Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!

kijana wala usife moyo haya yote yana mwisho.... kama mkuu yupo bize na chato ww unazani mtanzani wa kawaida anaweza kujijenga kimaisha?? wakati mzunguko wa fedha upo icu??? kuwa mpole hii hali itaisha tu
 
Unatakaje ushauri wakati hauko real...?

If u want to get real advice,you have to be real twice
reality muhimu ni ya maandishi yanasema nini.. mengine kuhusu mimi achana nayo ambayo sijayaweka wazi hapa
 
Acha kushabikia Yanga !!!
 
Naomba link ya uzi wako wa kwaza kabisa hapa JF,baada ya hapo nitaona namna ya kukusaidia.
 
Hata SEX hujawahi kufanya?
 
This Is JamiiForums
 
Kwa wabongo wa miaka 35 kasoro kurudi nyuma, kuna changamoto nyingi wamezipata ikiwepo malezi..

Wazazi walijiaminisha kwamba ukipambana mtoto wako akapata elimu ya darasani basi umemaliza kila kitu.

Walisahau kuwafundisha elimu nyingine ya maisha nje ya shule.

Hata kama mzazi ana biashara basi hakutaka kabisa kumfundisha mwanae akiamini biashara si kwa ajili ya 'wasomi'

Matokeo yake fursa zitokanazo na elimu za vyuo vikuu (darasani) zimekua chache na kuacha hawa 'wasomi' wasijue la kufanya..

Madingi zetu walipewa sana elimu ya ujasiriamali na wazazi wao, kwa vitendo hali iliyowasaidia watusue na wawe na kipato kisichoyumba..

Lakini kama hujui, mtaji wa wanasiasa wote duniani ni jamii isiyo na ajira ama kipato cha kudumu..

Kwa hiyo vijana tusiposhituka mapema, tukaaminishwa elimu ya darasani ndo kila kitu, basi hatutafika popote..
 
huko ni kujitakia msongo wa mawazo kwa kutokuridhika na ulichonacho..., jambo ambalo hupelekea wengi kutafuta shortcuts

Blessed is the man who expects nothing, for he shall never be disappointed
 
Well said!
 
Umekumbuka nn mkuu [emoji3][emoji3]
Mwaka jana bwana wakati nacheki game za uefa champions league nikaliona hilo tangazo la Heinekeni na jamaa jinsi alivyokuwa play part yake nikajikuta nacheka sana mpaka home wakadhani nimeanza kutumia cha Arusha.
 
Mwaka jana bwana wakati nacheki game za uefa champions league nikaliona hilo tangazo la Heinekeni na jamaa jinsi alivyokuwa play part yake nikajikuta nacheka sana mpaka home wakadhani nimeanza kutumia cha Arusha.
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…