LAPTOP2016
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 728
- 2,140
Amna sio ulaghai nna hakika na ninachokisema, ajaribu tu aone.We jamaa mlaghai kweli [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna sio ulaghai nna hakika na ninachokisema, ajaribu tu aone.We jamaa mlaghai kweli [emoji23]
Una kazi au kula kulala?Wanaume cjui kwa nn wanajisahau yaan kila mara kachoka na mm mwili unahitaji kutikiswa hasa
Eti na wewe upo kwenye ndoa?Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Kila la kheriMm ni mke ila kunakitu cha muhimu sana hanitendei haki
Kwa hio abaki na kiu yake!? Nasisi akina ben10 tule wapi!?Sasa si ungesema moja kwa moja tu kwamba. Nataka kuchepuka.
Kweli Huna vigezo vya kuwa Mke
Mtunuku huyo kaka.. we only live once!Nimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Wanyakyusa hoyeeeee...... FarAway mpatie ndugu yangu wa kinyakyusa akusuuze nafsi.Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Duh kweli penye miti hakuna wajenziWoiii! Nikifanya mahaba hayo yaan amapump dk 1 tu tayari unashtukia tu anakoroma anaudhi
Vumbi la kongo ndio nini?Mkuu umeshatamani penzi la mnyakyusa na uko tayari kumpa papuchi aitikise kama ulivyodai hivyo sidhani kama utakubaliana na ushauri wowote utakao kuwa against na fikra zako.
Kama utakubali ushauri tofauti na wazo lako basi fanya hivi; tafuta vumbi la kongo kisha wakati unaunyonya mshedede mpake kichwani pasipo yeye kujua halafu shughuli yake utaiona, atabadili style, atakutikisa na hautaamini.
Hiyo ya kumpa mnyakyusa hapana bhana.
Afadhal umenielewa tena najitahidi kumwongelesha kimahaba na mbwembwe zote za kimahaba mara nyingi ananijibu we unawaza tu mapenzi mambo ya maendeleo.. watu wanadhan nimekurupuka tu kuleta humu hawajui nimevumilia kiasi gani na nikisikia wanawake wenzangu wakisimulia mahaba wanayopewa natamani hata nimkubalie fasta huyo mnyakiNimependa wewe mwanamke umekufikia muwazi sana na kama huu ujumbe au haya uyatakayo umemweleza mumeo afu hujaona mabadiliko una haki na unafaa Sana
Tatizo huwa hatupendi kuambiwa ukweli mke sio tuu mavazi na chakula
Kujali hisia zake ni muhim pia na ndio ndoa yenyewe jamani huu ni ulithi wetu but tunajisahau mnoo
Nimeshasema kunakaka mmoja job ananipenda so nnakazUna kazi au kula kulala?
Naona ninawe umerudi kwa staili nyingine za kumsema mumeo,kazana tu utaupata mshahara wakoMiaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.