Bora iwe hivyo. Bank teller wa Tanzania ni ndezi kweli kweli. Hawajielewi bangi tupu.na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
Wakuu dunia inaenda kasi ile mbaya mno, na teknolojia ya sasa inaenda kwa speed ya kutisha na watu hawalali wakiwaza jinsi ya kuleta mambo ya teknolojia.
Back to the Point, miaka kama 15 nyuma hakukuwa na hii kitu inaitwa M-Pesa na ukisoma taarifa za Safaricom ambao ndio wamiliki wa M-Pesa wanakuambia walipata shida mno siku za mwanzo kuendesha biashara ya M-Pesa.
Tanzania mtakumbuka wakati inaaza M-Pesa pia hakuna aliyekuwa anaimini na wengi waliona kama utapeli fulani au watapoteza pesa zao.
Leo hii M-Pesa inafanya transaction za trilion kwa siku tu. M-Pesa kwa sasa sio ishu tena.
Ishu ni nini?
Kwa sasa M-Pesa inahama kutoka mambo ya tuma pesa katoe kwa wakala na tumia na kwa sasa inaenda kwenye kutumia Mpesa kwa manunuzi.
Kwamba hutahitajika kutoa pesa kwa wakala ili ukanunue kitu, hutahitajika kwenda kutafuta wakala yuko wapi ili utoe pesa na uzitumie.
Rejeeni MPESA Mastercard.
Tunaelekea kwenye cashless kwa sasa mambo ya kutembea na waleti imetuna pesa yatapotea.
Dunia inaenda speed sana.
So hawa mawakala ni suala la muda tu kabla hawajawa outdated kabisa. Mambo yanaenda speed sana na ukizembea unaachwa nyuma.
Moja kati ya matatizo makubwa yanayoletwa na tech ni kupunguza uajira wa watu [emoji22] na hii ni tatizo lakidunia nzimaMadhara ni kupunguza ajira sana.
Hmm sizani maana kama naona ATM ndio zita stand kuwa mbadala wa mawakalaAtm nazo zitakufa
Wanaoshughulikia pesa zako behind the scene baada ya kudeposit ni tellers...na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
Hata saa hizi tu kuna mahali Vibanda vya MPESA TIGOPESA HakunaTz kubwa sana,hiyo estimate ya miaka mitano labda useme mijini,sio huku kwetu.OVER
Ko hatakama mtu nimenunua vitumbua au mihogo kwa mama ntilie,mchicha soko mjinga ntalipa kwa njia ya mtandao?Mfumo wa upokeaji wa pesa utabadilika,yaani vyanzo vyako vya mapato vitapitisha pesa kwa njia ya cashless na utatoa kwa cashless hivyohivyo hata ukipiga/pigwa kizinga cha pesa upokeaji/ utoaji utakuwa kwa njia ya electronic,so hutakuwa na haja ya kuingiza pesa kwa wakala wakati utakuwa na float tyr
na bank industry inabadilika kwa spidi sana.. hakutakuwa na bank tellers wengi miaka ijayo.. tutadeposit wenyewe kwa atm za ku deposit na ku with drawal yenyewe
Sasa Kama hujaenda kwa wakala ili azibadilishe hizo hela zako katika mfumo wa kielectronic na kukuwekea kwenye simu yako hayo manunuzi utayafanya vipi? Au hayo malipo utayafanya vipi?
Lipa kwa Mpesa, documents mnajaza na kusaini bila kusahau kujaza reference namba za muamala na kiwango cha muamala kilichofanyika kama mahari.Kulipa mahari nako tutakuwa tunalipaje..?
Ulfanikiwa kufungua mkuu?hakika Mkuu Mungu akibariki mwezi wa 12 huu nafungua kiwanda cha kuchakata Pesa kwa njia ya M pesa
Sasa Kama hujaenda kwa wakala ili azibadilishe hizo hela zako katika mfumo wa kielectronic na kukuwekea kwenye simu yako hayo manunuzi utayafanya vipi? Au hayo malipo utayafanya vipi?
hahhaaaaa hata mjini sidhani aisee ni mpka miaka zaidi ya 10 sio 5.. by the way mfano huko ushirombo mna NMB na crdb tu Hakuna tawi jingine mpka kahama imagine, ndani ya miaka 5 muwe ktka huo mfumo, wakat hata ukizunguka huko ni wachache wanaotumia hta hzo bank!.Tz kubwa sana,hiyo estimate ya miaka mitano labda useme mijini,sio huku kwetu.OVER
Mtoa mada bank zipo mjini tuuu....bank zina makato kila mwisho wa mwezi.....ukitaka kutuma pesa kijijini kwenu unafanyeje???
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaaaaa hata mjini sidhani aisee ni mpka miaka zaidi ya 10 sio 5.. by the way mfano huko ushirombo mna NMB na crdb tu Hakuna tawi jingine mpka kahama imagine, ndani ya miaka 5 muwe ktka huo mfumo, wakat hata ukizunguka huko ni wachache wanaotumia hta hzo bank!.
Sent using Jamii Forums mobile app