Mkiombwa statistics za gaucho mnakimbia ππ
Weka records za KING na uweke records za GAUCHO,, sio mkiombwa mnakimbia kimbia tuu alafu mnakuja kutuambia jamaa hana mpizani....duh wabongo bhana!!!
Gang Chomba ni mshabiki no 1 wa gaucho lakini ukimuomba data za King anakimbia/anakwepa....!!!! lakini mimi ukiniomba data za king nitakupa,,,hata wewe hapo unaweza ukamuomba msaada Mr Google na akakusaidia tu bila shida yoyote.
Toeni yaliomo moyoni mwenu, mnajuwa kuwa Messi ndie Master wa kila kitu otherwise mtaendelea kusononeka na mwisho wa siku mtapata Cancer or Anxiety disorders