Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Umeshakula?Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet
Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly
Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet
Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliuwawa kikatili kwenye harakati zake za dhati kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya uonevu ukandamizaji na dhulma.Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet
Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly
Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet
Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Kupitia vifaa vitakavyovuna waves zinazozalishwa na Natural satellite kama mwezi, lo, Europa, titan, mimas n.kMapato utapata wapi mkuu
Pusha muongezee kete nyingine ya bangi maana akisha vuta lazima aje jamii forumNatural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet
Kabla ya humanoid project wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate mawasiliano mfano mtu aliyekua anaishi Mercury na Pluto walikuwa wanaweza kuwasiliana instantly
Kwenye project ya sasa bado hatujaweza kuzivuna waves ambazo zinaweza tumika kwa ajili matumizi ya mawasiliano na internet
Changamoto kubwa sana kwa sahivi hakuna technology ya kuzivuna hizo wave kwa ajili ya kazi ambazo nimezisema hapo juu na
Miaka ijayo technologia ya Bluetooth ikikua ntakuwa nauwezo wa kuwasiliana kwa kumpigia na kupitia Internet na mtu aliyeko sayari ya Pluto, neptune na uranus instantly
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Ďunia inabadilikaTuliobaki kwenye Infrared tupeleke wapi mavuno yetu kiongozi?
Matundu ya choo utakuwa umemaliza kujenga?NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA MRADI WA KUVUNA WAVE KUTOKA KWENYE NATURAL SATELLITE KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI
Kuna wazo nitakupa PM naomba ulicheki na tulifanyie Kazi then tulipeleke wizara ya KaziKupitia vifaa vitakavyovuna waves zinazozalishwa na Natural satellite kama mwezi, lo, Europa, titan, mimas n.k
Wizara na taasisi za Tanzania nimeshaka nazo tamaa sana nimeshapeleka mawazo yangu mengi sana na wameyapiga chini na hii ndo sababu kwa mimi kuamua kugombea Urais wa TanzaniaKuna wazo nitakupa PM naomba ulicheki na tulifanyie Kazi then tulipeleke wizara ya Kazi
Wazo hili ni la kawaida Ila litaondoa changamoto kubwa ya ajira