteza MDA wako,,,, uelewa wangu WA biblia wewe hauwezi kunifikia hata siku moja...Huwa napata lecture kutoka Kwa wakristo Ila wenye mtazamo unaofanana na WA kwangu..KASUKU mwenye akili ya mbuni Kama wewe Huwa unachoandika kuhusu ukristo naona ni ujinga mtupu...Yaani ni Bora uhusike na Maada nyingine Tu Kama utaweza kujitoa kwenye Hali ya kutokujitambua ulio nayoPata elimu kidogo usirushe vichwa
Matoleo ya Biblia ya Kingereza
Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:
"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…
Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.
Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza…
Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.
Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.
Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.
Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."
Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.
Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.
Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;
Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus."
Unapoteza MDA wako uelewa wangu WA biblia wewe hawezi kunifikia hata siku moja...Huwa napata lecture kutoka Kwa wakristo Ila wenye mtazamo unaofanana na WA wangu..KASUKU mwenye akili ya mbuni Kama wewe Huwa unachoandika kuhusu ukristo naona ni ujinga mtupu...Yaani ni Bora uhusike na Maada nyingine Tu Kama utaweza kujitoa kwenye Hali ya kutokujitambua ulio nayo
Uislam ulikuja ili kuzishinda dini nyingine...Quran imeandikwa wakati atakaporudi nabii issa atakuja kuvunja misalaba ilio makaburini...inaweza kuona issa wanaedai ni YESU hakuangikwa msalabani na bado wanaedai ni YESU...Yaani huyo Ishmael wanaemuita Ismail qurani iliojaa uwongo inamuelezea wakati kipindi cha Ibrahim na Ishmael hakukuwa na uislam wala Mungu wao Allah subhanna wataaala alikuwa hayupo.Kwa hio quran inakuwa Kama kitabu cha historia.Historia inachanganya, Ibrahim huyu huyo aliyemchinja Isaka ndio huyo huyo aliyemchinja Ismail
Uislam ulikuja ili kuzishinda dini nyingine...Quran imeandikwa wakati atakaporudi nabii issa atakuja kuvunja misalaba ilio makaburini...inaweza kuona issa wanaedai ni YESU hakuangikwa msalabani na bado wanaedai ni YESU...Yaani huyo Ishmael wanaemuita Ismail qurani iliojaa uwongo inamuelezea wakati kipindi cha Ibrahim na Ishmael hakukuwa na uislam wala Mungu wao Allah subhanna wataaala alikuwa hayupo.Kwa hio quran inakuwa Kama kitabu cha historia.
Katie udhu ukaswali umswalie mtume na wapiganaji WA jihad wanaokufa Kwa Moto WA mabomu Gaza,,sidoni,,beirut,,Sanaa na tehrani.Mungu wenu subhanna awapunguzie adhabu ya kaburiKwani wewe ungali unaamini mtoto wa Mariamu aitwaye yesu kuwa ni mungu ??
Katie udhu ukaswali umswalie mtume na wapiganaji WA jihad wanaokufa Kwa Moto WA mabomu Gaza,,sidoni,,beirut,,Sanaa na tehrani.Mungu wenu subhanna awapunguzie adhabu ya kaburi
Katie udhu ukaswali umswalie mtume na wapiganaji WA jihad wanaokufa Kwa Moto WA mabomu Gaza,,sidoni,,beirut,,Sanaa na tehrani.Mungu wenu subhanna awapunguzie adhabu ya kaburi
Tia udhu kaswali uwaombee dua wapalestina ambalo pia ni waislam wenzio waipate nchi mnayodhania ni yenu ya Israel na mji mnoumezea mate WA Jerusalem..Nenda kaswali Acha kuhangaika na maneno na vijineno.Kwani wewe ungali unaamini mtoto wa Mariamu aitwaye yesu kuwa ni mungu ??
Nimekwambia ukishatia udhu kaswali..Anza kumswalia mtume maana huko aliko unaijua kinachompata...baada ya hapo mwombe fuad shukr,,esma honey ye,,hajj kisima soleiman,,na husna nasra Allah asije akafa.Nimetia udhu huu hapa chini usome kwa furaha lakini ukiwa nje ya box
Spirits that GOD Almighty sends down including lying ones in the Bibles:
Some of the Spirits that GOD Almighty sends down upon His creations in the Old Testament. See alsoDaniel 7:25: Christianity will change time and the Law.
Isaiah 11:1-3 "1. A shoot willcome up from the stump of Jesse; from his roots a Branch will bear fruit.
2. The Spirit of the LORD will rest on him (Jesus)-- the Spirit ofwisdom and of understanding, the Spirit of
counsel and of power, the Spirit of knowledge and of the fear of the LORD(Jesus fearing his GOD)--
3. and he will delight in the fear of the LORD. He will not judge by what he sees with hiseyes, or
decide by what he hears with his ears;"
1 Kings 22:22 " 'By what means?' the LORD asked. " 'I will go out and be a lying spirit in the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'
1 Kings 22:23 "So now the LORD has put a lying spirit in the mouths of all these prophets of yours. The LORD has decreed disaster for you."
Paul admitted lying (Romans 3:7). He literally said he spoke lies during his ministry. Which spirit inspired Paul to lie?
Tia udhu kaswali uwaombee dua wapalestina ambalo pia ni waislam wenzio waipate nchi mnayodhania ni yenu ya Israel na mji mnoumezea mate WA Jerusalem..Nenda kaswali Acha kuhangaika na maneno na vijineno.
Nimekwambia ukishatia udhu kaswali..Anza kumswalia mtume maana huko aliko unaijua kinachompata...baada ya hapo mwombe fuad shukr,,esma honey ye,,hajj kisima soleiman,,na husna nasra Allah asije akafa.