Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana?
Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu kujifunza nadharia kadhaa bila ya kuhitaji kukaa darasani.
Marekani baadhi ya shule na vyuo vimefungwa kwa kukosa wanafunzi.
Je, tujiandae kuachana na dhana ya kuweka wanafunzi darasani kujifunza nadharia.