spectator Ion
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 349
- 369
Mambo ledadaHamjambo watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ledadaHamjambo watoto?
nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtotoHamjambo watoto?
Write your reply...na viwanafunz vifungue Uzi wao tujipatie mawindo mwanaume wa kweli haogop vitisho vya mh jiwe eti nyundo 30 mpaka mnishike ntakuwa WAP
Sizani❌sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi huo mkuu!! Vyuo vina kazi sana.
Watu tumeanza kutumia jf tukiwa na miaka 15, kuwa na staha tafadhali ewe 'freedom fighter'.Yaani uko chini ya miaka 21 unakuja hapa kutafuta nini, kwani Facebook na Instagram haziko? Huko ndiko kuna wapuuzi wenzako si hapa, ebu tutokee huko na miushuzi yako.
Kwa uandishi huu,sijui taifa litakuaje huko mbele?! wewe ni mfano wa uandishi wa kizazi cha sasa.sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko shuleni pia hua mnaandika hivi?
Kiswahili tu tabu, sijui mitihani yako huko chuoni unajibu nini boss.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Wewe under that age.. Napitasizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa Mada sahihisha uandishi wako mtu mzima kuandika Kama kitoto cha o level ni aibu[emoji1][emoji1][emoji1]jirekebishe asee unaandika vibaya mno