Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Kwanza nahisi kama umetunga tu hadithi....
Pili kama ni kweli..basi ujue unajaribu kutafuta sympathy humu ili uhalalishe ujinga unaotaka kufanya....
Kaa ongea nae...
 
Naona ninawe umerudi kwa staili nyingine za kumsema mumeo,kazana tu utaupata mshahara wako

Yaani umeamua kuja na acc mpya ili umseme mumeo wanawake sijui huwa mnataka nini umepata kazi mpya umempenda Boss sasa umeamua kumchafua na mumeo wakati ulisema unampenda sana na wala huna shida nae haya sasa yanatoka wapi?

We nenda tu ukampe mapenzi moto moto Boss wako acha kumchafua mumeo si sawa!!
Hahaha, dada mmbishi yule... Yeye anamtaka Boss wake tu[emoji3]
 
Pole aisee da.wanaume wengi ni kweli tuko bize lakini wanawake wanahitaji sana uwepo wetu ukweli ni kua wanawake wengi hawajui maana ya kukojoa yaani hawakojoleshwi na waume zao.wanaume tujue tatizo hili tunalo na wala tusibishe au kupuuza hata mara moja.
 
Mmefunga ndoa?
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.

Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...

Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
 
Hivi unatuomba ushauri sisi ni makahaba kama wa pale saloon unapoenda heee?
 
Ukiona mke anamponda mumewe jua kuna mwanaume wa muda anampa kiburi.....

Wanawake wa kisasa ni kirusi kisicho na tiba
 
Wana ndoa mnasikia mambo hayo yanayoendelea makazini kwa wake zenu?
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.

Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...

Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu

umeandika maelez mengi ya kutuchosha kumbe unataka kutujulisha kwamba umeanza mahuiano na mnyakyusa.

sasa huyo mnyakyusa ndiyo aliyesababisha umchoke huyo mshikaji wa mkoani
 
It seems umeshaamua kugongwa nje ya ndoa. Endeleaa
 
Back
Top Bottom