Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet

Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly

Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet

Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology (software & hardware) ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na

Miaka ijayo technologia ya Bluetooth ikikua ntakuwa nauwezo wa kuwasiliana kwa kumpigia na kupitia Internet na mtu aliyeko sayari ya Pluto, neptune na uranus instantly

NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
 
Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet

Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly

Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet

Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na

Umeshakula?
 
Vipi siyo kwamba newer technology like UWB, NFC, na wi-fi, vitakuwa more relevant than Bluetooth in the near future? Na vipi je? Nchi ipo kwenye mstari mzuri kiuchumi na kiteknolojia kuweza kuvuna hizo wave kutoka kwenye natural satellite
 
Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet

Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly

Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet

Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na

NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliuwawa kikatili kwenye harakati zake za dhati kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya uonevu ukandamizaji na dhulma.
Screenshot_2025-07-11-11-54-34-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Megalodon
 
Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet

Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly

Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet

Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na

Miaka ijayo technologia ya Bluetooth ikikua ntakuwa nauwezo wa kuwasiliana kwa kumpigia na kupitia Internet na mtu aliyeko sayari ya Pluto, neptune na uranus instantly

NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Pusha muongezee kete nyingine ya bangi maana akisha vuta lazima aje jamii forum
 
Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology (software & hardware) ya kuzivuna hizo wave kutoka kwenye natural satellite
 
Kuna wazo nitakupa PM naomba ulicheki na tulifanyie Kazi then tulipeleke wizara ya Kazi

Wazo hili ni la kawaida Ila litaondoa changamoto kubwa ya ajira
Wizara na taasisi za Tanzania nimeshaka nazo tamaa sana nimeshapeleka mawazo yangu mengi sana na wameyapiga chini na hii ndo sababu kwa mimi kuamua kugombea Urais wa Tanzania

Ni ngumu sana kuwabidilisha bado fikra zao zipo nyuma sana
 
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
 
Twende pole pole, what type of waves zinazalishwa na satellites?
Mechanical, electromagnetic, au matter waves?
 
Back
Top Bottom