safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Unatakaje ushauri wakati hauko real...?Umri nadhani sio tatizo, nataka ushauri!
If u want to get real advice,you have to be real twice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakaje ushauri wakati hauko real...?Umri nadhani sio tatizo, nataka ushauri!
kijana wala usife moyo haya yote yana mwisho.... kama mkuu yupo bize na chato ww unazani mtanzani wa kawaida anaweza kujijenga kimaisha?? wakati mzunguko wa fedha upo icu??? kuwa mpole hii hali itaisha tuJana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!
Saawa bhanareality muhimu ni ya maandishi yanasema nini.. mengine kuhusu mimi achana nayo ambayo sijayaweka wazi hapa
Acha kushabikia Yanga !!!Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!
😆😆😆 dah avatar inafurahisha sana imenikumbusha siku za nyuma kidogoAkijibu ni tag mkuu
Umekumbuka nn mkuu [emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38] dah avatar inafurahisha sana imenikumbusha siku za nyuma kidogo
Hata SEX hujawahi kufanya?Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!
This Is JamiiForumsKwny hii thread yake hapa chini amesema ana miaka 28 mkuu.
Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua
Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5. Naomba nianzie hapa.. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa Miaka 28 mwenye elimu ya shahada moja, katika harakati za maisha nilifanikiwa kukutana na binti...www.jamiiforums.com
Kwa wabongo wa miaka 35 kasoro kurudi nyuma, kuna changamoto nyingi wamezipata ikiwepo malezi..Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!
Well said!Kwa wabongo wa miaka 35 kasoro kurudi nyuma, kuna changamoto nyingi wamezipata ikiwepo malezi..
Wazazi walijiaminisha kwamba ukipambana mtoto wako akapata elimu ya darasani basi umemaliza kila kitu.
Walisahau kuwafundisha elimu nyingine ya maisha nje ya shule.
Hata kama mzazi ana biashara basi hakutaka kabisa kumfundisha mwanae akiamini biashara si kwa ajili ya 'wasomi'
Matokeo yake fursa zitokanazo na elimu za vyuo vikuu (darasani) zimekua chache na kuacha hawa 'wasomi' wasijue la kufanya..
Madingi zetu walipewa sana elimu ya ujasiriamali na wazazi wao, kwa vitendo hali iliyowasaidia watusue na wawe na kipato kisichoyumba..
Lakini kama hujui, mtaji wa wanasiasa wote duniani ni jamii isiyo na ajira ama kipato cha kudumu..
Kwa hiyo vijana tusiposhituka mapema, tukaaminishwa elimu ya darasani ndo kila kitu, basi hatutafika popote..
Bro wangu ana 25 hajawahi kwani kuna tatizo mkuu?Hata SEX hujawahi kufanya?
Mwaka jana bwana wakati nacheki game za uefa champions league nikaliona hilo tangazo la Heinekeni na jamaa jinsi alivyokuwa play part yake nikajikuta nacheka sana mpaka home wakadhani nimeanza kutumia cha Arusha.Umekumbuka nn mkuu [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23]Mwaka jana bwana wakati nacheki game za uefa champions league nikaliona hilo tangazo la Heinekeni na jamaa jinsi alivyokuwa play part yake nikajikuta nacheka sana mpaka home wakadhani nimeanza kutumia cha Arusha.