Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Sawa dada but God is watching you, ni vyema ukamfuata na ww ili ukidhi hiyo kiu yako au akija umwambie kwamba hauridhiri ajijue kabisa na atabadilika.Sina haja ya kuivinja ndoa..nataka tu kuipooza kiu yng
Chepuka bhana mke wa mtu, maisha ni mara moja nenda kapate raha..
NB; nilkuwa na sababu millions za kuoa ila kwa haya kama yako kuoa nasogeza mbele
Nadhani wachaga wengi wameweka.pesa Mbele kuliko vitu vingine, mke wangu mchaga wakati tunaanza maisha siku tukikosa pesa anaumwa presha, atakonda mpaka utamuonea huruma. Anaweza kichwa kikamuuma wiki nzima lkn pata pesa hapo hapo kichwa kitaacha na furaha inarudi. Sawa kila mtu anahitaji pesa lkn zisikufanye mpaka uharibu na mambo mengine. Kuna wakati tukiwa broke sipati mchezo kabisa hata 2 weeks ukimuomba anakuambia yaani ndani hatuna pesa wewe unafikiria mambo hayo. Sasa hii hali ndo anayopitia mmeo! Pesa Mbele km taiHakuna kitu hata kabla hajaondoka alikuwa hivyo yaan anawaza maisha sana hadi hamu inamuisha
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Nimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Nadhani wachaga wengi wameweka.pesa Mbele kuliko vitu vingine, mke wangu mchaga wakati tunaanza maisha siku tukikosa pesa anaumwa presha, atakonda mpaka utamuonea huruma. Anaweza kichwa kikamuuma wiki nzima lkn pata pesa hapo hapo kichwa kitaacha na furaha inarudi. Sawa kila mtu anahitaji pesa lkn zisikufanye mpaka uharibu na mambo mengine. Kuna wakati tukiwa broke sipati mchezo kabisa hata 2 weeks ukimuomba anakuambia yaani ndani hatuna pesa wewe unafikiria mambo hayo. Sasa hii hali ndo anayopitia mmeo! Pesa Mbele km tai
Hahaha wazee wa zamani walikuwa na akili sana baadhi ya mila zilikuwa za kijinga lkn zina siri kubwa.Waliwatahiri wanawake,walijua kama mwanamke atathamini ngono sana kama alivyo mwanaume basi jamii haitakuwa mahali salama.Mwanamke hataweza kutulia na mumeo ikitokea kaumwa au kapatwa na ishu za msingi zinazompa stress badala yake wakaanzisha kautaratibu ka kuondoa kisim* ili ikitokea mwanamke katembea na mwanaune mwingine basi ajionee sawa tu asione la tofauti na mumeo,wazee wakawa wanakwangua utamu woteee na wanawake kweli wakawa wanajitahidi kutulia na wame zao. Hamna kitu kikubwa mwanamke atafanya na kitamuongezea heshima mbele ya mumewe kama kujua mwanaume anapitia kipindi gani na kuwa tyr kumshika bega na kumsapoti na kujaribu kumsaidia mumewe ktk kipindi hicho bahati mbaya kipindi km icho ambacho mtu anawaza familia yake,watoto wke na mastress ya kazi basi mke anawaza kutombw* nje.Jaribu wewe kuhudumia kila kitu hapo nyumbani kwa mwaka tu halafu uniambie kama utakuw unamda hata wa kuwaza ngono.lipa ada,nunua chakula,lipa mfanyakazi,nunua umeme fanya kila kitu mwaka 1tu pumbavu zako tuone km utawaza ht ngono.
Nenda tu kafanye km akili yako inavyokutuma ulete na mrejesho