Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mleta mada ndo alienda kwa mod Uzi ufutwe. Ndo huyo huyo alosema anampenda boss. JF ukianzisha kitu you have to be smart kutokuacha trace yoyoteHee!
Ulijuaje mumewe kaomba kwa mod?
Mumewe nae yupo humu?
Ndo yule aliesema katokea kumpenda boss wake?
Acha tu, kabla ya yote mwanaume utakuta anapewa pressure ya kufa mtu aoe, kumbe wangejuwa tu...Daah inasikitisha sana... Eti nawe ni mke wa mtu.. Kuwa na huyo mnyakusya halafu uone kitakachotokea.. Moto haulambwi wala kuonjwa, shauri zako...
Sasa hiyo inaitwa ndoa, ndoa siyo mchezo mchezo, na ndio maana wazazi wanataka watarajiwa kuelewa kabisa kwenye huu mkataba, ni mkataba mgumu mno, kina babu na bibi na baba na mama wanaujuwa, swala siyo kutoshelezwa kimapenzi, au kununuliwa kila utakacho, au kukosa mifarakano, ndoa yahitaji uvumilivu wa aina nyingi, kama waislamu basi mashehe wahusishwe, kama wakristo mapadri/mapasta..Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia. Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
Yeye mleta mada ndo alienda kwa mod Uzi ufutwe. Ndo huyo huyo alosema anampenda boss. JF ukianzisha kitu you have to be smart kutokuacha trace yoyote
Hata hajashambuliwa kapewa ukweli mi naona mtu amekuchosha mwache kimya kimya sio kuja kusema matatizo yake mtandao kwa kuanzisha nyuzi tofauti tofauti, hafu akiambiwa hataki ushauri ni kuchosha watu.Ila kwaninj wengi humu mnamshambulia mleta mada?
Kiukweli wanawake wa kiafrika wananyanyaswa sana.
Kama hayuko happy na ndoa yake, ni bora mumshauri vizuri.
Mi kwa upande wangu kama anaona hapati kile roho inapenda avunje ndoa maisha yaendelee.
Atafute mtu atakaempa raha na amani.
Mleta mada, siungi mkono uchepuke ukiwa kwenye ndoa, vunja ndoa endelea na maisha yako
Hata hajashambuliwa kapewa ukweli mi naona mtu amekuchosha mwache kimya kimya sio kuja kusema matatizo yake mtandao kwa kuanzisha nyuzi tofauti tofauti, hafu akiambiwa hataki ushauri ni kuchosha watu.
Ndoa imemshinda adai talaka hawa ndo wanaolewa kisa shida wakipata hela wanaona wenzi si kitu, mbaya zaidi mumewe amemwambia ukweli ana mawazo, na kazi zina mpa stress kibinadamu tu huyu angemhurumia tu mumewe amsaidie mawazo kumpunguzia stress ila huyu hana huruma tena mwanaume anayejitahidi Ku provide kwa familia kuja Mara mbili kwa mwezi ana fight.
Mi naamini ndoa inaungwa zaidi na tendon lkuna saa matatizo yanatokea sasa sio kwenda nje tafta solution ndani, sasa mleta mada anajiona kafika jinsi wanawake wanahangaika makanisani na kwa waganga kuwatuliza wanaume walee familia angejiheshimu tu.
Na inabidi before marriage couples waangaliane interest's zao I'm sure huyo mchagga angempata mangi mwenzake naye anawaza pesa mapenzi ni least sasa hawa wengine. Kuliukweli usawa huu wanaume wengi wana mawazo sana maana hela yakutumia akili.Sijui nimuite Ufoo Saro akupe testimony ya hawa wachagga.
Mmekutana wawili wenye interest na vision tofauti katika maisha, mmoja anaumwa kutafuta maisha bora kwa familia yake, ameshindwa kubalance mambo ya kazi na love affairs huku mwingine anawaza jinsi ya kuliwazwa na kupewa penzi la nguvu, maendeleo kwake ni bonus tu.
Two incompatible individuals...
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.
Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...
Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
Mwambie akuache uolewe na huyo jamaaMm ni mke ila kunakitu cha muhimu sana hanitendei haki
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.
Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...
Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu