Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi huzaa umauti! nakushauri hiyo plani yako achana nayo kabisaa kwa faida yako mbele ya mumeo, wanao na Mwenyezi-Mungu.Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.
Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...
Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
Hakika umemwaga madini ndg nimependa san kwa kuuona ukweliWabongo bana....
Kashapata kamchepuka kake anakuja hapa kutafuta uhalali....
Nilipokua nasoma nikasema mwisho wa hii stori itaishia mahali "kuna mkaka ananifatilia.."..Thats the main point!
Huku juu kote ni blah blah tu...maana ungeongea nae muhusika ndio angetoa majibu ya kubadilika unavyotaka wewe...Humu hamna mtu anaweza kukusaidia in real sense!
Na hiyo "kuna mkaka....".....wewe chepuka bana acha kutafuta visingizio...ukishikwa na ndoa huna ili ujue maisha nini hasa!
Suala hapo ni kutafuta uhalali Wa huyó mchepuko wako nyngne mbwe mbwe hakuna lolote!!!Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Narudia kusema ww ndyo tatzo teeena kubwa usipoangalia utaishia kudhalilishwa na watu kama MNYAKYUSA wako matokeo yake utakuwa kama wale Wa muroto japohatuombeiNimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Ww hujielewi hata kidg , angekua hatafti hela na kutunza familia ungekuja na malalamiko humu kua hutak mwanamme suruali , yy kashakueka wazi kua anawaza familia yake , apate kazi ili awe nayo karibu aishi kwa amani na furaha , ww unalalama kipumbavu sna kwann usijaribu kumuelewa kwa wakat huu na kumuombea apate hio kazi ili mfaidi mapenz na mfurahie , hivi ww haujui stress wew?Wanaume cjui kwa nn wanajisahau yaan kila mara kachoka na mm mwili unahitaji kutikiswa hasa
Aisee so saad kabisaKwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Tatzo lako huna lengo la kumsaidia mmeo ila unataka mjadaka zaidi juu ya mchepuko wako,,,, eti ufanyaje sasa wakat UNA hisia!???hivi ungelala njaa,,, watoto nao wasingekuwa na chochote tumboni ungewaza Haya?????? Badala ya kumpa moyo mme wako wewe unaendekeza kuwaza ngono Tena kwa MNYAKYUSA!!!!Umeona eeh! Yaan ni shida sasa mimi nifanyaje na nnahisia
Chepuka maana pepo la ngono linakusumbua sna wwNimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Nenda kimboka kaegeshe mzigo watu watanunua na kuushughulikia vzurNataka mwanaume anishughulikie c huo upuuz
Mkuu , wala usihairishe kuowa kwa drama ya hili gube gube , jua kuna wanawake wanajielewa bwanaChepuka bhana mke wa mtu, maisha ni mara moja nenda kapate raha..
NB; nilkuwa na sababu millions za kuoa ila kwa haya kama yako kuoa nasogeza mbele
Mkuu you are right, huyu alishafanya maamuzi hapa anatafuta justification tu kuwa ni sahihi au sio sahihi basi, ninachoweza kumshauri ni aangalie kwenye vipaumbele vyake kimaisha, kama kimoja wapo ni kuchepuka she can move forward with it, watu wengi tunakuwa failures kwenye maisha kwasababu ya kushindwa kung'amua vipaumbele vyetu na kuvisimamia, kingine kama huyu mtu ana miaka 32 sasa na ana miaka 10 kwenye ndoa means aliolewa akiwa na miaka 22,hivyo kuna ujana fulani hajala, hivyo kinachomsumbua kwa sasa ni kuna vitu aliviruka hivyo anatamani avirudie, ninachoweza kumshauri ni kuwa SUMU HAIJARIBIWI KWA KUONJWA.Maamuzi ulishayafanya, unata ushauri wa nini! Alshabab wangekuwa wanaua watu kama hawa, ingependeza Sana.
Unacheza na akili za watu tu.
Haya, wanakuja wenzako wa kukutia Moyo kuhalalisha maamuzi ya kufanya huo uchafu.