Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo Mfalme alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo Mfalme alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Gaucho ni king of kings bana

Hilo la ufalme linatoka kwa baadhi ya wabongo 😀 mara utasikia lichekinorizi linapiga kuliko Arnold shoziniga mara oh bruce lee na jaki cheni walikuwa kiboko😀😀 ndio haya tunayaona sasa...at end of the day mtakuja kutuambia OLIVIER GIROUD naye ni king😀

Messi na Gaucho ni kama unalinganisha ukali wa LION MESSI na mbwa koko...
 
Ndo shida ya kujua mpira awamu ya Magu.....
 
Mkiombwa statistics za gaucho mnakimbia 😛😛

Weka records za KING na uweke records za GAUCHO,, sio mkiombwa mnakimbia kimbia tuu alafu mnakuja kutuambia jamaa hana mpizani....duh wabongo bhana!!!

Gang Chomba ni mshabiki no 1 wa gaucho lakini ukimuomba data za King anakimbia/anakwepa....!!!! lakini mimi ukiniomba data za king nitakupa,,,hata wewe hapo unaweza ukamuomba msaada Mr Google na akakusaidia tu bila shida yoyote.

Toeni yaliomo moyoni mwenu, mnajuwa kuwa Messi ndie Master wa kila kitu otherwise mtaendelea kusononeka na mwisho wa siku mtapata Cancer or Anxiety disorders
 
Back
Top Bottom