Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mponde hata jiwe litakuwa jambo la maana tu
Jamaa yupo Holland ujue
Mbona mpaka now ya-meshaanza kuonekanaHili jambo kwa Tz limekuwa common sana vijana 20-30 wakike kwa kiume kuendelea kuwa tegemezi yani kula kulala.
Kuna sehemu maybe wazee wetu walikosea ila itakuja kutucost sana badae.
Madhara hayawezi kuonekana saivi
Ana bahati kafunga a/c yake ningefukunyua huko thread zake za siku nyuma!!Tatizo lako ni uongo uongo huna miaka 24..
Ulijiunga jf ukiwa na miaka mingapi?
Hio Pesa ipo saa yoyote mzee
Kwny hii thread yake hapa chini amesema ana miaka 28 mkuu.Ana bahati kafunga a/c yake ningefukunyua huko thread zake za siku nyuma!!
Ontario amewaliza wengi humu mwisho wa siku ameamua kubadili Id kukwepa aibu.Nenda Instagram tafuta account ya sirjeff_dennis soma post zake zote kuanzia ya latest kuja nyuma. Anatoa ushauri mzuri utakufaa kwa aja yako
Sio kweli mkuu, nchi zilizoendelea kijana mwenye miaka 24 ameshapiga hatua kubwa za kimaisha kiasi kwamba anaweza kumudu kununua au kumiliki chochote atakacho kitamani,waangalie hata wasomi wa huko,waigizaji, wanamuziki nk.Usikate tamaa miaka 24 mbona muda bado unao sana...
Kwa nchi zinazoendelea 24yrs wewe bado kula kulala...
Cc: mahondaw
Mtoa mada muongo sana weweee..Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!
Sio kweli mkuu, nchi zilizoendelea kijana mwenye miaka 24 ameshapiga hatua kubwa za kimaisha kiasi kwamba anaweza kumudu kununua au kumiliki chochote atakacho kitamani,waangalie hata wasomi wa huko,waigizaji, wanamuziki nk.
Umri nadhani sio tatizo, nataka ushauri!Mtoa mada muongo sana weweee..
Sasa una miaka 28 au 24 tuamini vipi kijanaa?
Tunajua kwamba wewe ni mtoto ila sasa isiwe sababu ya wewe kuja mara una miaka 24 mara una miaka 28.
Ebumpitia uzi wako huu
Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua
Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5. Naomba nianzie hapa.. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa Miaka 28 mwenye elimu ya shahada moja, katika harakati za maisha nilifanikiwa kukutana na binti...www.jamiiforums.com