Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miakaYaani uko chini ya miaka 21 unakuja hapa kutafuta nini, kwani Facebook na Instagram haziko? Huko ndiko kuna wapuuzi wenzako si hapa, ebu tutokee huko na miushuzi yako.
nahisi
Kweli mkuu upuuzi ni akili ya mtu wala sio umri wapo wengi walianza kutumia JF chini ya miaka hiyo na walikuwa michago na hoja nzuri tuKwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka
😀😀😀😀😀
ahahahaha nipo Dar es salaam Maritime institute nasoma bachelor in shipping & logistic management mwaka wa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani humu ukijitaja una miaka 20 unaonekana mdogoooo mtu hata unashindwa kutaja umri wako sababu ya dharau za watu humuKweli mkuu upuuzi ni akili ya mtu wala sio umri wapo wengi walianza kutumia JF chini ya miaka hiyo na walikuwa michago na hoja nzuri tu
Huwezi ukawa unasoma bachelorahahahaha nipo Dar es salaam Maritime institute nasoma bachelor in shipping & logistic management mwaka wa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ww una umri gani, au na Wewe ni below 20 haahaa (Jokes)Yani humu ukijitaja una miaka 20 unaonekana mdogoooo mtu hata unashindwa kutaja umri wako sababu ya dharau za watu humu
Huku ni kuwa fake kila kitu hata umri kama kuutaja unataja fake unaoona utaweza kudeal na watu wa humu 😁Kwan ww una umri gani, au na Wewe ni below 20 haahaa (Jokes)
Inawezekana kweli yupo mwaka wa kwanza.