Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet
Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly
Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet
Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology (software & hardware) ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na
Miaka ijayo technologia ya Bluetooth ikikua ntakuwa nauwezo wa kuwasiliana kwa kumpigia na kupitia Internet na mtu aliyeko sayari ya Pluto, neptune na uranus instantly
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI