Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!

Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!

Hili jambo kwa Tz limekuwa common sana vijana 20-30 wakike kwa kiume kuendelea kuwa tegemezi yani kula kulala.
Kuna sehemu maybe wazee wetu walikosea ila itakuja kutucost sana badae.
Madhara hayawezi kuonekana saivi
Mbona mpaka now ya-meshaanza kuonekana
 
Ana bahati kafunga a/c yake ningefukunyua huko thread zake za siku nyuma!!
Kwny hii thread yake hapa chini amesema ana miaka 28 mkuu.

Kuwa makin na watu wa jf haya ya nifate dm sio wengi wao waongeaj wa jukwaan lakin hamma kitu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna uzi wako nimeukumbuka sijui kwanini nikacheka tu, kumbe ndio maana[emoji134]
 
Nimeamini kitu ukiwa kwenu ukiambiwa hali ngumu kitaani kiuchumi unadhani hadithi na kwa style hii huta toka kwenu hata siku moja mwana lumumba mdogo
 
Usikate tamaa miaka 24 mbona muda bado unao sana...

Kwa nchi zinazoendelea 24yrs wewe bado kula kulala...

Cc: mahondaw
Sio kweli mkuu, nchi zilizoendelea kijana mwenye miaka 24 ameshapiga hatua kubwa za kimaisha kiasi kwamba anaweza kumudu kununua au kumiliki chochote atakacho kitamani,waangalie hata wasomi wa huko,waigizaji, wanamuziki nk.
 
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.

Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga

WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?

Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.

Asante!
Mtoa mada muongo sana weweee..

Sasa una miaka 28 au 24 tuamini vipi kijanaa?

Tunajua kwamba wewe ni mtoto ila sasa isiwe sababu ya wewe kuja mara una miaka 24 mara una miaka 28.

Ebumpitia uzi wako huu

Sio kweli mkuu, nchi zilizoendelea kijana mwenye miaka 24 ameshapiga hatua kubwa za kimaisha kiasi kwamba anaweza kumudu kununua au kumiliki chochote atakacho kitamani,waangalie hata wasomi wa huko,waigizaji, wanamuziki nk.

Tofautisha kati ya nchi zinazoendelea - Africa, South America...

Nchi zilizoendelea - Europe & America...

Hapana nazungumzia kwenye nchi zinazoendelea...

Cc: mahondaw
 
Mtoa mada muongo sana weweee..

Sasa una miaka 28 au 24 tuamini vipi kijanaa?

Tunajua kwamba wewe ni mtoto ila sasa isiwe sababu ya wewe kuja mara una miaka 24 mara una miaka 28.

Ebumpitia uzi wako huu

Umri nadhani sio tatizo, nataka ushauri!
 
Back
Top Bottom