miaka below 21 tukutane APA

miaka below 21 tukutane APA

Yaani uko chini ya miaka 21 unakuja hapa kutafuta nini, kwani Facebook na Instagram haziko? Huko ndiko kuna wapuuzi wenzako si hapa, ebu tutokee huko na miushuzi yako.
Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka
 
Dogo unatuaibisha
Unasoma shahada halafu hujui kuandika hata kiswahili!
 
Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka
Kweli mkuu upuuzi ni akili ya mtu wala sio umri wapo wengi walianza kutumia JF chini ya miaka hiyo na walikuwa michago na hoja nzuri tu
 
Yani humu ukijitaja una miaka 20 unaonekana mdogoooo mtu hata unashindwa kutaja umri wako sababu ya dharau za watu humu
 
Kwan ww una umri gani, au na Wewe ni below 20 haahaa (Jokes)
 
Back
Top Bottom