FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kwa hesabu za haraka haraka nilizopiga, kwa kutumia known constants za mzunguko wa dunia, ni kwamba baada ya miaka milioni 200 ijayo kutoka sasa, siku moja itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24 ya sasa.
Hii inamaanisha kwamba, viumbe kama dinasours walioishi miaka milini 200 iliyopita, siku ilikuwa na masaa 23 tu kwao.
===========================
www.jamiiforums.com
Hii inamaanisha kwamba, viumbe kama dinasours walioishi miaka milini 200 iliyopita, siku ilikuwa na masaa 23 tu kwao.
===========================
Masaa 24 kwa siku hayatoshi. Je, tukiamua siku iwe na masaa 28 nini kitatokea?
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua. Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa! ========================== 14/04/2025...