Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu