Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo Mfalme alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Anakombe la Dunia!?!?
 
Anakombe la Dunia!?!?

  1. World cup u20 kama sikosei ama 23....
  2. Gold medal nchini Beijing
Argentina 4-3 Brazil akiwemo na gaucho.

Gaucho ana nini cha kumzidi messi mpaka umshobokee hivyo?? ..world cup/siku ya final hakuwa na mchango wowote hilo linajulikana.

Taja mafanikio yake sote tujionee!!!!
 
Reactions: PNC
kuchukua ballon d'Or sio mara zote humanisha mtu fulani bora zaidi ya mwingine hata CR7 ana ballon d'Or 5 lakini sio bora kumzidi messi!
 
Gaucho matako yake. Messi habari ya mjini, kipaji kazaliwanacho.

Ni nani kaipatia mafanikio timu yake?? Ni nani kabeba ballon d'Or nyingi?? Ni nani kachukua uchezaji bora wa dunia mara nyingi?? .


Kwani messi kamzidi Ronaldo ktk fifa player of the year? Ukijibu hilo utaondoa hyo sentensi
 
kama hayo ndo makombe makubwa ya timu taifa aliyoichukua huyu mfalme wenu ni mfalme feki!!!! yaani hata copa america hana?!
 
kama hayo ndo makombe makubwa ya timu taifa aliyoichukua huyu mfalme wenu ni mfalme feki!!!! yaani hata copa america hana?!

Kwako wewe mfalme feki. Kwa wale wanaolijuwa soka wanamtambua kuwa yeye ndie mfalme kuwahi kutokea..hakuna kama yeye utake usitake mkuu...habari ndio hiyo
 
Akijibu nitag

Halafu wote wana 5 fifa player of the year

King Ballon D'Or ana 5 na cr7 ana 4
King Fifa player ana 5 cr7 ana 5 pia,, tena za magumashi tu.mpira wenyewe hana/perfomance zero kabisa. Kilichomsaidia timu yake imembebea uefa cup.
 
King Ballon D'Or ana 5 na cr7 ana 4
King Fifa player ana 5 cr7 ana 5 pia,, tena za magumashi tu.mpira wenyewe hana/perfomance zero kabisa. Kilichomsaidia timu yake imembebea uefa cup.
weka data sio porojo
 
King Ballon D'Or ana 5 na cr7 ana 4
King Fifa player ana 5 cr7 ana 5 pia,, tena za magumashi tu.mpira wenyewe hana/perfomance zero kabisa. Kilichomsaidia timu yake imembebea uefa cup.
Hakuna anayeweka mapenzi mbele akaukubalu ukweli.....niliacha kushabikia mpira rasmi mwaka 2010; mwaka 2015 nikaanza kurudi pole pole, mpaka sasa bado sijafikia upenzi ule niliokuwa nao ila kwenye soka nimejifunza UNAFIKI uliotukuka kuliko SIASA.

Kama utaniuliza mimi, soka safi na bora kabisa kuchezwa kwenye uso wa dunia, mwisho ulikuwa 1998 kwenye fainali za kombe la Dunia nchini France.

Baada ya hapo, mpira tuushudiao ni kama kujaribu ku-programme ROBOTS to control traffic. Saying so, Messi is nothing but the results of programming the robots.

Kumbuka; Mc Fish, Thuram, Chilavert, Davor Suker, De Lima, Cafu, Claudio Taffarel, Zizou, Petit, Bellions, Romario, Mike Schumaichel, Campos, Okocha, BabaNgida, Baba Yaro, Oliseh, Batistusta, Oriel Ortega, Dunga, Van Bommel, Franco, van Bronchorst, n.k

Nilifurahia soccer back then......kabla siasa za soccer hazijapamba moto; kabla soccer haijatawaliwa na watu wawili tu na kusahau KEY PLAYERS.

Kumbuka robo fainali kati ya Barca na Man Utd, kumbuka robo fainali kati ya Arsenal na Barca, Mattheu Flamini na yule Mbrazil wa Arsenal(Gilberto), utajua soccer ni nini na nani ni nani!

Napenda ku-declare nimeanza kuwa mshabiki rasmi wa soccer la kimataifa fainali za Mataifa uhuru afrika mwaka ule wa Bafana Bafana anampiga Tunisia goli 3 fainali mwaka 1996 kama sikosei.
 

Kila mmoja na mtazamo wake. Binafsi Kwanzia 2008-2016 kwangu mimi ndio soccer zuri kuwahi kutokea, na wachezaji wake ni wazuri sana ukilinganisha na miaka ya nyuma. Fuatilia BARCA, REAL MADRID, ATL, MAN C, JUVE BAYERN NA INTER ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…