- Thread starter
- #101
Hiv unafikir sijaongea??
Tena ananijibu nawaza mapenzi tu cwaz maisha so hata kumwambia huwa najishtukia ila najikaza hivyohivyo namwambia tena kwa upole
Nikijisexisha mbele yake ananiambia niache upuuz au anaingiza mada tofaut au anazua kaugomvi tu kunitoa kwenye mood hiyo

Eti na wewe upo kwenye ndoa?
Unatia aibu. Hivi viapo mnavyochukua huwa mnakuwa mntania au?
Kaa ongea na mume wako muiboreshe ndoa yenu. Mambo mazuri huja kwa kuyawekea bidii.
Mchepuko utakusaidia nini? Tamaa mbele mauti nyuma. Yakikukuta utakuja hapa kuandika thread