PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 2,010
Either umeshaanza na huyo mnyaki wako ama ratiba tayari ni mda tu ufike. In short your marriage is doomed my sister.Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
Ila not to worry, jamaa atapata mwingine aliko. Huku atakua anakuja kuchek watoto tu. Pia once hali ikiwa hivyo huyo mnyaki naye atakupiga chini kwa sababu demand ni kubwa
You want your marriage, fix it. Achana na huo mpango kando. Mshauri jamaa afanye mazoezi atachangamka. Pia jiweke vizuri na fanya mazoezi. Kaumbo kakipendeza no man can resist. Utakulwa hadi mifupa!