Miaka michache ijayo (kama 5 hadi 10) hakutakuwa na wakala wa M-Pesa tena

Miaka michache ijayo (kama 5 hadi 10) hakutakuwa na wakala wa M-Pesa tena

na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
Bora iwe hivyo. Bank teller wa Tanzania ni ndezi kweli kweli. Hawajielewi bangi tupu.

Wanadharau, wapo slow, huwa najiuliza wanalipwa kwa kazi gani
 
Wakuu dunia inaenda kasi ile mbaya mno, na teknolojia ya sasa inaenda kwa speed ya kutisha na watu hawalali wakiwaza jinsi ya kuleta mambo ya teknolojia.

Back to the Point, miaka kama 15 nyuma hakukuwa na hii kitu inaitwa M-Pesa na ukisoma taarifa za Safaricom ambao ndio wamiliki wa M-Pesa wanakuambia walipata shida mno siku za mwanzo kuendesha biashara ya M-Pesa.

Tanzania mtakumbuka wakati inaaza M-Pesa pia hakuna aliyekuwa anaimini na wengi waliona kama utapeli fulani au watapoteza pesa zao.

Leo hii M-Pesa inafanya transaction za trilion kwa siku tu. M-Pesa kwa sasa sio ishu tena.

Ishu ni nini?

Kwa sasa M-Pesa inahama kutoka mambo ya tuma pesa katoe kwa wakala na tumia na kwa sasa inaenda kwenye kutumia Mpesa kwa manunuzi.

Kwamba hutahitajika kutoa pesa kwa wakala ili ukanunue kitu, hutahitajika kwenda kutafuta wakala yuko wapi ili utoe pesa na uzitumie.

Rejeeni MPESA Mastercard.

Tunaelekea kwenye cashless kwa sasa mambo ya kutembea na waleti imetuna pesa yatapotea.

Dunia inaenda speed sana.

So hawa mawakala ni suala la muda tu kabla hawajawa outdated kabisa. Mambo yanaenda speed sana na ukizembea unaachwa nyuma.
Madhara ni kupunguza ajira sana.
Moja kati ya matatizo makubwa yanayoletwa na tech ni kupunguza uajira wa watu [emoji22] na hii ni tatizo lakidunia nzima
 
hakuna kitu ambacho kitagharimu watu kama uwakala wa pesa ktk mitandao.. kikubwa ni kukubaliana na ukweli kuwa kila kitu kitakapofika wakati hata akili itajua kitu gani kingine cha kufanya!
 
na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
Wanaoshughulikia pesa zako behind the scene baada ya kudeposit ni tellers...
 
Mfumo wa upokeaji wa pesa utabadilika,yaani vyanzo vyako vya mapato vitapitisha pesa kwa njia ya cashless na utatoa kwa cashless hivyohivyo hata ukipiga/pigwa kizinga cha pesa upokeaji/ utoaji utakuwa kwa njia ya electronic,so hutakuwa na haja ya kuingiza pesa kwa wakala wakati utakuwa na float tyr
Ko hatakama mtu nimenunua vitumbua au mihogo kwa mama ntilie,mchicha soko mjinga ntalipa kwa njia ya mtandao?
Lakini pia Bado hujanishawishi kwenye kuweka hiyo float
 
Hili limeanza miaka 3 iliyopita
na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
 
Siku hizi tunavuta kutoka benk kuja m pesa, sihitaji kuonana na wakala
Sasa Kama hujaenda kwa wakala ili azibadilishe hizo hela zako katika mfumo wa kielectronic na kukuwekea kwenye simu yako hayo manunuzi utayafanya vipi? Au hayo malipo utayafanya vipi?
 
Tz kubwa sana,hiyo estimate ya miaka mitano labda useme mijini,sio huku kwetu.OVER
hahhaaaaa hata mjini sidhani aisee ni mpka miaka zaidi ya 10 sio 5.. by the way mfano huko ushirombo mna NMB na crdb tu Hakuna tawi jingine mpka kahama imagine, ndani ya miaka 5 muwe ktka huo mfumo, wakat hata ukizunguka huko ni wachache wanaotumia hta hzo bank!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo lipo muda mrefu ila halijasambaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna Changes zingine sio lazima zienee kote kuna wengine hupitwa na aina ya Changes, simu za waya za TTCL zilikuwepo Tanzania nzima? Jibu ni hapana, Posta haijawahi kuwepo Nchi nzima hadi Vijijini, ila isha kuwa replaced.
Mtoa mada bank zipo mjini tuuu....bank zina makato kila mwisho wa mwezi.....ukitaka kutuma pesa kijijini kwenu unafanyeje???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mabadiliko mengine, sio wote watafikiwa mkuu , kina wengine hupitwa na baadhi ya stage, Zamani kulikuwa na Typewriter, Zilikuwa sehemu chache sana, Ila leo hii Computer ziko sehemu ambazo hizo typewriter hazikuwahi kufika, mifano ni mingi, so sio lazima Benki ziwe nchi nzima au kila kijiji, hapana
hahhaaaaa hata mjini sidhani aisee ni mpka miaka zaidi ya 10 sio 5.. by the way mfano huko ushirombo mna NMB na crdb tu Hakuna tawi jingine mpka kahama imagine, ndani ya miaka 5 muwe ktka huo mfumo, wakat hata ukizunguka huko ni wachache wanaotumia hta hzo bank!.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom