Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Woman go get laid if that's what you want.

But stop trying to taint your husband's image by complaining about his sexual prowess.

You cannot have it all. If he was broke and humping you right still ungelalamika. So think beyond your selfishness. Appreciate the things the poor man is doing for you and your kids.

And if you decide to go ahead and cheat on your husband, prepare yourself for the repercussions.
Are you married madame?

If not, let me know please.
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.

Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Mungu siku moja atakujibu maombi yako utampata mwanaume anaejua ndyundyu atakutoa kwa mumeo na utakuwa nae na utashindia ugali na chumvi na kuvaa gauni ya kusaidiwa na ndugu zako na utaishi maisha ya kuomba omba ili mradi tu uwe unafanywa vizuri na huyo mtu.Mungu akusaidie Amin
 
Ww ulidhani ndoa ni ngono tu, Nenda kwa mnyakyusa achana na ndoa
 
Ilikuwa balaa mwanzoni alikuwa vizur sana sasa amebadilika kabisa majukumu ya famili yalipoangezeka anashindwa kubalance afu mbishi hataki kuambiwa wala kukosolewa kweli anakwaza

Yaan sex mpaka apate ham yeye cku mm nikijiskia nikimpapasa tu analala kifudifudi nyie mnasema tu hamjui naumia kias gan
Duuuu, pole dada tatizo wanawake huwa hamuwezi kucontrol mahusiano hivyo kuhusu huyo Malafyale au ndumiana sukushari sana utavunja ndoa kwani utamndharau mumeo bila kujua hivyo utakua ndio mwanzo wa ndoa kuvunjika
 
usijaribu kutoka nje ya ndoa,kama huo uharo ulichagua mwenyewe.huyo anayekufuatilia inawezekana ni haohao kama mumeo,je utatafuta mwingine
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.

Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Umu ndani akuna wtt kuna w2 wazma siyo kira jambo unapoti 2 ilimradi unaweza ukafanya ivyo,masihara yapo ktk mambo haya ila tunapaswa kuwaza kwanza kabla kuposti vichekesho kma ivyo.
 
Hiv unafikir sijaongea??

Tena ananijibu nawaza mapenzi tu cwaz maisha so hata kumwambia huwa najishtukia ila najikaza hivyohivyo namwambia tena kwa upole
Nikijisexisha mbele yake ananiambia niache upuuz au anaingiza mada tofaut au anazua kaugomvi tu kunitoa kwenye mood hiyo
Basi umsimhangaikie tena mamaa mpe huyo mnyaki atinge
 
Ha haaa napata wasi wasi utakuwa wewe ni ninawe.
Namna unavojibu sio mgeni ila may be n stori za jf tu
Lakin hauwezi kuwa wife of somebody na ukaja na justification za ajabu hivi.
Tayar una motive ya ku cheat so go have a fun
Ndo huyo huyo wala hujakosea.......walah nimemdharau sana huyo mwanamke kwa kweli!
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.

Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Unatafuta justification tu ya kugawa nje huna lolote lile,Ukiona mmeo hajitumi unajituma zaidi,kula koni lamba kudu,finye ken mpaka apandwe wazimu.Vinginevyo ujue keshaoa huko mkoani
 
... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu...

1. I don't get kumruhusu mwanaume akuongeleshe anavyojisikia.

2. Highway to the grave.
 
Woiii! Nikifanya mahaba hayo yaan amapump dk 1 tu tayari unashtukia tu anakoroma anaudhi
Ulivyokuwa unasema mnapendana sana ulikuwa una maanisha nini? Natamani nikutukane tusi kubwa hapa basi tu
 
Back
Top Bottom